Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Tuweze kushare uzoefu wa maisha maeneo haya kwa wale ambao wamewahi kuishi. Kwa upande wa mambo ya usalama, maadili, madili, utulivu, makuzi, tabia n.k. Wadau wanaweza toa uzoefu wao katika...
0 Reactions
2 Replies
725 Views
Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo. Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili? TAHADHARI: Video hapo chini ina...
4 Reactions
180 Replies
10K Views
Wakati Tundu Lisu anatangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CDM taifa, muda mchache baadae Zitto Kabwe kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, hasa ukurasa wake kwenye mtandao wa X...
1 Reactions
4 Replies
305 Views
Habari za wakati huu. Mimi ni mkazi wa Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu, na ni Mfanyabiashara wa hapa mjini Bariadi ambako ni makao makuu ya Mkoa wa Simiyu, lakini makazi yangu yapo hapa hapa Mjini...
1 Reactions
1 Replies
347 Views
Habari za asubuhi hapa Mkuyuni Mwanza kuna foleni kubwa sana, magari hayaendi wala hayaludi ni shidaa tumechelewa watu ofisini
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Godbless E.J. Lema amesema, Yule binti aliyedai ametelekezwa na Mzee Edward Lowassa, amekamatwa baada ya kuomba radhi kwamba jamii imsamehe alikuwa anadanganya. Aliomba radhi kwa kumsingizia Mzee...
10 Reactions
244 Replies
39K Views
Habari mdau ifuatayo ni meseji ya kampuni moja hapa nchini ikitoa taarifa kwa wafanyakazi wake baada ya malipo kuchelewa. Let it be Kampuni X "HABARI TIMU, TAARIFA MUHIMU! Kuna ucheleweshaji wa...
1 Reactions
23 Replies
912 Views
Aina za Uponyaji wa Kiroho Uponyaji ni nini Uponyaji ni tendo la kiimani la kupokea uzima katika roho au mwili kwa njia ya kuombewa, kuwekewa mikono au kulisikia neno sahihi la Yesu Kristo. Tendo...
1 Reactions
1 Replies
423 Views
Wakuu, Tuzo za muziki Tanzania, Tanzania Music Awards zinafanyika leo 19 Oktoba pale Superdome Masaki ambapo washindi watatangazwa pamoja na performance kali kufanyika. Wasanii watakaotumbuiza...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu habari ya asubuhi Jana jioni niliamua kwenda kukata tiketi ili nireje Dar es salaam baada ya kukaa Songea takribani mwezi kasoro siku mbili. Mara nyingi huwa nasafiri na New force na...
3 Reactions
57 Replies
10K Views
Wakuu habari yenu,,jana nilikua nasafiri Dar to Songea ebhana tabu tupu gari hazitembei zinanyata hatari wa mbele ni wa mbele spidi mwisho 80 ukifika 85 inapiga alarm...ukiwa unasafiri masafa...
1 Reactions
1 Replies
556 Views
Habari za muda wakuu. Kwenye kupitapita humu mtandaoni nimekutana na uzi wa wadau mbalimbali katika nyakati tofauti tofauti Ukizungumzia upatikanaji wa huduma ya afya ambayo ni muhimu sana kwa...
0 Reactions
2 Replies
243 Views
Pia soma... - Hatari! Dada aibukia kwa RC Makonda na kudai ametelekezwa na baba yake ambaye ni Mzee Edward Lowassa - Fred Lowassa: Paul Makonda nimetoka naye mbali sana, nasikitika anavyotumia...
5 Reactions
290 Replies
35K Views
Hii clip nimeiona kutoka kwenye uzi alioanzisha mdau anaitwa GoldDhahabu wenye kichwa cha habari Hawa wanajeshi katili ni wa wapi? . https://streamable.com/ly7v6f Kuna maelezo mengi tofauti na...
11 Reactions
110 Replies
7K Views
Wakuu, Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama barabarani nchini limewafutia leseni madereva wa mabasi za abiria na malori wapatao 200 kuanzia mwezi Agosti hadi Novemba 2024 kwa makosa mbalimbali ya...
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Wakuu, Vijana wa Tanga mna salamu zenu huko kutoka kwa RC wenu. =========================================== Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe Balozi Dkt Batilda Burian amesema Halmashauri ya Jiji la...
1 Reactions
4 Replies
320 Views
Hii kampuni ya kudownload music naona Kila nikidownload inaishia nusu tatizo nini wadau naombeni msaada wenu maana usiku vanny boy anaachia album nataka niamke nayo halafu wananiletea habari nyeusi
2 Reactions
25 Replies
771 Views
Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia (WB) wamesaini mikataba miwili (2) yenye thamani ya dola za Marekani milioni 104, sawa na takriban shilingi bilioni 248, kwa ajili ya kusaidia utekelezaji wa...
0 Reactions
13 Replies
557 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum linamshikilia Fatma Chikawe 31 kwa kosa la udhalilishaji na kusababisha taharuki kwa jamii. Akizungumza na Mwananchi leo Aprili 18 Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum...
6 Reactions
141 Replies
20K Views
mkopo wa binafsi wa mwaka mmoja wa sh milion 5 Hapo chini wameandika kiasi milion 4 na laki nane?? ndo nn
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom