Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza...
11 Reactions
786 Replies
59K Views
Kama kuna Mzazi ambaye hujampeleka Mwanao kusoma SAUT Mwanza jua umepoteza bahati Kubwa na Ijutie sana.
7 Reactions
48 Replies
1K Views
Leo hii kumekuwa na ongezeko kubwa la noti kuukuu, zilizochakaa na kuchanwa kwenye ncha au kutobolewa kwa makusudi kabisa kisa wafanyabiashara wanaamini katika ushirikina. Watanzania wenzetu...
11 Reactions
46 Replies
4K Views
BASHUNGWA AKABIDHIWA OFISI NA MASAUNI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi...
1 Reactions
1 Replies
157 Views
Wakuu, Ukurasa wa X wa East Africa TV wamepost kuonesha kuwa mmiliki wa jengo la Kariakoo amekamtwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba, ametangaza kuwa mmoja wa wamiliki wa jengo...
4 Reactions
9 Replies
837 Views
Kijana hawa ndio wachawi wetu wa sasa 2024 1. Ajali za barabarani 2. Ukimwi 3. KANSA (saratani 4. Changamoto za UZAZI. Ndugu yangu sisemi uchawi hakuna hapana. Ila kwa nyakati tulizonazo hao...
1 Reactions
14 Replies
838 Views
Mtumishi wa Mungu Boniface Bulldozer Mwamposa alivyowasili viwanja vya Leaders Club kuendesha ibada ya kumuaga mpendwa wetu Grace Mapunda #RIPGraceMapunda Soma: Muigizaji Grace Mapunda (Tessa)...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameiomba Hospitali ya Queens iliyopo jiji la London nchini Uingereza kutoa ushirikiano kwa Tanzania ili msukumo wa kuimarisha huduma za Afya uzidi kuimarika...
2 Reactions
4 Replies
210 Views
Watu wengi husafisha nyota ilhali nyota zao zinang’ara. Wengine hudhani nyota zao zimeporwa kumbe wanazo ila zimefifia tu. Kabla hujasafisha au kurejesha nyota, kwanza fanya kipimo. Faida za...
5 Reactions
8 Replies
997 Views
UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA VIJIJINI MWETU UNAENDELEA KUBORESHWA - WANAVIJIJI WAPEWA ZAWADI ZA KRISMASI Utoaji wa Huduma za Afya ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini unaendelea kuboreshwa. Ratiba za...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
kwa Tanzania kuna jamii ya watu X hawa jamaa walikua ni wapenda mabadiliko since day one reflection yake ni kweli kwenye uchumi wao binafsi somehow ndo wanaongoza /wapo vizuri. cha kushangaza...
1 Reactions
2 Replies
175 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Innocent Bashungwa, amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni, ambaye Sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais...
0 Reactions
2 Replies
292 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amesema miili huzuiwa mochwari kutokana na madeni ya gharama za matibabu ambazo marehemu alikuwa akidaiwa pindi...
5 Reactions
61 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Piga kura Yako . Je unakubali Twende na mama TU mpaka 2030 and may be possible up to 2035. Au wewe unapendekeza ccm I practice democracy kwa kugawa Forms kwa wagombea yeyote CCM mwenye sifa ya...
1 Reactions
23 Replies
554 Views
Wanasema ukitaka uishi vizuri uzeeni hakikisha umepita mapito yote ya ujanani ndio maana ukimkuta mtu anasumbua sana uzeeni jua ujanani kuna vitu hakufanya. Mimi nilikuwa muumini sana wa kumaliza...
63 Reactions
148 Replies
6K Views
Je, ni haki abiria anafika stendi kashakata ticket bado analipiga tena hela ya kuinga ndani ya stand kufuata gari lake alilokatia ticket?
1 Reactions
6 Replies
472 Views
Habari wakuu, Niliwahi kuomba ushauri kuhusu eneo lipi niende kati ya TUKUYU au KYELA wadau wakanishauri niende kuishi eneo moja linaitwa Mwakaleli. Hivo nilikua naomba kama unaishi Mwakaleli au...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Huwa najiuliza Kila nikipita haya maeneo kuna harufu kali sana ambayo kama humu wezangu mshapita hayo maeneo mmeshuhudia huwa nafunga mpaka vioo vya gari lakini ngoma inapita mpaka ndani ya gari...
1 Reactions
29 Replies
869 Views
Habari wana jamvi. Baada ya jana kuhoji juu ya wengine mlipataje huduma ya fiber ya ttcl walinifata inbox na kuomba niwatumie email. Nmewasiliana nao jana na leo wamenipigia mara kadhaa nikiwa...
0 Reactions
14 Replies
501 Views
Nimejikuta nazikumbuka sana monents za Fast Jet miaka ya 2010's Ni kipindi nachoweza kusema nilitoa ushamba wa ndege, ndege ilikuwa kama basi la mkoani. Ilikuwa ni mkombozi mkubwa sana kwa watu...
6 Reactions
6 Replies
308 Views
Back
Top Bottom