Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mwanafunzi wa Diploma anaefahamika kwa jina la KURWA katika Chuo cha DIT amefariki baada ya kuanguka kutoka ghorofa ya 10 (jengo linaitwa teaching tower TT) Bado hakuna taarifa ya uhakika ya...
12 Reactions
102 Replies
5K Views
Naona TRC wanataka kwenda kununua treni la diesel for emergency lakini me najiuliza kwani haliwezi kutumia gas? Diesel tunanunua nje ila gas tunazalisha hapa sasa kwanini tusitumie la gas ili...
5 Reactions
18 Replies
733 Views
Amani itamalaki dunia Imeripotiwa na EAST AFRICA RADIO kuwa mama mmoja Maria Tabu amefariki dunia baada ya kutukanwa matusi mazito ya nguoni na kijana wake wa kumzaa. Kijana huyo alimtukana mama...
23 Reactions
210 Replies
22K Views
Ni nchi 4 tu za Afrika zitaongezwa kwenye huduma ya internet ya kisasa zaidi duniani inayotumia satellaite kurusha data moja kwa moja kwa mtumiaji. Katika mpango wa usambazaji wa huduma hii ya...
0 Reactions
6 Replies
367 Views
Habari Ndugu zangu, kama taarifa inavyo eleza, kijana huyu amepotea, haonekani. Wakazi wa Dar es salaam, Msaada kwa atakaye muona au kusikia taarifa zake.
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Jopo la madaktari katika mji wa Honda huko Colombia wamegundua kiazi kilichokuwa kinaota katika uke wa mgonjwa ambae alikuwa katika jaribio la kuzuia kushika mimba. Binti huyo inadaiwa alishauriwa...
1 Reactions
30 Replies
18K Views
Huyu Boss nilimshushia mzigo wa kama 2.4m wiki ilopita tuaahidiana baada ya siku 3 ataclear. Juzi nimeenda ofisini kwake, alikuepo yeye na mkewe, ile napaki ka pikpik kangu pembeni naingia...
19 Reactions
19 Replies
879 Views
WANAPOONA UKUTA WEWE ONA NJIA 😊 Njia wanazopita mashujaa ni zile ambazo watu dhaifu waliona ukuta, jicho la shujaa sio rahisi kuona ukuta bali litaona namna ya kuruka huo ukuta 😊 Moja sababu...
4 Reactions
7 Replies
257 Views
Kila mwanadamu ana nyota , ndani yake kuna talanta, na hiyo talanta ndiyo Mungu hutaka mtu aitumie ili asiwe maskini na mhitaji. Lakini kama ilivyo ada duniani kuna wachawi ambao huchafua nyota...
4 Reactions
7 Replies
398 Views
Wakulima wa korosho wa chama cha msingi kweli kilichopo kijiji cha msilili wilaya ya Newala mkoani Mtwara chawafanyia hujuma. Wakulima wa korosho kwani wakulima wamepima mazao yao mwezi wa kumi...
0 Reactions
3 Replies
172 Views
Religion is a smart business idea. They sell an invisible product, and if it doesn’t work, they blame the customer.
0 Reactions
1 Replies
93 Views
Nikweli Mimi siyo mzungu lakini pamoja na kuwa lugha ya malikia sio yetu ni sawa. Sasa inakuwaje police mnapokuwa una deal na mtu Huwa mnapenda sana kutumia hili neno "I'm not your friend My...
1 Reactions
2 Replies
148 Views
Vijana vijana vijana! Nimewaita mara 3 kumbe hali ndiyo ipo hivi kuwa umiliki wa video za ngono ni mkubwa kuliko kumiliki maarifa mazuri na pesa. Mbona hii ni balaa sana! ===================...
0 Reactions
3 Replies
423 Views
Mwanza vs Dar es Salaam: Nani Mfalme wa Majiji Tanzania? Hadithi Mbili za Maendeleo,Tofauti, Ushindani, Mustakabali, Utalii, Uchumi, Miundombinu bora
9 Reactions
501 Replies
10K Views
Habari Wakuu! Katika mapitio yangu ya CV za watu mashahuri Nchini, Week kadhaa nyuma nilipata wasaa wa kupitia CV ya the Late Hon. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi...
7 Reactions
111 Replies
4K Views
Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla. Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu...
1 Reactions
5 Replies
400 Views
MBUNGE BYABATO AWAFARIJI WATOTO YATIMA 200 KUPITIA TAMASHA LA BUKOBA MJINI MPYA 2024 📌 Lengo ni kuwapa faraja katika msimu wa sikukuu 📌 Vitabu, Madawati, Vitanda vyatolewa 📌Wananchi wajitolea...
0 Reactions
0 Replies
155 Views
Kwenye Mkesha wa 13.12.2024!! Hili la Idadi ya Watu limekaaje Wadau wa Takwimu? Mkusanyiko wa watu zaidi ya Laki Nne na Nusu. Aisee.
9 Reactions
87 Replies
2K Views
kila panapokucha panakucha na toleo jipya la pombe , Kuna ongezeko la kutisha la viwanda bubu majumbani vya utengenezaji wa kila aina ya pombe za makopo ambazo hazina viwango,jambo ambalo...
6 Reactions
17 Replies
436 Views
Back
Top Bottom