Ndugu Habari za majukumu? Mwenye uzoefu tafadhali, Je nikiasi gani cha weza kutumika kujenga nyumba yenye frame 3, ikiwa na sifa hizi.
upana wa frame uwe wa wastani
tofali za block
bati za...
Asee nimetoa pesa kimakosa kwa wakala ikaenda kwa wakala mwingine ..nime wapigia voda wamesema wameizuia na nisubiri ndani ya masaa 24 .
Je kuna alie wahi kukutwa na shida kama hii na...
Sasa hivi jamaa wanaleta vitimbi vyao hadharani na hamna kitu unaweza kuwafanya.
Ni kama wana utawala wao wapo Dunia yao isiyo na Sheria. Wao ndio mabingwa wa kubebana mishikaki na kuchomekea...
Pale Mwanga Tower, Makumbusho limetokea tukio la mtu asiyefamika kujirusha kutoka gorofani, ambapo inasemekana tukio hilo limetokea mapema leo majira ya saa kumi na moja asubuhi.
Mpaka majira ya...
Hii nasimulia kama njia ya kupata relief mana ni kitu nilikwazika sana kwann ameongea maneno Yale.! Au alikuwa na chuki za ndani na Mimi mana yeye anajiweza kwa hali zote lakin Mimi sikuwai...
Maraisi wengi wa Africa mashariki baada ya kugundua comedy zilio jificha kweny kanisa nyingi za kilokole wameanza kufuatilia hizo kanisa za kilokole ku zi monitor na kuzichunguza, kwa mfano Paulo...
Katika jamii yetu, ni kawaida kwa wanaume kuwekeza katika mali na kuhifadhi fedha zao. Hata hivyo, wengi hujikuta katika mawimbi ya maamuzi magumu kuhusu ni nani anapaswa kuwa mshiriki katika mali...
Hii imetokea kama dakika 50 zilizopita ambapo dereva bodaboda hadi muda huu kashakufa baada ya kukanyagwa na lori na bado yupo hapa barabarani watu wanamshangaa tu kama wapo kwenye maonesho hakuna...
Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali ya Mzayuni huko Kwa ndugu zetu katika Imani, Lebanon kwa maandamano ya Amani.
Tarehe: Ijumaa, 06 Disemba, 2024 baada ya Salat Al jummah...
Wengi wao ni madhulumati makubwa na wanyonyaji kwa kiwango kisichomithilika na kuelezeka!
Bila kuwa 'mafia' utajiri usahau abadani.
NB: Asante boss Med ila umenifunza nisiwe bwege tena kwa...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile ameitaka serikali kutoa nafasi zaidi kwa vyombo vya habari kama sehemu ya kichocheo muhimu cha kuhakikisha malengo na mipango ya...
Katika Historia ya miaka 250 ya US sijawahi kusikia raia wa Marekani amefungwa, ameuwawa, amewekwa kizuizini au amepotezwa kwa sababu amempinga au amemkosoa Rais wa nchi hiyo.
Habari wakuu,
Baada ya miaka kadhaa tangia nimehitimu shahada yangu ya kwanza ya maswala ya uchumi na fedha nilikua naomba anayefahamu sehemu yoyote Kwa hapa Dar ambapo naweza kwenda kusomea...
Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameonya vikali wakandarasi wazembe wanaochelewesha miradi ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), akisisitiza kuwa Serikali...
TAMISEMI ondoeni shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR.
Malalamiko ya shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR sio mageni.
Ni kama viongozi wa mikoa hii ya morogoro na wenzao wa Dodoma...
VItuo vya kukatia tiketi za basi ni changamoto sana kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Baadhi ya makampuni yamefungia mifumo ya kukata tiketi online pia makampuni mengine yamejikatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.