Kuna huduma za chini chini kwa baadhi ya viongozi wa majeshi ukizitazama siyo afya kabisa kwa matumizi bora ya kodi!
Sasa hivi nchi inalalamika kuwa deni la taifa limefikia tirioni 96
Lakini...
Habari zenu jamani
Bila kupoteza muda ,,, kumeanza kuchangamka, leo hii navyoandika dumu la mafuta ya kupika ya Alizeti huku nilipo limefikia sh 120,000/= ni wiki moja tu nyuma lilikuwa 105,000/=...
Nilipochoka zaidi ni pale yule binti aliepata skendo ya kujiingiizia chupa kuanza kupata marketing deals kwenye vikampuni fulani hivi🤣
Anyway maisha yaendelee.
Huduma kwa wateja ni kipengele muhimu katika kutoa huduma kwa kuwasaidia wateja kupata taarifa au utatuzi wa changamoto wanazokutana nazo.
Lakini hapa nchini baadhi ya makampuni yanayotoa huduma...
Za asubuhi?
Nimeskia sehemu kwamba wanaanzisha Sheria uchwara kama hukujiandikisha kuchagua huwezi kupata mkopo benki, huwezi kumdhamini mtu.
Unatambulika sio raia wa nchi hii hali ni mbaya...
Unapozaliwa tayari kuna risiti ya kifo huandaliwa, Kifo ni uhakika hakiwezi kukwepeka.
Utaratibu uliozoeleka hapa kwetu mazishi hufanyika kwa staili ya kuumezesha udongo mwili, kaburi litachimbwa...
Hivi unafahamu unapigwa katika parking?, Hawa jamaa wanapiga sana unapo egesha gari hata kama ukiondoka wao wanatunza kumbukumbu lisaa likiisha wanaongeza muda hata kama wewe upo kwako umelala...
Uhakiki wa Picha kwa kutumia Google Image Search ni njia muhimu ya kubaini asili au maelezo zaidi kuhusu picha fulani.
JamiiCheck imekuandalia utaratibu wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kutumia...
Wakuu,
Katika uzi wangu uliopita niliuliza wazazi wapo kundi gani kwenye malezi ya watoto na digitali, kama wataruhusu watoto kutumia simu kwa kuwapo mwongozo au kuwa wakoloni na kuacha wakikua...
Katika dunia inayobadilika kwa kasi, jamii yetu ya Kitanzania inakabiliana na changamoto kubwa, na inatufanya tujiulize maswali ya kina kuhusu hali ya sasa na mustakabali wetu. Je, kweli...
Habari wana Jamiiforums. Ni matumaini yangu muwazima wa afya!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, miaka ya hivi karibuni kutokana na ukuaji wa Teknolojia ya habari na Mawasiliano taarifa...
Hivi Waziri Mbarawa na Kadogosa hivi kweli wakati mnapanga parking fee ya shilingi 2000 per hour, then 20,000 per one day mli take into consideration ya hali halisi ya maisha ya Mtanzania?
Labda...
Wakuu mnaitwa kuleta maoni yenu kulingana na siti za Mabasi vs za SGR Mchongoko 👇👇
https://x.com/mzeewamsitu/status/1852266650311008695?t=gW4rsdK0L3i5YALDfk0s5A&s=19
Daa Nimecheka sana...
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Xavier Daudi, amekemea vikali vitendo vya uhusiano ya jinsia moja miongoni mwa watumishi wa umma, akisisitiza...
https://www.youtube.com/watch?v=ECVGyl8jL60
Akizungumza wakati wa mjadala Bungeni kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliyowasilishwa Bungeni Mwaka wa Fedha...
Tuseme ukwel kabla mambo hayajaharibika sana.
Kuna muendelezo wa vitu ambavyo pengine baadae vikaleta matatizo makubwa sana.
Wakati wenzetu wamepanua njia zao kwenda kwenye 6 to 8 lanes, sisi...
Hebu jielezee jinsi ambavyo akili zako huwa unazitumia.
Kila mtu ana akili pengine matumizi sahihi huwa yanapelekea uwezo wa akili kuongenzeka. Kama mimi ndie ningekuwa nimeulizwa swali kama hili...
Utangulizi
lengo la nakala hii ni kutoa ushauri haswa kwa serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania dhidi ya namna gani tunaweza kupambana na vitendo vya ukatiri ulio shamiri kwa sasa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.