Mhadhara - 52:
Kama utafuatilia kwa undani utagundua kuwa biashara nyingi za upangishaji na mauzo ya mali mbalimbali kama vile viwanja, nyumba, mapagala, mashamba, vyumba vya kupanga, mazao...
Mhadhara - 52:
Kama utafuatilia kwa undani utagundua kuwa biashara nyingi za upangishaji na mauzo ya mali mbalimbali kama vile viwanja, nyumba, mapagala, mashamba, vyumba vya kupanga, mazao...
Leo katika mahojiano yao na mwimbaji wa injili kutoka Rwanda Israel Mbonyi kuna mtangazaji ( Nadhani ni Sudi Brown) wakati Israel akijibu swali kuhusu kama ana mahusiano ama la (japo nalo sikuona...
Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino...
Salaam ndugu zanguni katika imani
Mimi ni muislamu huwa napata kidogo pombe na marafiki zangu wa imani tofauti
Mara kadhaa tukinywa huwa wanakula kitimoto na kunishawishi na mimi nile ila mara...
Baada ya DAWASA kuamua kutotoa huduma ya maji kwa muda mrefu ambapo kwa baadhi ya maeneo tayari maji hayajatoka kwa zaidi ya miezi miwili na hamna aliewajibishwa kwa hili wala kiongozi wa serikali...
Ndugu zangu,
Kwa wale mnaonunua gesi ya kupikia kwa kutumia njia ya usafiri wa bodaboda,kuweni makini sana hasa pale mtungi wa gesi unaposhushwa kwenye pikipiki.
Inashauriwa tuacheni dakika...
Mkurugenzi wa Huduma za Tiba kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. John Rwegasha ametoa taarifa hiyo na kuongeza kuwa idadi hiyo inaweza kuwa zaidi kwa makundi hatarishi wakiwemo...
Kwema Wakuu!
Kila Mtu anamitazamo Fulani àmbayo Ipo kimoyomoyoni kuhusu Watu. Baadhi ya mitazamo hiyo ni potofu Mingine NI Sahihi.
Mimi mitazamo yàngu potofu niliyokuwaga nayo ni pàmoja na hii...
Sometime kuna mambo mabaya twayafanya kwenye familia, jamii au watu watuzungukao kwa sababu hatuna jambo la kufanya kwenye jamii.
Jitahidi uwe na kitu unakifanya kuwa busy. Hasa kuongeza...
Kweli sasa hii imekuwa aibu kubwa. Ziwa Victoria lipo jirani kama km 1. Lakini maji hayapatikani kwenye miji ya watu wenye mabomba.
Je, Hayati Magufuli angekuwepo haya yangetokea Chato?
Profesa Ndakidemi aipa Milioni 5 familia iliyopoteza watu wanne kwenye mafuriko Kata ya Kimochi
MOSHI
Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini (ccm),Profesa Patrick Ndakidemi ametimiza ahadi yake...
10: VENISON (FAMILIA YA KULUNGU)
Hawa Ni Swala na Familia Nzima Ya Kulungu. Pia Nyama Yoyote iliyowindwa Pia Inaitwa Venison.
Hii Ndo Nyama Namba 10 kwa Kuliwa Sana Duniani.
9: RABBIT (SUNGURA)...
Habari JamiiForums, mimi ni mkazi wa Dodoma, Makulu Oysterbay mtaa unaitwa Mapinduzi. Ni miezi miwili sasa maji hajawahi kutoka hata tone maji na hamna taarifa yoyote wala tahadhari na ni hali...
Habari jamvi?, kwa wale wazurulaji nchini
Ukizunguka nchini utakutana na sehemu maarufu , kimandhari na kimuonekano.
Leo naongelea sehemu za barabara nchini ambazo Zina Kona Kali na sehemu ya...
NDOTO ZA UTAJIRI
1. 777
-Kuota vitu mafungu 3 kila fungu vipo 7.
2. UNAHIFADHI PESA SEHEMU SALAMA.
Sehemu salama kama kwenye kopo, droo, benki n.k
3. Kuokota pesa za sarafu za zamani.
4. Unafanya...
Inafika kipindi inabidi tukubaliane na mabadiliko ya dunia hii. Hatuwezi kuishi kwenye dunia kama babu zetu ama nyani wa msituni. Ni lazima tukubaliane na matakwa ya dunia yanavyotutaka kwa sababu...
Ndugu zangu wa Jamii Forums,
Leo nimeamua kuanza safari ya kushirikiana nanyi kuhusu mafanikio na jinsi mtu anaweza kufikia malengo yake. Mara nyingi tunasikia watu wakisema "nataka kufanikiwa,"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.