Amazing GOD
Bwana Yesu asifiwe...
Lengo la Uzi huu ni ushuhuda ,Kwa yeyote mwenye ushuhuda wa namna ambayo amekutana na mkono wa MUNGU katika maisha yake, anakaribishwa sana kushuhudia...
Gesi hii ambayo wanaiita Auto-Gas ndio mixture ya (Butane na Propane au Propane) na ndio huku tunapikia majumbani...; nimetoa hii habari hapa kuonyesha kwamba ni busara kutumia ulichonacho na...
Salaam
Nia ya uzi wangu sio kubeza wala kudhihaki mtu yoyote, ila natoa angalizo tu kwa mtu mwenye nia/ ndoto/ dhamira/ kusudi la kufanya biashara ajue anakabiliwa na mtihani mkubwa mbeleni...
TANGAZO LA KUIBIWA
Ningependa kuwataarifu umma kuwa nimeibiwa vitu vifuatavyo:
1. Laptop (2)
Aina: "HP Pavilion, & HP Hewlett
Rangi: ( moja ina rangi ya kijani na nyingine ina rangi ya...
1. Pamoja na kubarikiwa ardhi nzuri na yenye rutuba, Zanzibar kuna mfumuko wa bei sana kwenye bidhaa za vyakula vya bustani kama matunda na mboga mboga... siyo kama kwetu Moshi.
Kwa sasa ndizi...
Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na...
Joshua aliomba Mungu asimamishe jua, ingawa hakuwa na uelewa wa kisayansi kwamba ni dunia inayozunguka, siyo jua. Lakini pamoja na ufinyu wa uelewa wake, Mungu alijibu ombi lake, na usiku...
Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino...
Haya mambo yanachanganya sana. Mtu anakufanyia ubaya halafu bado anakutaka radhi. Muda mwingine kosa lenyewe sio kosa linalotokea Kwa hatua Moja, unakuta Hadi kosa linalotokea limepita hatua kama...
Iko hivi kuna demu bhana mm nilimtongoza akakubali vizuri nikadate nae baada ya kudent akanambia na. Birthday ya mtoto wake hivyoo anataka nimpe kama 1500 ambayoo kibongo bongo ni 30000 kumbuka...
Iko hivi kuna demu bhana mm nilimtongoza akakubali vizuri nikadate nae baada ya kudent akanambia na. Birthday ya mtoto wake hivyoo anataka nimpe kama 1500 ambayoo kibongo bongo ni 30000 kumbuka...
Habari wakuu,
Hivi hakuna mbadala wa hizo chale, tumieni hata sindano kama lengo ni kuchanja ili dawa iingie, au kuna lingine tofauti na dawa hadi iwe kwa kuchanja na nyembe na vitu vingine...
Kwa wale waliofuatilia uchaguzi wa Tanzania mwaka 2020 uliomwingiza JPM madarakani wataungana nami kuwa utolewaji wa taarifa za kampeni nchini kupitia ITV ulinogeshwa zaidi na waandishi tajwa hapo...
Nimesikia matangazo kwamba wanatoza watu pesa kwa ajili ya US Visa lottery wakati hii kitu ni bure kabisa na mtu unatumia dk 3 mpaka 5 kujaza online form bure kabisa.
Ofisi ya US immigration...
Mimi ni mkazi wa Buswelu, manispaa ya Ilemela mkoa wa Mwanza. Imenibidi nihame nyumba yangu nikapange sababu ya ukosefu wa maji.
Ndani ya wiki maji yanaweza kutoka mara moja tu, ikitokea yametoka...
DKT. FLORENCE SAMIZI AGAWA MITUNGI YA GESI 200 KWA MAAFISA UPISHI 200 MUHAMBWE.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mhe. Dkt. Florence George Samizi amehamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali...
Nawaangalia wakazi wa Valencia namna wanashirikiana kusafisha mji wao hadi Raha maana bila kujali muonekano wala nini wote wanakula tope mwanzo mwisho tena wakiwa na staha sio Madera bila chupi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.