Joshua aliomba Mungu asimamishe jua, ingawa hakuwa na uelewa wa kisayansi kwamba ni dunia inayozunguka, siyo jua. Lakini pamoja na ufinyu wa uelewa wake, Mungu alijibu ombi lake, na usiku...
Nikiri Vodacom umekuwa mtandao Bora kabisa wa simu
Ila kwa Sasa umekuwa na Changamoto
Kwanza internet yao imekuwa slow sana unaunga bando muda unaweza kuisha hajamaliza ,
Baada ya waziri yule...
Hii nchi ya Lebanon kila siku naisikia iko vitani na Waisraeli au migogoro ya siasa za ndani kwa ndani kati yao wenyewe ila nimeshangaa masoko yao yana tiles!
Sisi tunashindwaje kuweka hata zege...
Mhadhara (53)✍️
Binadamu anapaswa kuwa na huruma kwa binadamu mwenzake, lakini ahakikishe huruma yake ina kiasi. Usiwe na huruma kupita kiasi kwani unaweza kuwakaribisha na kuwalea adui hatarishi...
Tanzania ni Nchi yetu sote hivyo ni wajibu wa kujivunia vivutio vilivyomo.
Mlima Hanang uliopo Katesh manyara ni mlima wa Saba Kwa urefu hapa Tanzania
Nikiwa viunga vya huko niliona Nami...
Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024.
1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit...
Sijui heading ipo sawa au laa ila ninachokusudia ni zile process za kuvutia umeme majumbani. Huwa sipendi kubahatisha nikauliza mtu wa TANESCO kuhusu umeme nikaambiwa cha kwanza piga wiring ndipo...
Mfanyabiashara mwenye maduka ya vinywaji vya jumla na rejareja Mjini Babati, Peter Mushi amekutwa ndani kwake amefariki dunia baada ya kujinyonga.
Afisa Mtendaji wa mtaa wa Sawe, Simon Majura...
Kimbunga kikali kimezua taharuki katika Mji wa Babati mkoani Manyara, video ikionesha matanki tupu ya maji yakirushwa angani.
Huko kwenu kimbunga kama hiki mnakiitaje?
Wakuu makazini mambo ni mazito.
Hasa private yaan umbea, unafiki, kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana.
Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya...
Habari!
Tunaomba serikali ya Wilaya, mkoa na hata Wizara inayohusika kuingilia kati sintofahamu iliyopo soko la matunda na mbogamboga Msufini - Singida, kati ya wajasiriamali na wenye eneo...
Jamaa anaitwa Bollen Ngeti kada wa CCM aliyekuwa anamkosoa Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, mfuasi wa Membe na alikuwa anaibua hoja jadidi na kuntu, yuko wapi?
Nimejaribu kutazama...
Siku hizi sio kitu cha kushangaza kusikia muumini wa RC au KKKT akikwambia kuwa now yupo kwa mtume na nabii......au kahamia kwenye kanisa la askofu. kupata huduma za maombezi ya kiroho.
Nini...
Habari zenu wanakijiji cha Jamii Forums leo bhana nimewasogezea Ibada 3 za kingono zinazofanywa kimila na baadhi ya jamii barani Afrika.. lengo la hii thread si kwa nia ya kuchafua jamii hizo au...
Wakuu hope mko poa
Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa...
Kupanga ni kuchagua na kuamua ni uhuru, ukiachana na siasa raha sana, maisha burudani haina mbaya haina noma sana.
Kaa mbali na noma za utekaji kuna maisha baada ya siasa,
Pang Fung Mi
Toka nchi hii uanze kutekeleza miradi ya Maendeleo ni muda mrefu na miradi mingi ya kimkakati imetekelezwa ,ikiwemo pamoja iliyotekelezwa na wakoloni mfano mradi wa Reli ya Kati.
Ukiachana na...
Hivi kipindi hiki cha upungufu wa maji.
Kinachosababisha upungufu wa uzalishaji wa umeme.
Kukabiliana na hili kwann kusiwe na njia za dharura kama.
Ukame husababishwa na jua kali kwa kipindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.