kuna maono ninayo kuanzia weekend ya week hii na mpaka week zijazo uko uwezekano ukapata hela ambayo itatosha kabisa kuwa ni mtaji na ukatimiza mawazo yako.
Lakini pia dunia iko katika kipindi...
Mimi sio mtazamaji wa TV wa mara kwa mara.
Imetokea Leo nipo mapumziko kidogo.
Katika kutafuta burudani nikajikuta naangalia Safari Channel, (nafikiri ni Kituo Cha Taifa).
Cha ajabu katika...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza.
Yaani hivi mwandishi wa kitabu yoyete mwenye kuijuwa kazi ya uandishi vizuri. Kitu cha kwanza anacho kifanya ni kujuwa walengwa au wasomaji wa...
Ripoti ya Taasisi ya Mo Ibrahim Foundation (MIF) imeonesha kwa kipindi cha mwaka 2022, nchi 10 tu za Afrika zilipokea karibu nusu ya Misaada yote ya Kimaendeleo kutoka kwa Wafadhili wa Nje...
Mfano, nikiamua kuanzisha misemo yangu tofauti na Kabila langu la sasa na nikaanza kuwafunza watoto wangu tokea utoto wao na nikajitenga kabisa na jamii yangu kwa mda wa miaka japo mitano je...
Nikiwa pembezoni mwa kingo za shimo refu (valley), ghafla nikawa naona kwa uoni hafifu, nikashuhudia shimo kama limekuwa sawa (level) na sehemu niliyokuwa nimesimama.
Kwa kuhofia kuangukia...
Nilizaliwa mwishoni mwa miaka ya themanini katika kijiji cha chabutwa wilaya ya Sikonge mkoa wa Tabora, nilifanikiwa kupata elimu yangu ya msingi hapo kijijini, shuleni nilikuwa vizuri sana, si...
Wadau hamjamboni nyote?
Hayo siyo maneno ni nukuu kutoka maandiko matakatifu
Muache kuwasema vibaya watumishi wa Mungu
Niombe tupigw hesabu kama ni Hela zinatolewa kama sadaka Kwa Kanuni hiyo...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) kikiongozwa na wakili Boniface A.K Mwabukusi kimetoa tamko zito lililoweka wazi hali ya kusikitisha inayolikumba taifa. Kwa mujibu wa...
Yaani huyu mnyama ni balaa akiingia bandani ndani ya sekunde anamaliza kuua kuku zaidi ya kumi.
Ana vidole vinne tuu,ni mkubwa kuliko paka na kama ni mkubwa anazaidi ya kilo 5 kama kakomaa.
Ana...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewahisi wananchi waliopokea hati miliki za maeneo yao kuzitunza kwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024
Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857...
Kuanza kwa salam, natumaini uko poa Great thinker uliyechagua kupitia hapa.
Mada husika iko hivi.
Niko na rafiki yangu ambaye Yuko London ameamua kunitumia mzigo kupitia ndege siku ya Leo.
Sasa...
Tuambizane hivi kwa siku huwa unatumia shilingi ngapi kwa matumizi yako?
Mimi kwa siku huwa natumia 2000 tu yaani nikizidisha sana 3000 tena hapo naona nimevuka kiwango
Vipi wewe mwenzangu...
Wakati wewe mtanzania ukiwa unaendelea na mchakato wa kuwahamisha watoto wako kutoka kwenye shule za kiingereza ( English Mediums) na kuwarejesha kwenye shule za Kayumba, wacha nikuambie kwanini...
Meja Jenerali Charles Mbuge amestaafu na kuagwa jeshini baada ya kulitumikia jeshi kwa miaka 38.
Enzi ya utumishi wake jeshini, aliwahi kuwa Mkuu wa JKT, Mkuu wa Mkoa na baadae kushika majukumu...
Katika mashindano ya Olympics yanayoendelea huko Paris
Timu ya wanwake kutoka Misri vs Timu ya wanawake kutoka Hispania
Kielelezo cha tofauti ya tamaduni za Ulaya na za Mashariki ya Kati
Unaona...
Kama kichwa cha habari hapo juu
Nimeilipia huduma Fulani mitandaoni naona gharama ni kubwa sana ni kwamba voda huwa wanakata makato yao wa huduma ama ndio hali iliyopo
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Uongozi wa Clouds Media Group kupitia kwenye ukurasa wao wa Instagram wametangaza kusitisha kilele cha tamasha la Tigo Fiesta lililokuwa lifanyike leo Jumamosi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.