Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Sitaki salamu na mtu! Kijana wangu wa dukani kaniibia pesa zote kasepa. Maumivu zaidi line zangu za Vodacom zimetumika kukopa milion 2.8 bila ridhaa yangu. Hii pesa ina riba kubwa kila siku sh...
15 Reactions
104 Replies
3K Views
Wadau habarini za majukumu? Jana nilikata tiketi ya bus toka mkoani kuja Dar es Salaam kitu nilichokutana nacho ni tozo ya 0.5% ya LATRA hii ikoje? Imetamkwa lini? Je si kutuongezea mzigo kwenye nauli
0 Reactions
0 Replies
274 Views
Wakuu smartphone sio afya kabsa kwa wanafunzi wengi wa chuo kama uwezi kujicontrol katka matumizi yake utaishia kufeli mwanzo mwsho. Tuje kwenye stori, nikiwa mwaka wa pili nikasema nami nunue...
0 Reactions
0 Replies
136 Views
Sijajua kama wao wanajua mteja ni mfalme. Ni sawa CRDB wanataka kwenda kidijitali lakini hawaendani na service ku satisfy customer. Haiwezekani mteja anataka kufanya transaction kwa Simbaking...
14 Reactions
52 Replies
2K Views
Dar es Salaam, Oktoba 7, 2024 – Katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja 2024, Benki ya CRDB imezindua rasmi mfumo mpya wa kidijitali wa huduma kwa wateja unaotumia teknolojia ya akili mnemba...
2 Reactions
5 Replies
371 Views
Habari, Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri pamoja na harakati za ujenzi wa taifa letu la Tanzania. Nia ya uzi huu ni kukumbusha na kuamsha makampuni ya simu yanayotoa huduma za kifedha hasa...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni Jambo linakwaza sana. Unanunua vocha kujiunga na kifurushi unachopenda mara unapata ujumbe kuwa Salio lako halitoshi. Unafuatilia unaambiwa umejiunga na huduma za kidijitali kama vile "afya...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Njombe limefanikiwa kuingiza umeme na kuuwasha bure katika nyumba ya Bibi Esteli Nyalusi mwenye umri wa miaka 62 ambaye ni mkazi wa kata ya Maguvani...
5 Reactions
21 Replies
884 Views
Nmekuwa nikilalamika sana kuhusiana na wizi tunaofanyiwa na makampuni ya Simu. Leo tena nmeunganishwa kwenye huduma ambayo sijawah iomba na sijui hata inaombwaje. Si hivyo tu ni kuwa hata...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu, Usafiri wa umma una vimbwanga yake, unaweza kukutana na jambo mpaka ukatamani ungekuwa na gari lako ili usikutane na masaibu hayo! Mabasi machafu, wazee wa kubadili ruti na kusema magari...
1 Reactions
71 Replies
9K Views
Jinsi ya kufuta Programu Usizotumia au zilizopitwa na wakati 1. Programu Endeshi Android: Fungua Google Play Store > Upande wa Juu Kulia, Bofya alama ya ‘Profile’ > Kisha Bofya ‘Manage App &...
4 Reactions
8 Replies
890 Views
Watangazaji wa TBC wanaotangaza Live watangazaji wenu wanapotosha wanaita Landrover Parade badala ya Landrover Festival jina rasmi watoeni au wakanyeni Huwezi kwenda kutangaza event ya mtu ana...
0 Reactions
3 Replies
143 Views
Habari za Jumapili ndugu zangu, Leo nimehudhuria ibada Kanisa Katoliki nikaona baadhi ya waumini wakiwa bize kufuatilia masomo ya Bibilia kwenye simu zao (Bible App) tofauti na tulivyozoea...
2 Reactions
144 Replies
24K Views
Jumamosi iliyopita nilihudhuria ibada ya ndugu zangu wasabato wa mwaliko wa bibie mmoja. Nimezoea nyumba nyingi za ibada kukutana na neno ZIMA SIMU, ila nikashangaa humo kanisani wakati wa ibada...
2 Reactions
3 Replies
445 Views
Ivi huyu sheikh alipoteleaga wapi,nimesikiliza clip yake akituhusia sisi matajiri, Tafadhali wakristo huu uzi sio wa matusi nimeuliza tu kwa anaejua
4 Reactions
14 Replies
443 Views
I’m not sure about the veracity of the contents of this YouTube video, but watching it, I get some AI vibes. Hebu iangalieni na nyie. Sikilizeni jina la Chenge [Andrew] linavyotamkwa. Huyo...
5 Reactions
5 Replies
671 Views
Nashauri au Naomba Wananchi (hasa Sisi wenye Akili Kubwa) humu Mitandaoni na katika Jamii zetu tuwe tunashirikishwa katika ama Kubuni au Kuratibu namna nzuri ya Kumuenzi Hayati Baba wa Taifa...
0 Reactions
1 Replies
176 Views
Mhadhara - 44: Mnamo Oktoba 1, 2024 niliwaletea MAMBO 13 YA BUSARA. Leo nawaongezea mambo mengine kumi na nne (14) ya busara ambayo yataongeza au yatalinda heshima, thamani na utu wako. Ikumbukwe...
2 Reactions
4 Replies
650 Views
Juma Said Mfaume, mkazi wa Mbagala Mlandizi, Pwani, amefariki dunia baada ya kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wafanyakazi wa Kampuni ya OYA Microcredit. Tukio hilo lilitokea alfajiri ya Jumanne...
13 Reactions
241 Replies
10K Views
Habariii za humu wana Jamii, Mara nyingi nimekutana na uzi nyingi sana mfano Kama uzi wa Analyse INSIDER MAN humu na watu kadhaa wakisema kwamba eti ukiwa katika harakati za kutafuta maisha na...
2 Reactions
13 Replies
568 Views
Back
Top Bottom