Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mwenendo wa Bei za Mafuta nchini kwa kipindi cha Miaka 10 (2014-2024 zinaonesha miaka ya 2015, 2016, 2017 na 2020 pekee ndio ilishuhudia Bei za chini za Mafuta nchini Tanzania kulinganisha na...
8 Reactions
58 Replies
1K Views
Picha ilipigwa 2011 ambapo watu kutoka sehemu mbalimbali walifika kijiji cha Samunge, Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kupata kikombe cha dawa kutoka kwa Ambilikile Mwasapile maarufu...
23 Reactions
128 Replies
4K Views
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), ameishukuru China kwa kufikia hatua za mwisho za kufadhili ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR unaendelea hivi sasa kwa kipande cha tano cha kuanzia...
1 Reactions
14 Replies
825 Views
Jana 10-10-2024 Majira saa tatu usiku hapa DRC Kinshasa, na huko Tanganyika majira ya sa moja usiku sawa na Zanzibar saa moja usiku kulikuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Tanganyika Stars...
7 Reactions
42 Replies
1K Views
TAHADHARI‼️ (Video hii ina maudhui ya kuogofya yanayoweza kuumiza hisia). Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba...
14 Reactions
63 Replies
3K Views
Salamu kwa nyote mnaosoma uzi huu. Baada ya kufikiria kwa kina basi haya ni maswali yangu matano kuhusu ubongo wa binadamu. Swali 1: Kama binadamu amegundua computer, na haya mambo yote...
1 Reactions
8 Replies
422 Views
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi, Mkoa wa Pwani, siku ya Jumanne, tarehe 8 mwezi huu, kuwa wafanyakazi 4 wa kampuni ya OYA, walimuua Juma Said Mfaume, wakidai kuwa mkewe huyo Juma Mfaume...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Kuna uwezekano wa mimi kutoshiriki upigaji kura kwenye huu uchaguzi Kwasababu watanzania tuliomba tume huru tukapewa jina la tume badala ya tume huru, hakuwezi kuwa na uchaguzi wa haki pasipo tume...
5 Reactions
9 Replies
215 Views
Habari za muda huu. Inawezakana litakuwa ni swali la kijinga kwa baadhi ya watu ila kwangu mimi naomba mnitoe ushamba kidogo nami nijifunze. Kama tunavyojua Rais wa nchi yoyote ni Taasisi...
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Ndugu wanaJF, Kufikia mwisho wa karne ya 21, majina kama Masawe, Otieno, Gwamaka, Kamugisha, Masanja n.k yatafutika nchini kwetu. Imekuwa nadra mno kukuta mtanzania mwenye majina matatu, yote...
50 Reactions
269 Replies
5K Views
Mimi ni mtumishi, nimeomba mkopo kwenye Benki moja hivi, inaitwa Access Bank. Yapita wiki ya tatu Sasa tangu niombee mkopo lakini mpaka leo hawajaniingizia mkopo wangu, na makato kwa Mwajiri...
0 Reactions
4 Replies
328 Views
Wakuu nisaidieni kujua kuhusu hili. Ila pia kama ni kweli nisaidie kujua, masega hayo unayapikia pamoja na nyama ya umbwa au baada ya kuandaa chakula ndio unaweka masega hayo. Karibuni.
2 Reactions
33 Replies
617 Views
Unajua au unamkuta kabisa Mtu anajenga Nyumba yake nzuri tu na Kubwa halafu utamkuta anamwambia Mtu kuwa nilikuwa site najenga Kakibanda Kangu au nilikuwa najenga ka Kimjengo kangu. Sasa...
4 Reactions
9 Replies
429 Views
Ni siku ya 3 sasa mfumo wa manunuzi wa serikali NeST unasumbua (haupatikani). Je hii ndio ile kuthibitisha kuwa Watanzania hakuna jambo tunaloliweza.? Ikumbukwe kuwa mfumo huu unamilikiwa 100% na...
4 Reactions
13 Replies
708 Views
Nimebarikiwa sana na Kongamano la Karismatiki Kanisa Katoliki Dodoma. Nimebarikiwa sana na Wanenaji wote wakiwemo wale wa Kiprotestant Mwalimu Mwakasege na Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
1. Dkt. Omar Alli Juma Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay ili Dkt. Shein VP...
237 Reactions
952 Replies
89K Views
Ushawahi kujiuliza kwanini Mungu aliwaandaa Simeoni na Anna kumpokea mtoto Yesu pale hekaluni kabla ya umauti kuwakuta? Soma Injili ya Mtakatifu Luka (Lk 2:25-38) Sasa Imagine Yusufu na Maria...
2 Reactions
17 Replies
525 Views
Napenda kuwatakia Maandalizi Mema ya Sabato ya Bwana. Sabato haikomei kuwa maalumu kwa wanadamu tu bali na kwa wale wafanyao kazi. Siku 6 fanya kazi zako. Ikiwa hufanyi kazi bila Sababu yoyote...
1 Reactions
8 Replies
187 Views
Mtu kagongwa barabara ya wazo tegeta masaa mawili askari hawajatokea lakini ingekuwa maandamano wangewahi Mwili upo barabarani tangu saa 6:20 hadi saa nane na nusu ndio bajaji imewafuata trafiki...
2 Reactions
2 Replies
216 Views
...Miaka inavyozidi kwenda wanyama wakali wanazidi kukimbia mbali na makazi ya watu hivyo kuwaona inazidi kuwa adimu. Simba Nakumbuka mwaka 1998 nikiwa na wawindaji wenzangu 6 (nilikuwa mdogo...
45 Reactions
458 Replies
51K Views
Back
Top Bottom