Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kupitia kikosi cha Usalama Barabarani wametaja barabara zitakazotumika katika tamasha la Landrover litakaloanza kuanzia Oktoba 12, 2024 Mkoani Arusha huku likisema...
Naomba msaada ndugu zangu nimekuwa nikihitaji Kufanya marekebisho ya namba ya NIDA tangu mwaka Jana mwezi Novemba, katika ofisi Moja Bariadi requirements zote nilikamilisha mpaka malipo ya...
Kampuni ya Meta, ambayo ndio kampuni inayomiliki Instagram, Facebook, WhatsApp, Threads na vifaa mbalimbali; imeingia mkataba mkubwa na kampuni ya Universal Music Group (WMG).
Mkataba mpya wa...
Mungu aliamua kuwapa wayahudi nchi ya Kanani ufalme wenye nchi zaidi ya Tano baada ya kuwa wenyeji wa nchi Ile walikuwa wakiabudu mizimu.
Pale ilitengenezwa uadui mkubwa na hasa kosa la Wana...
KIpindi fulani niliwahi kufanya kazi na wahindi ikiwa ndio ajira yangu ya mwanzo kabisa baada ya kumaliza kidato cha sita,nikiwa nasubiri matokeo nikapata hiyo kazi katika kampuni ya ujezi
Hawa...
Leo Kawe watu wanamwagika, nimeambiwa wamekuja kwenye maombezi ya Mwamposa na kukanyaga mafuta na watu leo watapona na kesi zote kwenye maisha yao zitakwisha.
Kilichonishangaza ni kipengele cha...
Katika mjadala wa utofauti wa elimu nchini Tanzania, kuna dhahiri kwamba safari ya Baba Levo Marekani inaonyesha tofauti kubwa kati ya wasomi na wale wasio na elimu rasmi. Baba Levo anatumia mbinu...
Wapendwa habarini.Mimi ni Mtumishi wa Umma nipo Dodoma.Nina nyumba yangu nimeijenga Boko. Nilimaliza kuijenga Mei mwaka huu na Juni nikapata Mpangaji(Mme na Mkewe).
Nilishukuru maana Mpangaji...
Tuchukulie Profesa amefundisha pale jalalani Kwa uaminifu miaka yote.
1. Akistaafu anapata Kiasi gani cha pensheni?
2. Inachukua miaka mingapi kuupata huo uprofesa?
3. Je baada ya kustaafu...
Kuna video inasambaa inayodaiwa ni ya mtu mmoja alieua na kisha nae kuamua kujichinja.
Mtu huyo pia anadaiwa kuwa alikuwa anatengeneza vinywaji feki na kuviuza kabla ya mambo kuharibika baada ya...
Kuna maeneo katika Jiji la Dar es Salaam unakutana na foleni lakini ukifuatilia kwa umakini kuna wakati unagundua kuna uzembe wa uwajibikaji na kukosekana kwa ubunifu kwa baadhi ya watendaji...
Wiki iliyopita nilisafiri kwenda Songea na gari yangu aina ya noah kutokea DSM, nilivyokuwa narudi nikaona nisanye abiria wanichangie mafuta. Sasa nimetoka Songea mpaka Iringa bila matatizo yoyote...
Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi...
Naomba kujuzwa wakuu kuna Ofisi nimeenda Ofisi ya Mkuu wa Mkoa muda wa kazi watumishi wa Ofisi husiku wote hawapo, hii imekaaje?
Nimeondoka bila kupata huduma yoyote nimepoteza muda na pesa...
Benki kupitia mashine zao za ATM wamekuwa na ukomo wa kiwango cha kutoa pesa. Kutoa kwa mara moja kiwango cha juu ni Laki nne.
Yaani kutoa Milioni moja mpaka uweke kadi mara 3 huu ni upotevu wa...
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Victoria Kwakwa, amesafiri kwa njia ya Treni ya Kisasa-SGR kuanzia Dar es Salaam hadi Dodoma ikiwa ni sehemu ya...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 09 Oktoba 2024 amefanya ziara na kutoa heshima zake katika Kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya 3 wa Serikali ya...
Hawa viongozi wa Bar-Sata ni wa kukemewa na kila mtanzania mwenye akili timamu. Wamefungia wimbo wa Ney wa mitego kwa sababu ameimba "wanaokuja kututeka wanakuja kama Polisi" yaani kwa utashi wao...
Naendelea kukusanya data kila siku.
Ukikaa na wanaume huwezi ukasikia wakimshauri mwanaume mwenzake kuoa mara kwa mara lakini kinyume chake
wanawake wamekuwa washauri wakuu wa vijana waliofikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.