UTAFANYAJE MKEO AU MUMEO AU MZAZI WAKO AKIWA NA MAMBO YA KISHIRIKINA? Hivi ÑDIVYO UTAKAVYOFAÑYA.
Anaandika, Robért Heriel
Mtibeli.
Mtu yeyote ambaye haamini nguvu za Mungu huyo ni mshirikina...
Wakati fulani nyuma, habari na hadithi zetu zilikuwa zinatoka tu kwenye magazeti na vitabu. Lakini sasa, mambo yamebadilika sana. Uandishi wa mtandaoni umekuwa na nafasi kubwa, na kama bado hujui...
Ukikutana na Contents ambazo hazieleweki Fanya hivi
Angalia huyo anayeandika amejiunga lini JF ukikuta ni 2020-2024 usiangaike kumjibu
Hao ni vijana wa Facebook
Hapa JF kuna I'd moja ya mkongwe...
Wateja wa Benki ya CRDB ambayo ndiyo mkopeshaji mkubwa wa Tanzania kwa mali na amana, wamepokea barua pepe za udanganyifu kutoka kwa matapeli wanaojifanya ni benki hiyo.
Katika shambulio hilo la...
Wanasema nyoka hawezi kuwang'ata hao watu wenye mahitaji maalumu na ikitokea amewang'ata basi kuna namna kuna ukweli wowote hapa
Ipi sababu inayopelekea wasing'atwe na nyoka hasa kwa mtoto...
Haki za binadamu, ni haki gani hizi ambazo zinaharibu nguvu kazi!!!. Ushoga na matumizi ya bangi kipi bora?, Kwa nini suala la ushoga Serikali imelikalia kimya?, je, Sheria za Tanzania kuhusu...
Ni matumaini yangu kuwa kutakuwa pia na wahusika wa jambo hili huku jamii forum ili lichukuliwe hatua haraka sana kabla ya madhara kutokea
Hapo Mbezi stand kuna Magari ambayo hayajasajili ndio...
Natuma kwa niaba ya ndugu yangu
Mimi mkazi wa Ponde kata ya Toangoma wilaya ya Temeke, naomba kutoa malalamiko kwa viongozi wetu kuna Bilionea muhindi anaitwa KURBAN AHMED KHAKI, anatunyang’anya...
Leo Oktoba 11, 2024, Rais Dkt. Samia anaongoza watanzania katika zoezi la kujiandikisha katika daftari hili ili kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi nyingine duniani katika kukuza uchumi wa kidijitali kutokana na...
Ujenzi wa Bandari ya kwanza ya uvuvi nchini Tanzania, Kilwa Masoko, iliyoko kwenye pwani ya Bahari ya Hindi katika mkoa wa Lindi, uko karibu kukamilika, ikiwa tayari imefikia asilimia 70. Mradi...
Hivi karibuni kumekuwa na usaili wa ajira mbalimbali ambao umefanyika na unaendela kufanyika Pemba na Zanzibar.
Kwa upande wa ajira za Ualimu kwa mfano Ilitoka list ya walioitwa Interview ya...
Kuna tatizo la maji katika jiji la Arusha eneo la Njiro tangu jana mchana mpaka leo. Sijui kama ni kwa eneo ambalo nafanyia kazi au na maeneo mengi ya jiji.
Hebu mamlaka husika ilifanyie kazi...
Ni kawaida kwamba katika nchi nyingi matajiri wakubwa utakuta ni wafanya biashara, lakini sio Tanzania. Kwa sasa wanaoongoza kwa kuwa matajiri wakubwa Tanzania ni wanasiasa waliopo madarakani au...
"KISANDUKU CHEUSI" KATIKA NDEGE NI HIKI
(Cheusi, Ama Chekundu)
Ni kawaida kila inapotokea ajali ya ndege ya abiria, umma hutangaziwa kuwa kinatafutwa Kisanduku Cheusi; je, hicho ni nini?
Hakika...
Watuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na...
Leo tarehe 11/10/2024 ikiwa ni siku pekee ya maadhimisho ya siku ya Mwalimu Duniani yanayofanyikia katika Wilaya ya Bukombe yakibebwa na kauli mbiu " WALIMU NI NYOTA INAYOANGAZA" yameanza muda huu...
Hii inasikitisha sana. Labda tuwasikilize wazee wa kataa ndoa dronedrake na Liverpool VPN wanaweza wakawa na maoni tofauti.
--
Mke wa Mfanyabiashara na Mkazi wa Mbagala Mlandizi Wilayani Kibaha...
Leo tunapoadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike, tukumbuke kwamba bado wasichana wengi ni wahanga wa ukatili wa kijinsia.
Swali la kujiuliza ni hili: Je, tunawajali na kuwalinda mabinti wa wenzao kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.