Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kufuta Usajili wa Vyombo vya Moto Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwajulisha watu wote wanao miliki vyombo vya moto (magari, matrekta, pikipiki na matela) ambavyo havipo tena...
7 Reactions
44 Replies
6K Views
Ikitokea ajali wanaangalia kamera za ndani na nje. Kamera ziwepo kama tatu. 1. Kuonesha mbele inapoenda 2. Kuonesha dereva anavyoact (hii irekodi na sauti - cockpit voice recorder 3. Iwe kwa...
3 Reactions
13 Replies
257 Views
Anonymous (9c59)
Kuna uzembe mno katika utoaji wa huduma, nishaenda pale zaidi ya mara tatu hakuna dawa unaambiwa ukanunue, sio dawa kama hazipo, nishawahi liamsha pale kutaka kupiga hadi simu kwenye mamlaka za...
0 Reactions
1 Replies
156 Views
Anonymous (a22f)
Naomba mtusaidie kuhusu NHIF hasa kwa wanafunzi wa MUST. Muda wa kadi umeisha tarehe 8/10/2024, wanasema hawawezi kutoa control number hadi matokeo ya sup yatoke, sasa kwa hiki kipindi sisi wateja...
0 Reactions
1 Replies
170 Views
Iran Tovuti kubwa ya habari duniani Reuters imeripoti kuwa "Nchi zinazopatikana katika ghuba ya Uajemi (Persian Ghulf states) zitakazo saidiana na Israel kuishambulia Iran katika visima vyake...
0 Reactions
3 Replies
225 Views
Kwanini Waislamu wa madhehebu ya shia duniani hawamkubali sana bi Aisha mkewe Mtume Mohamed Wadau hamjamboni nyote? Tafadhali pitia maelezo zaidi hapo chini kutoka Wikipedia The Shi'a view of...
0 Reactions
4 Replies
312 Views
Sasa hivi ukipita barabarani kuanzia mwanza mpaka Mtwara ni mabango ya CCM au Mama Samia yakielezea amefanya moja au mbili na pongezi kibao. Ziwe za kweli au uwongo zote zimepangiliwa njia nzima...
0 Reactions
2 Replies
191 Views
Kuna tetesi kwamba mtu akiagiza electronic device kama simu, laptop na vitu vingine kwa sasa kifaa hicho kikifika mnunuzi anapaswa kuomba kibali TCRA,mwenye kufahamu ili atujuze ni ukweli au...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Habari wanaJF, Mimi nauliza tu watu mnapata wapi hii nguvu na ujasiri wa kumuliza mtu uliyegombana naye . "Utanifanya nini?" Ivi unahisi hana cha kukufanya? Maisha ni marefu sana...
14 Reactions
52 Replies
1K Views
Wakuu kuna mambo huwa yanatokea unabaki unajiuliza ni mimi kweli yamenikuta. Kifupi nilikuwa sikuwahi waona kunguni mpaka umri huu zaidi ya kusikia story tu. Na akili yangu iliamini kunguni ni kwa...
26 Reactions
236 Replies
9K Views
Time is too short, siku si nyingi sikukuu ya wafanyakazi inakuja. Je wewe kama mwalimu umejiandaaje? Umejiiandaa kuwa Chawa wa mama ili umsaidie ushindi 2025 kwenye box la kura au umejipanga...
5 Reactions
1K Replies
48K Views
Bongo radios ni application ya Android ambayo ina radio stations zaidi ya 30 kutoka Tanzania, hapa kuna redio kubwa zote,za mikoani na pia za dini na zote zinasikika.pakua app yako Leo kupitia...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha apa namanisha kiuchumi basi fanya hivi. Acha Kuendekeza wanawake Hapa kukwepa vizinga unashauriwa ufanye yafuatayo; 1. Kuwa na mwanamke mmoja usiwe...
32 Reactions
89 Replies
5K Views
Jaji David Ngunyale ameahirisha kesi ya Ally Masoud Nyomwa anayejulikana zaidi kwa jina la Masoud Kipanya (KP) dhidi ya Burton Mwemba Mwijaku hadi tarehe 24.9.2024. Wakili wa Mwijaku (Wakili...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za jioni kwa member wote wa JF Hivi Sasa Kuna kitu sijaelewa mpaka Sasa Yani naona watu wamekuwa shallow Sana. Naona Sasa mtu kukutafuta ni mpaka awe na shida au matatizo la sivyo hakuna...
12 Reactions
29 Replies
787 Views
"Maisha ni safari yenye vipindi tofauti, yenye furaha, huzuni, mafanikio, na changamoto. Ni safari inayotufundisha kuwa na uvumilivu na uthabiti. Kila siku tunapita katika hatua tofauti za...
1 Reactions
0 Replies
359 Views
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imefanya ukaguzi wa saluni kadhaa zinazotoa huduma mbalimbali, ikiwemo huduma za ‘kusinga’, ili kubaini ikiwa zinafuata taratibu za utoaji huduma. Hadi sasa...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
1)UNYENYEKEVU Kuacha kujiona wewe ni bora na mwenye thamani na umuhimu kuliko wengine/wenzako. Kuacha majivuno,kiburi na dharau. 2)KUTOHUKUMU WENGINE. unapokuwa unanyooshea wengine kidole...
1 Reactions
4 Replies
327 Views
Baada ya kusajili mali iliyopotea nimetumiwa control number nifanye malipo ya usajili lakini kila nikijaribu kulipa inasema control number ni batili. Nimepiga simu makao makuu nikaambiwa niende...
1 Reactions
4 Replies
264 Views
Nipo jirani na msikiti, Kuanzia saa 10 alfajiri, Kuna shehe huyo amekuwa mtangazaji wa muda, "Sasa hivi ni saa 10 dakika 20 ewe muislamu jiandae kuamka, Swala swala,! Na anaendelea kutaja muda...
61 Reactions
319 Replies
9K Views
Back
Top Bottom