Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Tunanunua kila kitu Waafrika hatu thamini uvumbuzi. Alisikika akisema" Nina kitu nilichovumbua lakini nashindwa kukitambulisha kwa sababu ya usalama wangu, ila ugunduzi wangu ungekua na Faida kwa...
0 Reactions
3 Replies
160 Views
Mtayarishaji Mkongwe wa Muziki wa HipHop na Rapa, Andre Young a.k.a Dr. Dre amefunguliwa kesi ya madai ya Fidia ya Dola Milioni 10 (takriban Tsh. Bilioni 27.2) akidaiwa kumfanyia Vitisho na...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Geophrey Pinda anashiriki Kongamano la Kimataifa kuhusu Miji linalofanyika Vienna nchini Austria. Kongamano hilo lililobeba kauli mbiu ya...
1 Reactions
3 Replies
174 Views
Tukio la kupotea kwa mtoto Joel Johannes Mariki linaibua maswali kuhusu uwezo wa serikali kushughulikia matukio ya dharura kama haya. Pamoja na jitihada zilizofanyika, ni wazi kuwa kulikuwa na...
0 Reactions
2 Replies
138 Views
Siku 4 zilizopita tarehe 23/ June/ 24, mnamo saa 8: 37 yeye mwenyewe Sativa254 au Edgar Mwakalebela alipost kwenye ukurasa wake wa Twitter (X) maneno haya hapa: "Ukikoswa koswa na mshale wa jicho...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari wadau! Naomba kufahamishwa Kwa anayelijua hili, oil chafu na makopo ya oil yanayokusanywa na watu toka gereji za magari na pikpik zinaenda kutumia kwenye nini? Nilipewa fununu kuwa kuna...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
TAMKO LA OYA KUHUSU TUKIO LA MLANDIZI OYA Microfinance imehuzunishwa sana na ripoti za tukio la kusikitisha lililotokea Mlandizi, Kibaha, linalodaiwa kuhusisha wafanyakazi wanne wa kampuni yetu...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Mgonjwa yeyote huwa anaamini sehemu salama kwake ni hospitalini, Baada ya Mungu ni wazazi ba wanafuata madaktari,bila wao wengi tusingekuwepo duniani. Hospitali ya Mikochen Mission Hospital...
10 Reactions
28 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ni kwamba katika maisha tunakutana na changamoto ambazo wakati mwingine huwa kubwa kwelikweli, au huwa kubwa kulingana na mhusika atakavyoitafsiri changamoto...
48 Reactions
247 Replies
68K Views
Kampuni ya Akm Glitters tunaomba mtulipe haki zetu wafanyakazi wenu. Yapata miezi mi 5 na wengine miezi 8 hatuja lipwa mishahara yetu. Tume jaribu mara kwa mara kuomba huongozi taarifa juu ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni ushauri tuu Kwa Shirika la Nyumba la Taifa kwamba kabla ya kuanza Ujenzi wa nyumba 1,000 za Makazi na Biashara Jijini Dodoma mungeenda Nchi ndogo ya Benin mkajigunze matumizi sahihi ya Mipango...
2 Reactions
15 Replies
584 Views
Kwa mujibu wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) uagizaji wa chakula kutoka nje ya Kiafrika umezidi kuongezeka kuanzia mwaka 2023 kwa takriban mara tatu kutoka kutumia Dola Bilioni 35 (Tsh...
0 Reactions
0 Replies
261 Views
Ndugu wanajamii, Nimechoshwa na uzembe unaofanywa na Idara ya Uhamiaji Tanzania hasa kwenye masuala ya utoaji wa huduma kwa wateja. Kwanza kabisa, hakuna namba maalum ya huduma kwa wateja ambayo...
1 Reactions
2 Replies
344 Views
Nina muda kidogo nimekuwa mteja wa mabasi kwa kusafirisha vifurushi na mizigo midogo kutokea Arusha kwenda Dar na Morogoro, nimebaini mapungufu mengi na ubora wa huduma kati yao, the best nime...
1 Reactions
17 Replies
768 Views
Kwa mujibu wa Orodha ya Vyuo Vikuu Bora Afrika inayoandaliwa Kila mwaka na jarida la UNIRANk imechapisha Vyuo 30 Bora Barani Afrika Mwaka 2024 kama inavyoonekana kwenye orodha hapa chini 👇👇 My...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Katika ulimwengu wa roho, Dar es salaam ni jiji ambalo wanaishi binadamu na majini. Majini ni nini? In my personal opinion which is based upon my personal understanding of the spiritual world...
29 Reactions
303 Replies
40K Views
Kwa wastani Watoto wanaozaliwa Mkoa wa Dar es Salaam kwa siku ni zaidi ya Watoto 430, ambapo kati ya hao, Watoto 86 sawa na asilimia 20 wanahitaji huduma mbalimbali za Watoto wachanga wenye...
1 Reactions
3 Replies
902 Views
Wakuu habari, leo nimeona nitoe pongezi kwa Mhimili wetu wa Mahakama kwa kuboresha huduma za usikilizaji na umalizaji wa kesi kwa wakati. Kwa kweli hili suala la mtu yupo Dar anaweza kufungua...
1 Reactions
1 Replies
100 Views
SIKU TUKIWEKA PEMBENI UJINGA WA KULINDANA Tukalimana kwa mujibu wa ilani, katiba, kanuni, miongozo na taratibu, na tukaazimia kutenda haki bila kuwaonea mafukara, tukausaka usawa — siku hiyo...
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Hiki ni mojawapo ya kifo cha furaha nilichowahi kushuhudia ...! Mzee Mwaisapile almaarufu kama Babu wa Loliondo ametwaliwa kutoka maisha haya.. Mwendo ameumaliza salama ... Kwa amani na kwa...
44 Reactions
79 Replies
7K Views
Back
Top Bottom