Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini(ccm),Priscus Tarimo amelaani tukio la kada wa chama hicho ,Idrisa Moses Makishe(38),kumwagiwa kimiminika kinachoaminika kuwa ni tindika. Makishe kada wa ccm ambaye...
0 Reactions
0 Replies
210 Views
Mtu unakula ugali mkubwa na nyama usiku kisha unalala ukiamka tena asubuhi unakula mlo mwingine, hii ni sawa kweli au Dr. Janabi yuko sahihi?
9 Reactions
38 Replies
954 Views
WOSIA WA MAMA KWA MWANAYE KUHUSU NDOA 1. Mwanangu, ukiona unatumia pesa kwa mwanamke na hajawahi kukuuliza kama unaweka akiba au kuwekeza, na anaendelea kufurahia tu, usimuoe huyo mwanamke. 2...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Migogoro Wa Ardhi unaoendelea Ngorongoro umekuwa ukijengewa dhana kadhaa ili ikubalike na wengi. Mara ni Mpango wa kuokoa uhifadhi, mara kulinda masalia ya wanyama, mara kulinda vyanzo vya...
0 Reactions
3 Replies
199 Views
Tanzania, mara nyingi, ajira zinatangazwa na waombaji hutakiwa kusubiri kwa wastani wa miezi 2 kabla ya kuitwa kwenye mahojiano. Baada ya mahojiano, waombaji wanapaswa kusubiri tena miezi kadhaa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameweka wazi kuwa Arusha imeanza kutengeneza magari aina ya Defender, ambayo sasa yanauzwa Ulaya. Akizungumza kwenye kongamano la Radiolojia lililofanyika leo...
10 Reactions
80 Replies
3K Views
Naandika andiko hili fupi nikiwa Unguja - Zanzibar baada ya safari ya takribani Wiki Mbili nikiwa kisiwani Pemba. Mimi ni Mwandishi wa habari na nimepata bahati ya kutembelea maeneo mengi...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Mimi ni myakyusa kiasili baba yangu myakyusa na mama mkinga, katika kuishi na kukua sasa nimejifunza jambo hili kwa wanyakyusa ni watu wenye upendo sana ukionyesha utu kwao na watu wenye dharau...
16 Reactions
124 Replies
8K Views
Gazeti lenu la leo tar 10/10/2024 ukurasa wa 18 kuna makala inasema "Kiasi cha mwinuko kinachofaa kwa basement kwenye ujenzi". Sasa nikawa natafuta kiasi hicho cha mwinuko wa kitaalamu ambao...
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Huyu ndiye marehemu Juma Jangalu, aliyekuwa mfanyabiashara wa korosho kwa kutembeza mtaani, na pia alimiliki duka hilo hapo pichani. Huyu ndiye aliyeuawa na wakusanya madeni wa kampuni ya mikopo...
12 Reactions
48 Replies
3K Views
Wakuu kwema? Leo ni siku ya tatu Mbezi Beach kwa Zena mtaa wa Mbezi Beach B hatuna maji. Hakuna taarifa yoyote tuliyopewa juu ya mgao huu, mnafikiri tuko kwenye mazingira gani DAWASA? Ni kama...
3 Reactions
11 Replies
844 Views
Huko Marekani hasa katika mji wa Florida kunatarajiwa kupigwa na kimbunga kikubwa kuwahi kutokea kwa karne nzima! Watu wote wameambiwa wahame makazi yao kwani aidha usalimike au ufe! Ukiona mpaka...
4 Reactions
13 Replies
628 Views
Mwanafunzi anayefahamika kwa jina la Joel Mariki (14) anayesoma kidato cha pili katika Shule ya Sekondari ya Bagara iliyopo wilayani Babati mkoani Manyara ambaye alipotea Jumamosi ya Septemba 14...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Pongezi ziwafikie raia mwema (jina kapuni) na Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Timu yake ya Usalama kwa ushirikiano wao jana 5 Oktoba, 2024 ambapo, Saa 9.56 jioni nilipokea ujumbe wa simu kutoka kwa raia...
71 Reactions
162 Replies
6K Views
Anonymous (abd2)
Mimi ni mkazi wa kijiji cha Uhindi, kata ya Uyowa, wilaya ya Kaliua, mkoa wa Tabora, kero yangu ni kuwa hapa kijijini kuna mradi wa maji kwa ufadhili wa Benki ya Dunia. Mradi huu kwa sasa...
0 Reactions
2 Replies
196 Views
Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka ikilenga kuongeza uelewa kuhusu masuala ya Afya ya Akili na kuchochea Watu kupata Msaada wa changamoto zinazotokana na Afya ya...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa nini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kushiriki shughuli muhimu za maziko kama hata kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?
14 Reactions
319 Replies
12K Views
Arusha Mfanyabiashara tajiri wa mawe ndugu Temu amefariki dunia na kuacha kizaazaa nyuma. Bwana huyo ana migodi, magari sita, mashamba, majumba na mahoteli na maviwanja. Alioa mke aitwae Yasinta...
100 Reactions
290 Replies
13K Views
Hakuna Toyota za wajapenga, Ni vyuma classic vya ulaya kama Ferrari, G wagon, Posrche, Bentley, Lamborgini, n.k.
0 Reactions
7 Replies
626 Views
Binadam anapo zaliwa anakua na uwezo mkubwa saana wa kuwaza mambo makubwa na ya maana saana. Ila kadri siku zinavyo songa anakua binadam huyu hupitia hali tofauti tofauti na kupelekea kupoteza...
1 Reactions
0 Replies
137 Views
Back
Top Bottom