Assume dunia nzima au watanzania wote tupo kwenye msiba wako tunakwenda kukuzika sasa kwa ufupi tu ungepewa nafasi uandike mambo ya mwisho siku za mwisho za uhai wako ungesema hoja gani wosia wa...
Taarifa unazoweka mitandaoni haziwezi kusahaulika, hata kama umeamua kuzifuta. Hivyo, ni muhimu kuwa makini na jinsi unavyotumia mitandao ya kijamii.
Kumbuka kuwa taarifa unazochapisha zinaweza...
Maswali Kuhusu Uchawi na Majina ya Kimungu
1. Je, mtu mwenye jina la kimungu kama Yesu, Muhammad, Hosana, Michael, au Gabriel anaweza kuathiriwa na uchawi?
2. Je, majina haya yana kinga yoyote...
Natembea sehemu nyingine duniani watu wana uweupe mwingi kwenye hilo eneo, ukija bongo yaani watu ni kama vile wamekula ndumu
Embu wenye ujuzi watuelezee, ni jua kali, ugumu wa maisha, msongo wa...
Kampuni za wakopeshaji pesa zilizozagaa mtaani kwa lugha ya pesa chap chap!
Baadhi zinafanya vizuri na baadhi zinafanya vibaya!
Ifahamike mtandao wa biashara unapoajiri vijana wengi huhitaji...
Mwameja Mohamed Mwameja ni moja kati ya makipa bora kabisa kuwahi kutokea kwenye historia ya soka la Tanzania.
Akifanya mahojiano na BIN Zubeir @ Azam Tv, aliulizwa swali nini siri ya ubora wa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Maji kuendelea na kasi ya usambazaji maji kutoka Ziwa Victoria ili kutatua adha ya ukosefu maji...
Wakuu kwema,
Nilikuja na uzi hapa baada ya kukosa maji karibu siku 5 bila taarifa yoyote, baada ya malalamiko kupelekwa Insta maji yakaanza kutoka, lakini toka yaanze kutoka presha ni ile ile...
Serikali kupitia mamlakaya mawasiliano nchini TCRA inahimiza wabunifu kubuni huduma mbalimbali za kiteknolojia ili kuchochea kasi ya maendeleo na kuboresha huduma ili kurahisisha maisha
Lakini...
Kumekuwa na ongezeko kubwa mno la wauzaji wa simu refurbished, Simu hizi ni original zimetumika marekani na ulaya, watu wa huko wakizichoka au zikiharibika kuna viwanda vimeona fursa ya...
Kaka (pangolin) ni mnyama wa kipekee ambaye historia yake inarudi nyuma mamilioni ya miaka. Pangolini wanaaminiwa kuwa walitokea wakati wa Eocene (takriban miaka milioni 55 iliyopita) na...
Ushirikiano kati ya Taasisi ya Adani Foundation na IITM Zanzibar kwa pamoja wamekubaliana katika kuboresha elimu ya juu nchini katika kuunda fursa kwa vijana, hasa wale wanaotoka katika familia...
Mwanzoni mwa mwaka huu niliboresha mifumo yangu ya kijamii kwa kukitoa kipengere cha kumuaga marehemu mara ya mwisho kama ni kitu cha lazima kwangu. Sifanyi hicho kitu tena.
Naamini muda sahihi...
Kuna dawa nazitafuta kwa dharula zinahitajika kwa mgonjwa.
Naomba anaefahamu duka la dawa za asili hapa Mwanza linapatikana maeneo gani... utakuwa umetoa msaada mkubwa sana.
Habari wakuu.
Naomba kwa anayefahamu zilipo ofisi za Katarama luxury mkoa wa mwanza anielekeze. Au ofisi zao zipo mule mule Nyegezi stand?
Natanguliza shukrani.
Msemo huu ulitolewa na Shirley Chisholm (Mwanamke wa Kwanza Mwafrika-Amerika katika Bunge la Marekani):
– Huu ni ujumbe kwa wanawake kwamba wanapaswa kutengeneza fursa pale ambapo hazipo...
Nadhani hivi karibuni kila Mtanzania na ulimwengu mzima kwa ujumla, wameshangazwa na kufadhaishwa na kauli ya Raisi Samia kutoa agizo kwamba madini yaliyoko Serengeti yachimbwe, kwa sababu simba...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,
Mara nyingi nimekuwa mtu wa usiku mwingi nikitoka kwenye shughul zangu, sasa changamoto niliyo nayo niko mbali na nyumbani, na ninategemea kukaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.