Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habar zenu Sababu zangu zinanzo nifanya nikate kwakijana mwenyewe elimu degree au diploma au masters kwenda jeshini yaani kujitolea Kwaza, unaenda kuua career yako mwenyewe uwezi kuwa competent...
5 Reactions
35 Replies
1K Views
wana jamii forums, naomba msaada wenu, alie hitimu veta level 3, anaendelea na diploma naomba mniambie chuo gani bora kwa ajiri ya civil engineering_fani ya masonry. ahsante
1 Reactions
1 Replies
170 Views
Moja ya video iliyogusa hisia za watu ni hii ya binti huyu aliyejivunia kuvaa joho huku kando yake kuna Baba yake akiwa na furaha tele mwanae kuhitimu Chuo. Ingawa sifahamu kuhusu mama yake, ila...
10 Reactions
25 Replies
2K Views
Anonymous (3a72)
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimanjaro Christian Medical University College(KCMUCo), naiomba tume ya vyuo vikuu Tanzania(TCU) iwe inafanya ukaguzi kwenye vyuo kujiridhisha kama utaratibu...
0 Reactions
2 Replies
175 Views
Serikali ya CCM inawekwa na wananchi baada ya kuridhia CCM iwe chama tawala. Hatupaswi, wanachama wa CCM, kuonekana na mionekano ya kimaskini na ombaomba. Wakili Msomi na Jasiri, Boniface...
1 Reactions
1 Replies
142 Views
Mimi ni baba wa watoto watatu Na mke mmoja Nina miaka 34. Mtoto wa Kwanza ni kwa mwanamke wa Kwanza na Hawa wawili ni kwa mke niliyenae sasa ambaye naishi nae hapa nyumbani. Nimezaliwa Na...
18 Reactions
111 Replies
4K Views
Wananchi wenzangu hili lilijidhihirisha wakati wa uchaguzi wa mwaka 2020, lilijidhihirisha wakati wa maandamano ya Kenya (labda Ili Gen Z wa huku wasiige tabia mbaya), wakati wa vuguvugu la msiba...
2 Reactions
11 Replies
287 Views
Wakuu, habari zenu! Kwa miaka mingi mingi sasa, wananchi wa Tanzania wamejihusisha na kilimo cha Tumbaku katika baadhi ya mikoa nchini. Kutokana utafiti mdogo niliofanya...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Machawa Wanatuharibia Taifa kwa Kuendeleza Ufisadi na Kupewa Rushwa Kama Watoto wa Ndege Katika hotuba yake, Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula wa Makanisa ya Moravian ya Uamsho Tanzania alisema...
0 Reactions
0 Replies
125 Views
Anonymous (e62e)
Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, haina hata kilometa ya lami, haina miradi yoyote ya maji. Imetelekezwa. Wananchi waomba kuhamia nchi ingine. Mbunge hajasadia chochote.
2 Reactions
1 Replies
134 Views
UKISHINDWA KUJIBU HOJA, TAFSIRI YAKE HOJA ZILE NI HOJA ZA UKWELI Hoja nyingi huwa na uchungu kwa sababu zinabeba ukweli unaoumiza. Hatupaswi kuukwepa ukweli, kwani ukweli wa jambo ndio haki...
0 Reactions
0 Replies
133 Views
Ukiangalia yanayoendelea uganda kupitia mtoto wa museven Muhoozi Kainerugaba ambaye ni CDF ni uwezekano wa uganda kuwa kama zimbabwe kwanini nasema hivi Majuzi ubalozi wa marekani ulitoa tamko...
1 Reactions
2 Replies
227 Views
Wakati matukio ya ulawiti na ubakaji yakionekana kuongezeka nchini na Serikali kuwachukulia hatua baadhi ya watuhumiwa ikiwemo kuwafikisha kwenye Vyombo vya Sheria, lakini katika hali ya...
1 Reactions
4 Replies
355 Views
Anonymous (8083)
Tunaandika ujumbe huu tukiwa na huzuni ya kiwango cha hali ya juu kutokana na yake tunayopitia, sisi ni wastaafu tuliokuwa Watumishi wa Umma ndani ya Wizara ya Ulinzi, tumefanya kazi kwa vipindi...
1 Reactions
9 Replies
502 Views
Wazee kwema? Riding sharing Apps zipo nyingi, lakini zilizojizolea umaarufu Tanzania ni Bolt na Uber. Kwa kawaida, dereva anakua na App [Bolt Driver au Uber Driver App] hafu anaitwa na App ya...
0 Reactions
10 Replies
702 Views
Uamuzi huo umefanywa na Jaji Alexandre de Moraes ikiwa ni miezi miwili tangu Mtandao huo ilipofungiwa kutoa huduma zake nchini humo kwa madai ya kukiuka Sheria ya Mitandao > Brazil's Supreme...
1 Reactions
1 Replies
448 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limethibitisha kuwashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya mama na bintiye wakazi wa mkoani humo Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Alchelaus Mutalemwa...
3 Reactions
9 Replies
689 Views
Bado changamoto nyingi tulizonazo zinasababishwa na watawala na serikali zetu za kiafrika. Kwa Akili ya kawaida na viongozi wenye Akili timamu hawawezi kulazimisha kila Bus dogo linaloenda kwa...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Watoto wana haki ya kudeka na kufaidi matunda ya wazazi lakini ni muhimu pia wao wajifunze kuwajenga uwezo wa kujisimamia bila backup ya mzazi. Kwa maisha ya kiuhalisia ya hapa bongo lolote...
3 Reactions
18 Replies
685 Views
Mbunge wa jimbo la Chaani Mhe, Juma Usonge ameendelea na utoaji wa vyakula kwa wanafunzi wa watahiniwa wa kidato cha pili skuli za Sekondari Jimbo la Chaani wilaya ya kaskazin A Unguja. Usonge...
0 Reactions
2 Replies
203 Views
Back
Top Bottom