Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Katika mengi yanayozungumzwa baada ya kifo cha Dida ni hili la maisha ya mtoto wake baada ya hapa, huku wengi wakimsikitikia na kujiuliza kwamba ataishije. Bali kwa kadri ya kumbukumbu za...
14 Reactions
44 Replies
2K Views
Serikali imesaini mikataba mitano itakayowezesha kuanza ujenzi wa madaraja 13 katika sehemu za barabara zilizoathiriwa na Mvua za El-Nino na Kimbunga Hidaya katika Mkoa wa Lindi ambapo jumla ya...
1 Reactions
9 Replies
563 Views
Habar wakuu msaada wenu wa mawazo binti yangu ana miezi saba kamili sasa. Awali ya yote tangu ijumaa kaanza kuugua malaria akapewa doze ya mseto, sasa tangu alfajiri ya leo kaanza kuharisha na...
5 Reactions
26 Replies
960 Views
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza bei za Mafuta kwa Mwezi Oktoba, 2024. Pia, soma: Bei ya Petroli, Dizeli Oktoba sasa kitonga, sababu za kushuka zatajwa
1 Reactions
0 Replies
307 Views
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei leo ametia saini Kitabu cha maombolezo ya Kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Msamaria Mwema (GSF) na Hospitali ya KCMC...
1 Reactions
1 Replies
321 Views
Kuna watu wamemlaumu raisi Samia moja kwa moja kwamba anahusika na utekaji na uuaji unaofanyika nchini kwa sababu kuna viashiria vikubwa sana vyombo vya dola vinahusika katika uhalifu huu. Lakini...
1 Reactions
31 Replies
947 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) - Zanzibar, Dkt. Mzuri Issa amewataka Waandishi wa Habari nchini kuwa Mabalozi kwa kuandika habari zinazohusu masuala ya...
0 Reactions
1 Replies
194 Views
Inaelezwa Serikali imetafuta Kampuni kutoka Dubai ili kuipa tenda ya kuendesha Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ushirikiano wa Umma na Binafsi...
7 Reactions
40 Replies
4K Views
Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania (TNMC) kuanzia October 7, 2024 walifungua rasmi dirisha la maombi utarajali (intern), kupitia mfumo wa kimtandao (online). Katika hali ya kushangaza...
1 Reactions
0 Replies
191 Views
Sababu kubwa ni kwamba ofisi ilikuwa Ilala na sasa imehamia Temeke na leseni yangu ambayo bado iko active nilikuWa sijai-relocate. Na nimehamia hapa mwezi huu kwa hiyo hilo zoezi nilikuwa njiani...
8 Reactions
46 Replies
1K Views
Wapiga Debe, madereva bajaj na bodaboda wamekuwa wakijisaidia haja ndogo kwenye eneo la hifadhi ya barabara na mitaroni Barabara iendayo Stendi ya Mabasi Magufuli. Ukipita hapo pananuka haja...
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Tunasikia vilio na malalamiko kuhusu wachungaji wenye kuwatapeli waumini wao na wasio waumini wao. Wenye kuamini miujiza ila utapeli huo wa kisasa zaidi mchungaji anatoa chupa ya maji na...
1 Reactions
3 Replies
258 Views
Tangu tuanze kusikia habari za Adani kutaka kupewa tender na serikali umeme umeanza kukatika katika hovyo. Kabla ya kuanza habari za hawa Adani umeme ulikuwa haukatiki hovyo. Ila hivi karibu si...
15 Reactions
39 Replies
882 Views
Kati ya mambo yanastaajabisha nchi hii ni viongozi kuendekeza mambo yasikuwa na tija kwa wananchi na jamii, Serikali imeshindwa kujenga jengo la Ofisi ya Mwalimu Mkuu na Waalimu katika Shule ya...
0 Reactions
1 Replies
525 Views
Wale wapenzi wa divai au wine mnakaribishwa kushare experience yenu katika ladha tofauti tofauti za divai na ipi ni favorite kwako. Divai (kutoka Kifaransa du vin) ni kileokinachotengenezwa kwa...
9 Reactions
140 Replies
38K Views
Serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia inaendelea kuhakikisha inaziba pengo la kidijitali kwa kuwapatia walimu wa shule za Sekondari mafunzo ya TEHAMA kutoka maeneo mbalimbali ya...
1 Reactions
1 Replies
186 Views
Ivi Umewahi kufikiria hili? Katika miaka mia ijayo, mwaka 2124, sisi sote hatutakawapo hata jamaa na marafiki zetu pia. Watu wasiojulikana wataishi katika nyumba zetu ambazo tumejenga kwa...
13 Reactions
27 Replies
2K Views
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa ameutaka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) pamoja na vyombo vingine vya usafiri ndani ya maji kuzingatia sheria na miongozo mbalimbali ya usalama kwenye vivuko...
0 Reactions
16 Replies
534 Views
IMESHAURIWA na wanataaluma wa afya ya akili kwamba, mahali pa kazi kuwapo ‘mentors’ (washauri), ili kuponya ‘majeraha’ ya kiakili kazini yanayowakumba wafanyakazi kama vile sonona na msongo wa...
1 Reactions
0 Replies
862 Views
Habari ya uzima huu ni Uzi maalumu wa watu kutoa code za maisha ili tufaidike sote. Mimi leo natoa code mbili. (Third hand -CODE) Hii code ya third hand huwa tunaitumia kutengeneza connection...
3 Reactions
13 Replies
748 Views
Back
Top Bottom