Yule paka usiku huu alikuwa pembeni ya barabara pale karibu na Ubalozi wa Oman, Mikocheni.
Nimekwenda nikamwona, a kitten, a scraggy kitten, nikafikiria kumchukua niende nae nyumbani.
Yule paka...
Naskia SGR wanapakia abiria hadi wa buku alafu wanapitiliza hadi dodoma
Juzi hapa kulikuwa na malalamiko abiria wa Doodma wale original na wa moro wanakosa tiketi wanaona online treni imejaa...
Miaka ya zamani kdg ndo nimemaliza chuo nikapata kazi kwenye NGO moja hv. Huko nikawa naponda sana mali, yaani ilikua ni gambe na mademu tu. Mara paaa NGO ikamaliza issue zake wakafunga virago...
Karibu rafiki yangu mpendwa kwenye makala hii ya ushauri wa changamoto zinazotuzuia kupiga hatua na kufanikiwa kwenye maisha.
Kwenye makala hii tunakwenda kujifunza jinsi ya kuondoka kwenye...
Tumetoka kumsindikiza jamaa wetu kafiwa na mama ake mzazi huko mkoani lakini mpaka mvua imetukuta uko porini wanasoma orodha ndefu ya watu watakao weka maua kwenye kaburi ya marehemu, tumetoka...
Tangia mwaka jana mmekuwa mkituma meseji zikinialika kutembelea duka la Vodashop lililo jirani nami ili nijipatie simu janja. Baada ya mwaka mzima wa meseji hizo kuwa kero, niliamua leo kutembelea...
Naanza kwa kuipongeza Serikali kwa kazi nzuri ya Ujenzi wa Reli ya Mwendo kasi inayo endelea, hakuna shaka yeyote kwasasa watanzania wamesha anza kuonja matunda ya reli hiyo wakitokea Dar - Dom na...
Moja kwa moja.
Nilichelewa basi la kuelekea Mwanza la alfajili ya jana, ile nafika pale shekilango naambiwa 'boss mbona umechelewa, basi limeondoka?' mmoja wa staff akaniambia labda uondoke na la...
Ofisi ya Kamishna wa Ardhi mkoa wa Mwanza imeendesha Klinik ya Ardhi katika halmashauri ya Ilemela mtaa kwa mtaa ili kuwafikia wananchi wengi kwa haraka na kuwapatia huduma za ardhi wanazohitaji...
Hahaha Ukitaka kujua jinsi gani akili ya kijana wa kiume ni chafu ebu fungua uzi wa "ipi ni sexual fantasy yako?"
Ukitaka kujua hatua mwanamke anaweza kufika kwa ajili tu ya urembo wake ebu...
Sekta Binafsi, Makampuni binafsi baadhi hawaweki pesa za Wafanyakazi katika mifuko yao ya mafao na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lipo tu halichukui hatua zozote.
Sijui Maafisa...
Ushauri wangu kwa NSSF
Kutokana na maendeleo ya technologia, wastaafu wanaweza kurahisishiwa kabisa taratibu za kupokea mafao yao badala ya kuwacheleweshea kwa kisingizio cha taratibu zilizopitwa...
MKe wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe. Mama Mariam Mwinyi amesema Zanzibar inaendelea kuchukua juhudi...
MIAKA 60 YA HIFADHI YA TAIFA RUAHA, WAZIRI PINDI AZINDUA UTALII WA PUTO
■Maboresho makubwa ya Miundombinu ya Utalii yaja
Na Happiness Shayo
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,Dkt...
MAUZO NDIO MOYO WA BIASHARA
Huwa napenda kufananisha biashara na mwili wa binadamu. Ambapo mzunguko wa fedha kwenye biashara huwa naufananisha na mzunguko wa damu kwenye mwili wa binadamu.
Mfumo...
TAMBUA KWAMBA KUZALIWA NA KUFA ni udanganyifu tu SIO Kitu halisi.
Jibu nikwamba hujawahi kuzaliwa Wala hujawahi KUFA ila unabadilika KUTOKA Hali moja Hadi nyingine inawezekana kuna malengo mengi...
Katila jambo ambalo huwa linanifikirisha mpaka leo, ni jinsi ambavyo wateja wanaotaka kuunganishiwa umeme ni wengi sana, lakini Tanesco imeshindwejekuwafikia. Na wale wanaounganishiwa umeme,basi...
Nchi za Afrika hupeleka satelaiti zao anga za mbali kwa sababu mbalimbali, ikiwemo kufanya tafiti za kilimo na kurahisisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano.
Ifuatayo ni orodha ya nchi za...
Habari wanajamii,wajameni hivi wenzangu huwa mnachunguza Hii TV ya kiislam iitwayo TV Imaan?
Hivi kweli kuna watu wanaangaliaga taarifa ya habari za kimataifa kwenye hii TV?
Yaani habari za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.