Unakuta mtu anajiita Atheist Ila anaamini katika universe na nature Ila haamini kuhusu Mungu mwingine yeye hatambui universe wala nature Ila anaamini Mungu. Ukifatilia hawa wote hawajitambui maana...
Hapa natoa madokezo (hints) kuhusu kujiunganisha na mizimu ya kwenu ili kuweka mambo yako sawa.
Tunaanza.
1. Tafuta eneo safi na tulivu
Hakikisha Una eneo safi na tulivu ambalo utalitumia Kama...
Pole na Majukumu yako ya Kiutendaji na hongera kwa yale mazuri unayofanya kwa Tanzania japo kwa kawaida changamoto za Kiutawala / Kiuongozi kwa Rais yoyote hazikosekani na kama hutozimaliza Wewe...
Kuruhusu programu kupata taarifa binafsi kama vile eneo, kamera, na namba za simu "Contacts" inaweza kuwa na madhara, kwani zinaweza kukusanya na kutumia taarifsa zako binafsi bila mtumiaji kujua...
NASA wametoa picha mjongeo ya sayari ya Mars, yaani ni kama inafanana na dunia yetu, nahisi huko mbele kuna watu wataenda kuishi huko.
Source: science.nasa.gov
Sakata la kifo cha Rapa maarufu duniani kutoka Marekani, Tupac Amaru Shakur au kwa jina maarufu 2Pac au Makaveli linaenda kuchukua sura mpya baada ya leo mshukiwa namba moja Keefe D kukiri mbele...
Kwema Wakuu!
Tofauti kubwa ya mwerevu na mjinga ni kuwa Mwerevu anaweza kujifanya, kuigiza kuwa ni Mjinga ila Mjinga hawezi kujifanya wala kuigiza kuwa ni mwerevu.
Vile vile Tajiri huweza...
Katika hali inayoonekana kama njia ya kupunguza na kuondoa taharuki huko mashariki ya kati, serikali ya Marekani imesema ipo tayari kulipa fidia kutokana na madhara ya mashambulizi ya makombora...
Waziri wa Fedha, Dr. Mwigulu Nchemba , tunaomba kujua huyu mtu ni nani hasa na je, BOT walimpa leseni ya kufanya hii biashara kihalali hapa nchini?
Na kama ana leseni, basi Waziri Mwigulu hebu...
Hili sijui naliona mimi pekee ni shida, kwanini ofisi nyingi za Masijala za halmashauri hazina dawati maalum ndani ya ofisi kwa ajili ya kuhudumia wateja wao ambao wengi wao huwa ni watumishi ila...
Bwana yesu asifiwe wanaJF ,
Bila kupepesa macho nikiwa katika hatua za mwisho kabisa za kumaliza kikundi hichi kiovu.
Swali langu nawaachia
Mbona sisi wakristo tulioshika neno (Watakatifu)...
Leo mchana nilikuwa nimechoka na kazi ngumu nikasema acha nikajifidie hata masaa sita nikalale.
Nikajikuta nimeishia saa moja japo kuwa usiku mzima nyuma yake sikulala kabisa
Habari za wakati huu wakuu wangu, mimi nina kero yangu kuhusu hawa Askari wa usalama barabarani traffic kuchukua rushwa (kifurushi) badala ya kukagua gari.
Kwahiyo madereva wanashughulika na kuwa...
Kumekuwa na adhabu kali na kauli mbaya zinazotolewa na baadhi ya Walimu kwa watoto wetu pale ambapo mzazi hajatoa kiasi cha Tsh 2,000 kila wiki kwaajili ya masomo ya remidial na hatushirikishwi...
Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Bw.Plasduce Mbossa amesema kuwa mamlaka hiyo imejipanga kufanya upanuzi wa bandari zake, ili...
Maswali Kuhusu Uchawi na Majina ya Kimungu
1. Je, mtu mwenye jina la kimungu kama Yesu, Muhammad, Hosana, Michael, au Gabriel anaweza kuathiriwa na uchawi?
2. Je, majina haya yana kinga yoyote...
Natoa angalizo kuhusu kikokotoo kati 35% na 40%
Kuna uwezekano mkubwa wastaafu wanaliwa vichwa: Mwajili (HR) anakupigia mahesabu ya kikokotoo cha 40%, kule PSSSF wanakupa staili ya 35%
Huu mfuko...
Congo kuna shida sana ya usafiri wa Meli mto Kongo
Watanzania kawekezeni usafiri wa meli mto Kongo mtapata pesa nyingi, Wasafiri wako wa kutosha Meli mgogoro
Angalieni wanavyopata shida usafiri...
Utangulizi
Kikao cha mwisho cha kupitisha wakandarasi, chini ya uongozi wa Eng. Menye David Manga, Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi (Engineering Registration Board - ERB), kilifanyika...
Niko hapa mpaka wa kenya na Tanzania nasikiliza radio za kenya. Ki ukweli wako mbali sana katika uchambuzi wa masuaala mbalimbali ya siasa, uchumi na ya kijamii. Hakuna haja hata ya kujiunga na DW...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.