Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mungu ni mwema nyote Mabibi na mabwana! Imesaidia wengi japo baada ya muda hurudi Tena nawewe unaweka Tena. Chakufanya. Nunua ugoro kulingana na ukubwa wa paa lako(nyumba) Nunua Grease oil...
11 Reactions
44 Replies
1K Views
Wanawake tangu kuolewa kwao mpaka kuzeeka huwa hawawapi waume zao nafasi za kuwa huru na kushukuriwa. Kwa bahati mbaya sana vijana wa kiume ndiyo wanaoongoza kwa kuwashutumu na kuwatendea vibaya...
3 Reactions
2 Replies
504 Views
Dunani huwezi kujua kila kitu, leo nimeshangaa kugundua kwamba mwanzilishi wa Kampuni ya Apple yaani Steve Jobs alikuwa Mwarabu wa Syria na baba yake alikuwa anaitwa Abdul Fattah Jandali ila...
15 Reactions
44 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu! Naomba kuuliza SIDO Mwanza wanapatikana wapi?
2 Reactions
9 Replies
257 Views
Nimeshindwa na kutoelwewa kwa nini TANROADS wanajenga mifumo ya flyover ambayo inahitaji taa za kuongoza magari (traffic lights) kwenye barabara zilizo busy. Mfano ni flyover za Ubungo, Tazara na...
1 Reactions
1 Replies
212 Views
Habari wakuu Mimi nimfanya biashara wa duka la rejareja kwa muda mrefu ila ndani ya mwezii kinamatukio matatu yametokea yameniweka mdomo WAZI pesa za mauzo zinapotea zote kimazingira Tukio la...
4 Reactions
53 Replies
2K Views
Anonymous (a487)
Waboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura Kigoma wanyimwa posho ya usafiribkiasi cha shilingi 90,000/= kwa kila mshiriki. Wadau walihoji kabla ya kuanza kwa zoezi la uandikishaji juu ya...
0 Reactions
8 Replies
552 Views
Kwa aliyekuwa anasikiliza maongezi yenu leo katika PB ni ukweli umewekwa wazi, kwamba watoto wanaosoma katika shule za "Private' ni asilimia 1 na point tu ya wanafunzi wote wa Tanzania. Twaweza...
0 Reactions
0 Replies
182 Views
Tawi lenu lililipo mtaa wa Livingstone Kariakoo ni tawi linalotoa huduma mbovu zaidi ya matawi yote niliyowahi kuhudumiwa. Ni mara kadhaa inanichukua hadi saa tatu kuhudumiwa huku nikiwa na kadi...
1 Reactions
3 Replies
318 Views
Story iko hivi kama miezi sita kuna mteja alikuja akanipa kazi ya kumtengenezea tv nikamchaji elf35 alinipa hela usiku muda wa saa1 kesho nikawa siioni elfu 10 na ikapotea mazingira ya kutatanisha...
10 Reactions
10 Replies
901 Views
Je, Taifa halina wenyewe kiasi kwamba Rais wa nchi ndivyo anakuwa final, na nchi imekosa Wastaafu wa dhati kabisa kusema kauli njema zenye kuakisi tunu ya hekima na busara za Taifa hili...
1 Reactions
9 Replies
293 Views
Ukitazama mitandao ya jamii na mitaani Kuna vijana wanajinadi kabisa kuwa tops,vers na bottoms lakini hawachukuliwi hatua za kisheria. Je ushoga umeachwa uenee bila wasi wasi?.
11 Reactions
152 Replies
22K Views
Hakika kuishi DAR kuna RAHA na SHIDA Zake. Shida kubwa ya Kuishi Dar ni Umbali wa kutoka unapoishi na unapofanyia shughuli zako za kila siku. Kama Mtumishi wa Umma anayeishi Mabwepande au Chanika...
26 Reactions
272 Replies
16K Views
Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, imemhukumu kifungo cha miaka mitatu jela pamoja na kurejesha Sh milioni 10.3, Mwalimu Josiah Mkome baada ya kukutwa na hatia katika kesi ya uhujumu...
0 Reactions
47 Replies
10K Views
Sisi Wakazi wa Kata ya Mabibo, Mtaa wa Kanuni hapa Dar es Salaam tuna changamoto ya kutokuwa na huduma ya maji kwa muda wa miezi miwili sasa. Maji hayatoki kabisa huku kwetu na siku yakitoka ni...
0 Reactions
18 Replies
575 Views
Kuna watu wanaamini kwamba Vatican kupitia Papa ndio mtawala na kiongozi mkuu wa ulimwengu huu. Wameenda mbali na kusema kwamba Papa ndio Mpinga Kristo aliyetabiriwa na kupewa secret code 666...
8 Reactions
93 Replies
3K Views
Nimekataa uwapo wa uchawi na wachawi kati yetu. Tulionao ni wababaishaji na watu tunaowatuhumu kwa kuwasengenyasengenya tu. Wachawi kiukweli hawapo na bado ninawatafuta. Ninataka wajitokeze na...
13 Reactions
56 Replies
5K Views
1.Tajiri wa Babeli(Tafsiri ya kitabu The richest man in it Babylon) 2. Mapenzi bora(ushairi wa Shaaban Robert) 3. Sanaa ya vita(Tafsiri ya kitabu The art of war) 4. Kiongozi(Tafsiri ya kitabu, The...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Mimi ni mteja mzuri tu wa betting companies( ambaye sometimes nabet mpaka 40M kwa mwezi). Miezi kadhaa iliyopita nilihamia Wasafibet baada ya kuona wanatoa odds nzuri na mechi nyingi zaidi in play...
0 Reactions
1 Replies
218 Views
 Hakuna kitu kinaumiza kama kuona mabinti wa Arusha na Moshi wakiwa wamekimbilia mikoa mingine kufanya kazi bar nk.. Wakati maeneo watokayo ndiko kulikogunduliwa madini ghali zaidi duniani na...
9 Reactions
49 Replies
2K Views
Back
Top Bottom