Mwili wa Dr. Dismas Chami aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Ulyankulu, Tabora umeokotwa maeneo ya Malolo, Tabora asubuhi ya leo. Dr.Chami aliondoka nyumbani (Kaliua) Jumatano ya...
Kukitokea misiba hasa ya viongozi au watu maarufu huwa naona kuna kitabu cja wageni . Lakini kwenye misiba ya kawaiada huwezi kukuta kitu kama hicho zaidi ya kitabu cha michango ambayo ndio...
Unapokua katika msoto wa kutafuta kazi kiutaratibu wa matoleo unapaswa kuupeleka mshahara wote baada ya malipo yako ya kwanza kama malimbuko kanisani.
Hii inakusaidia kukulinda kazini dhidi ya...
Zaidi ya asilimia 90 ya huduma zinazotolewa kwenye migodi ya madini nchini zinatolewa na watanzania huku vijana wakiaswa kutunza afya zao na kuepuka makundi hatarishi ili kuzifikia fursa zilizopo...
Kwa ambaye amefanikiwa kuomba hizi leseni TCRA na kufanikiwa kupata ama anayefahamu taratibu za kuzipata naomba muongozo hapa ama mawasiliano yake anielekeze kitu, nitamfidia muda wake.
Asante
Huenda wakati mwingine kama wazazi huwa tunapenda wenetu wasome katika shule zenye majina makubwa au zile ambazo ni maarufu hapa jijini dar es salaam, lakini kiukweli maumivu ya usafiri wa...
Kwangu nijambo la kushangaza Sana. Inakuwaje viongozi wapo na wanaendelea kuwepo pale ambapo Taasisi inapata hasara ya zaidi ya bilioni na inaviongozi watu wazima?
Impact Yao niipi Kama Taasisi...
Vatican City: Nchi? Mji? Serikali au Kampuni?
Nadhani moja kati ya maeneo ambayo yamekuwa tata zaidi kuyaelewa basi ni mji wa Vatican… tukiachilia mbali kuhusu utata/ugumu wa kuelewa mfumo wake...
1. Hakikisha Kompyuta au simu yako inajifunga Kioo (Lock Screen) muda mchache ikikaa bila matumizi ili kuzuia mtu kutumia bila ruhusa
2. Ikiwa unahifadhi Taarifa Nyeti kwenye ‘flash drive’ au...
Siwatishi, hili naliongelea kama mzazi.
Hizi birthday na party za ajabu ajabu zinaharibu sana watoto wa watu.
Hata kwa wanawake wenye watoto wengi, wanapotaka kwenda kwa wanaume zao, wanatumia...
Nimemaliza chuo kikuu cha st John's Dodoma (st.John’s university of Tanzania ) intake ya 2014/2017 fani ya maabara kwa ngazi ya stashahada(diploma in Medical laboratory ).
Licha ya kuwa nimepata...
Baada ya kuona kwenye Habari Serikali imeanzisha Mfuko wa Nishati Safi ya Kupikia nikaona ni vema tuangalie kwa nchi Yetu Nishati hio ni ipi na ni vipi itatufaa, ili tusije kuingia gharama ambazo...
Kwa hio mnataka kujifanya mmelemewa na wateja, aaah wapi, hii benki kimei aliondoka nayo na waliobaki ni wazinguaji tu.
Kama ukuu wenu ndio unawapa viburi tambueni akaunti zetu sio mikataba na...
Mkuu wa Kitengo cha Hazina na Masoko ya Dunia wa benki ya Exim Tanzania, Nelson Kishanda akizungumza na wafanyakazi wa benki hiyo katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja 2024 katika tawi...
Ndoa stable kabisa ambayo iliyopitia magomvi kadhaa lakini haijawahi kuwa na tishio lolote la kuachana.
Watoto wa 4 huku wa kwanza wao akiwa na miaka 18,yaani wawili wa kike na wawili wa kiume...
Haya maisha bana, ukiamua kufuata vitu kwa njia ya haki unakuta unapoteza muda na hao ambao wko responsible kuhakikisha mambo yanaenda vizur hajisogez hata kidogo.
Just imagine nina msala...
Kuelekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya leo nimejikuta nimekumbuka nyuma kidogo mwanzoni mwaka miaka ya 2000 kurudi nyuma. Namna ambavyo sherehe hizi zilivyokuwa zinafana na kupendeza kwa namna...
Nawapa tips watu wa mshahara, hii ni gauge ya kujipima kama unafanya kazi au unafanywa kazi, nitatumia mifano hai, ambayo unaweza kurelate nayo kwa Tanzania. Ukiona inakukera ujue ushafeli.
1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.