Juzi Juma mamosi nilikua Sehemu nakula akapita Binti nikamsemesha, Direct Bint, anataka 50k kwa Bao Moja. Kwamba apendi kutongozana, ni mrembo kwa mtazamo wangu,nikawaza faster.
Kama huyu Binti...
Wafanyabiashara wa chakula maarufu kama Mama Lishe wametoa wito kwa wadau wa maendeleo kushirikiana nao katika kutatua changamoto mbalimbali zinazokabili biashara zao, hususan ukosefu wa vifaa vya...
Natumaini mnaendelea vizuri na ujenzi wa Taifa.
Kumekuwa na sababu lukuki zisemwazo kuwa chanzo cha wanawake kuchoka/kuzeeka haraka, kama vile kuzaa sana, tutojipenda/kujijali, kuanza mahusiano...
Umekuja kwenye msiba ama harusi ama shughuli yoyote nyumbani watu tushashiba tushakunywa we usiku unaanza kutuuliza eti nilale wapi? Tafuta sehemu yoyote ulale sio unataka kugombania vitanda.
Miongoni mwa wilaya zenye idadi kubwa ya kata hapa nchini Tanzania ni wilaya ya kilosa. Wilaya ya Kilosa ina jumla ya kata 38 mara baada ya kugawanywa kidogo na kuzaa wilaya ya gairo yenye kata 8...
Salaam wana jukwaa!
Sina haja ya kueleza kwa kina yaliyowakuta wayahudi, lakini Vitabu vya historia—vya kisekula na kidini—vinaeleza wayahudi walifukuzwa na kuuawa maeneo mengi ya Asia na ulaya...
INTRODUCTON.
Leo naongea na wote wenye uhitaji wa pesa, Kila mpango wako kupata pesa umekwama,
Naongea na wote wenye ukata wa pesa, walioajiriwa na Wana mishahara lakini wanadaiwa Kila Kona...
Nazungumzia mdudu chawa anayependa uchafu siku hizi wamepungua sana ni nadra kukuta mtu ana chawa kichwani hata mimi nauhakika sijamuona chawa kwenye nguo tangu takriban miaka mitano.
Labda...
Wenye ndugu zao waliosafiri usiku wajaribu kufanya mawasiliano. Ni basi na lori, haijafahamika ni basi la kampuni gani.
Kwa mwenye habari zaidi atatujulisha. Pole sana kwa wahanga wa ajali hiyo...
Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Eng Mwajuma Waziri wamekutana na Balozi wa Hungary mwenye makazi yake Nairob Kenya Mh.Zsolt Meszaros akiwa na ujumbe kutoka Hungary...
Naishi madale Mbopo, maji yanayotoka kwenye mabomba maeneo haya ni machafu mno.
Naiomba mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira (DAWASA) ichukue hatua.
Pia soma:
- DAWASA kwanini mmeshindwa...
Mradi wa miundombinu wa Lobito Corridor, unaounganisha nchi nne za Afrika, uko tayari kutekelezwa baada ya Marekani kutoa msaada wa kiufundi kwa ajili ya utafiti wa athari za mazingira.
Utafiti...
Rais wa Brazil Lula Da Silva ametishia kuyafungia makampuni yanayojihusisha na michezo ya kubahatisha kupitia michezo mbalimbali mitandaoni ili kuondoa janga la uraibu lililowakumba raia wake...
Pasipo kitu ndio upo, pasipo kitu ndio chanzo cha kila kitu. Hivyo basi, endelea kuwa hadi usiwe kitu chochote kwa kuwa katika si chochote ndio kila kitu kipo hapo.
Hivyo ukiweza kuwa hapo...
Hawa jamaa wana utoto mwingi sana ndio maana serikali ya Marekani haiwahitaji and soon their place in the United States will be replaced by African, Jamaican and Haitian immigrants plus other...
Huu mkoa hauna tofauti na mikoa mingine maarufu kwa mambo ya kishirikina. Tofauti na watu wanavyodhani, ukienda Bukoba vijijini kuna vilinge vya Mshana JR.
Matambiko, mila potofu, taboo...
Tutakukumbuka milele milele yote, hakikanulikuwa mtu mwema na mwalimumwema.
Daima ulituonya, kutukanya na kutuasa.
JamiiForums watakukumbuka kwa ucheshi na vibweka vyako. Uliniasa nisi disclose...
Hivi kwanini Kanisa lisiruhusu waumini kuoa mke zaidi ya mmoja?Sioni sababu ya kukataza
Wakuu ni kwanini tu kanisa lisiruhusu waumini kuoa mke zaidi ya mmoja?Maana kusema kweli watu wengi...
Habarini,
Kwa baadhi ya watu humu kama mnavonijua humu jukwaani, mimi sio mtu wa mambo ya kiroho, ni mkristo, ila ni mkristo jina, kanisani siendagi kabisa dhambi ninazo nyingi sana, sisomagi...
Jamani, Tanesco, nalia na nyie! Mtatutoa roho nyie. Yaani mtu unanunua umeme wa shilingi elfu 20, unapewa umeme wa shilingi elfu 10? Hivi nyie mna matatizo gani?
Iko hivi, juzi umeme kwangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.