Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jamani, hapo kabla sikuwahi kusikia haya mambo. Na kama yalikuwepo basi ni wachache sana. Ila kwa sasa hata ndugu zangu akina muraa, nao wanamezwa na mabadiliko. Mwanaume kumtegemea zaidi...
3 Reactions
5 Replies
244 Views
Wasalaam, Wakuu, hivi ni mimi pekee yangu hii kitu/tabia ndio inanibore au nyie wenzangu inakuaje mnapokutana nayo Unakuta mtu anakutafuta whatever ni texts conversation au call, unamuheshimu...
18 Reactions
96 Replies
3K Views
Tuishi nao kwa akili hawa viumbe ni waongo. Kati ya maneno kumi wanayoongea neno la ukweli ni moja tu au yote yanaweza kua ya uongo. Bibilia yenyewe imewanyooshea mikono inasema wazi wazi kua...
1 Reactions
29 Replies
922 Views
Nina mipango mingi katika kuanzisha vyanzo vya mapato Wakati Sina pesa natamani nikipata fedha kiasi Fulani niwekeze ktk biashara kilimo au ufigaji wa kuku Wazo nalichorea mchoro naiwekea...
0 Reactions
2 Replies
193 Views
Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu. Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema...
30 Reactions
317 Replies
6K Views
Wakuu karibuni tuchemshe bongo. Source ya picha ni BBC Watu wa imani wanasema binadamu aliumbwa na Mungu na alipewa akili ya kutawala kila kitu yaani viumbe wote. Sasa hapo juu ndio list ya...
2 Reactions
7 Replies
370 Views
Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akiongea katika mkutano na waandishi wa habari ,viongozi wa serikali na wadau mbalimbali uliofanyika katika mgodi wa bulyanhulu jana,(Kushoto)...
0 Reactions
1 Replies
165 Views
Kwa miaka 3 sasa shule za wazazi-CCM zimekuwa zikifanya mitihani ya kitaifa. Zoezi hili limekuwa na ufanisi na limezirudisha shule za CCM kwenye ufaulu mzuri. Hata hivyo kuondoka kwa Katibu Mkuu...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Nimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui...
25 Reactions
241 Replies
8K Views
Kwanini polisi wengi ni masikini?Na wakifa huzikwa vijijini? Kwanini polisi wengi ni masikini kupindukia? Yaani ni masikini sana na pia wengi wao wana maisha magumu pamoja na posho wanazopewa...
20 Reactions
156 Replies
11K Views
Wengi wanalalamika na kuandika posts za kuukandia jiji la Dar es Sallam mengi yanayosemwa na ndo maana niliwahi kusema Dar tupo kimaisha tu Lakini ukiachana na yote dar kuna kila kitu...
0 Reactions
4 Replies
739 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, akizungumza katika ziara yake Temeke ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi hapo jana Oktoba 1, amevunja ukimya...
0 Reactions
3 Replies
371 Views
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack ametoa wito kwa wanawake wa Mkoa wa Lindi kuwa na maamuzi na ujasiri Mkubwa katika kuyafikia malengo bila kugeuka nyuma . Mhe. Telack ametoa wito huo...
0 Reactions
1 Replies
159 Views
Mbunge wa Viti Maalum (Vijana Taifa), Mhe. Juliana Didas Masaburi amefanya ziara katika Bandari ya Mtwara ambapo aliambatana na Baraza la Vijana la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa...
0 Reactions
3 Replies
255 Views
Shalom watu wa Mungu. Baada ya kutambua kwamba JamiiForums ni jukwaa kubwa sana la lugha ya kiswahili afrika na dunia nzima. Ninawahasa wasanii wote na watu maarufu wajiunge humu ili kupata...
4 Reactions
2 Replies
189 Views
Niliona taarifa kwa Millard ayo ikisena mazishi ya Bilionea wa madini (Arusha) yamezuiwa na mke kwasababu mke alidai hakushirikishwa kwenye taratibu za mazishi, mke akaamua kwenda Mahakamani ili...
3 Reactions
19 Replies
723 Views
Kwema wakuu! TUlipokuwa tunasoma, tulisoma kina Karl Marx, Wakina Charles Darwin, Kina Pilato, Aristotle na wengineo. Leo hapa JF kuna Watu na Falsafa zao, mitazamo, na nadharia zao. Humu ndani...
107 Reactions
527 Replies
22K Views
KAHAMA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewasili mkoani Shinyanga kwa ziara ya kikazi kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa mkoani humo. Waziri...
2 Reactions
12 Replies
307 Views
Habari ndugu zangu. Nilileta uzi WA kutaka ushauri WA kuuza nyumba yangu, baada ya kupitia comments Za nyinyi wanandugu nimeona comments nyingi zikisema nisiuze nyumba yangu. Ushauri wenu...
5 Reactions
0 Replies
337 Views
Utangulizi: Kituo cha Hosiana mission dispensary kinapatikana katika Manispaa ya Tabora. Kituo hiki cha afya kimekuwa ni kimbilio kwa watu wenye matatizo mbalimbali ndani na nje ya manispaa ya...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Back
Top Bottom