Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nimefika bank nikageuza gari na kupaki. Nikashuka na kwenda ATM Mlinzi akaniambia ni kosa kugeuza gari kabla ya kuingia Bank. Kwamba gari ikae mwelekeo wa bank, baada ya kupata huduma ndipo...
2 Reactions
23 Replies
615 Views
Huyu mwanamke aliyempa mume wake jezi iliyoandikiwa "NIMEOA" katika sherehe ya harusi anaweza kuwa alikusudia nini?
4 Reactions
29 Replies
915 Views
Wafanyabiashara wa Kariakoo wengi ni nusu vichaa Wanaoishi maeneo ya uswahilini kama Manzese Mbagala, Vingunguti, Buguruni, Kwa Mtogole, n.k wengi zimefyatuka. Wanaoishi nyumba za kupanga...
5 Reactions
12 Replies
383 Views
Mwalimu wa Shule ya Msingi Chalantai wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Tabita Mwanyanje (29), anadaiwa kuuawa kwa kuchomwa kisu shingoni na maeneo mengine ya mwili na mumewe Frank Galimoshi (30) kwa...
9 Reactions
109 Replies
14K Views
Misongo ya mawazo na masononeko wanayopitia wanaume ni mingi mno na kwa bahati mbaya wengi wetu tunaweka moyoni kitu ambacho yanatumaliza. Hofu ya kuyatamka yanayotukwaza yamepeleka wengi sana...
2 Reactions
1 Replies
244 Views
Afisa mikopo anashughulika na kuwapa watu mikopo,hivyo na sisi tunaopokea mikopo hiyo tunayo haki ya kujiita AFISA MADENI. madeni ni katika sababu ya maendeleo kwani moja ya sababu ni kuwa...
2 Reactions
3 Replies
509 Views
Ukiangalia pamoja na teknolojia kuwa kubwa. Hospitali kuwa nyingi Madawa kuwa mengi Ila watu wanakufa wakiwa na umri mdogo Sana. Life expectancy Kama imeshuka. Kwenye familia yangu hakuna MTU...
8 Reactions
32 Replies
950 Views
Ulimnofu. Asalaam alykhum. Bwana Yesu asifiwe. Kule DRC poleni kwa kuwakosa ndg waliofariki maji ziwa Kivu. Nisipoteze muda. Adani Group inaonekana ni kampuni imeundwa maalum si kutoa huduma...
0 Reactions
14 Replies
533 Views
Nimeota tumeenda msibani. Kwenda kumzika mtu mara ya pili, yaani huyo marehemu alishafariki miaka mingi sana(10+) nyuma na alishazikwa. Sababu za kufanya turudie tena kumzika sizijui na jinsi...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuendelea kutekeleza malengo yake ya msingi kwa kuwajengea watanzania wa kipato...
0 Reactions
7 Replies
359 Views
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Usambazaji Maji wa Wizara ya Maji, Joyce Msiru (katikati) wakipokea ripoti ya Maji inayolenga kukabiliana na changamoto za usalama wa...
0 Reactions
1 Replies
157 Views
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanzisha Mfumo wa e-Ardhi ili kuimarisha utawala bora na uwajibikaji na kuwezesha miamala Usajili wa Hati kufanyika kwa uwazi zaidi na kuongeza...
4 Reactions
5 Replies
330 Views
Haya mambo hayatokei hivihivi tu, kuna injinia wako nyuma yake wanasuka mipango yao waijuayo wao. Sisi huku duniani tupotupo tu tunashangilia na ku take sides bila kufanya uchambuzi yakinifu wa...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Haina kujieleza sana familia, ni dharura na kwenye mfuko wa shati nina hiyo kumi na gwala tu, kwa heshima na tahadhima familia nawaombeni mnielekeze chimbo ambalo nitapata usafiri wa hela hiyo...
7 Reactions
81 Replies
2K Views
Naomba kuelekezwa jinsi ya kufungua account Hadi ntakavyotoa pesa kwenda kwenye bank account yangu
2 Reactions
8 Replies
444 Views
Anonymous (20b7)
Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma inapaswa kuweka alama za ufaulu (passmark) kabla ya mitihani kufanyika. Hiki kimekuwa kilio cha watanzania wengi sana . Sekretarieti ya ajira katika...
1 Reactions
1 Replies
393 Views
Mkopo juu ya mikopo. Kusaini mikataba ya kukunyonya basi tu ili upate hata kidogo cha kujikimu. Kuridhia masharti ya mganga ya kuleta damu ya mtu. Kuuza kiwanja kwa bei ya bure ili kupunguza...
12 Reactions
14 Replies
516 Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu Kwa maskitiko makubwa na majonzi makubwa sana jaman mwana jamiforums mwenzetu mussa maya kafiwa na mdogo wake...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za kuchakarika wakuu, Aisee hapa navyoandika nimeungwa kwenye magroup matatu ya harusi zinazokuja mwisho wa mwaka huu, 1 ni binti ndugu wa ukoo sio immediate family link kwa mababu huko...
30 Reactions
95 Replies
3K Views
Dear Customer your ATM Card has been BL0CKED because you have NoT updated yet. If you want to keep using your ATM card please Call our number at ..92146993 Ndugu zangu mkipata message hiyo hapo...
5 Reactions
2 Replies
308 Views
Back
Top Bottom