Just imagine kwenye harusi moja ya mtoto wa kiongozi mmoja wa serikali ya mapinduzi zanzibar amezawadiwa bilioni 1.5 ndiyo 1.5 bilion hizo pesa zinatoka wapi? Sio kama wizi nini? Mtumishi wa umma...
Huenda mwenzangu hapo ulipo unapitia misoto, yani dili zako hazitiki kwa wakati na hata zikatiki zinakutana na changamoto lukuki kias kwamba hata pesa uliyoipata inafikia madeni, magonjwa, ajali...
Je una utamaduni wa kuandika ndoto unazoziota?
Ndoto ni lango la taarifa, maarifa NK. Taarifa na maarifa hayo huweza kuwa mazuri/ mema au mabaya/ maovu.
Fikiria unaota kila mara uko makaburini...
KARATU
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Degratius Ndejembi ameelekeza mkazi wa Karatu mkoani Arusha mwenye viwanja Block 'J' mzee Desderi Damiano kuendeleza eneo hilo kwa...
Yaani niko mahali na mtu mdomo unatoa harufu kali mpaka hewa inakuwa nzito, sasa ukimuangalia ni kijana mdogo miaka 21.
Naombeni namna ya kumwambia kama mdomo wake unatoa harufu bila kumuudhi...
Ujumbe wa wataalamu 14 kutoka nchini Zimbabwe umekuja nchini Tanzania na kutembelea Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa lengo la Kujifunza utaratibu wa umiliki ardhi sambamba na...
Vyoo vinavyotumiwa na Wanaume katika Kituo cha Mabasi cha Mpemba kilichopo Tunduma vimerekebishwa na sasa vinatumika.
Awali, Mdau wa JamiiForums.com alisema kati ya sehemu 10 zinazotumika kwa...
Watoto wote wana haki sawa, maamuzi ya wazazi hayana uzito wa kuwabagua, Mali zipigwe pasu kwa pasu kwa watoto wote bila kujali ni wa ndani ya ndoa au nje.
Nimeshangazwa kusikia kinachoendelea...
Iko hivi mimi nimepanga nyumba ila huyu mama mwenye nyumba ana kero mimi sio muumini wa dini yeyote ile sasa yeye usiku kucha ni maombi na kelele yaaan hata nikiiingiza demu yeye ni mayoe tu kwa...
Mimi ni mtumiaji wa huduma za internet za kulipia kwa mwezi,watoa huduma wengi wamekuwa si wakweli na mara nyingi hawatoi kile wanachokiahidi kwa wateja.
Mimi ni mhanga wa halotel wiki nzima...
Radio maria acheni udini aisee mnazingua aisee Tanzania kuna dini kubwa mbili aisee sasa kwanini kila siku nyie mnaizungumzia dini moja tu ya ukristo? Ili hali nyie ni radio tu kila mtu anapaswa...
Yeye ni muislam, Azam channel ya muislam imemuweka awe anachambua masuala yote yanayoigusa Israel na Hamas, pamoja na wahurthi.
1. Anasapoti wahurthi Yemen, na anasema wanafanya cha maana kuzuia...
Aisee mnazingua Sana yaani daily laza mkate,. umeme
.acheni Mambo hizo.mmekata asubuhi mmerudisha saa kumi na mbili.umekaa dakika tano mmekata Tena.
Kaeni nap basi msirudishw Tena,milele na...
Salaam,
Watu wengi ukiwauliza juu ya michongo yao/mafanikio yao, watakuambia walipewa connection/support na marafiki zaidi kuliko ndugu.
Hata post za kazi zikitoka, ni rahisi sana kuona sim za...
Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Fm, Baba Levo amenukuliwa akisema huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya ualimu kwasababu kazi hiyo ni ya kipato cha chini sana kwenye mishahara na posho...
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024.
Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa...
Wanasema "hata akienda juu Kapungu hafikii kwa Mungu" ndiyo. Sisi wazee wa zamani tumekutana na mengi hadi kufika umri huu...kutekwa kisiasa,kiuchumi na kimapenzi pia. Lakini tumeweza ku survive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.