Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Salaam, Dunia kwa sasa inakabiliwa na janga la mapenzi ya jinsia moja, jambo linalowapa wakati mgumu wazazi wengi kudeal nalo ajili ya uchache wa maarifa. Kupitia mada hii, nitashare jinsi ya...
0 Reactions
0 Replies
133 Views
TUNA CHANGAMOTO KUBWA SANA YA MABINT WANAJIUZA KIJANJA JANJA Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Baada ya kupitia changamoto za kutengana na aliyekuwa mke wangu, nilianza heka heka za kutafuta...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
sikatai kweli utendaji kazi wa serikali upo chini ya kiwango lakini ikumbukwe sababu zinaweza kuwa ni nyingi. Maslahi duni na kufanya watumishi kuchoka choka Madeni waliyonayo yanawatia stress...
0 Reactions
0 Replies
127 Views
Wakuu Habari zenu? Kuna kitu hapa kwa wageni wahalikwa kwenye mahafali ya wanafunzi wa kumaliza chuo kikuu au shule hizi za secondary. Hivi ni kwa nini wasialikwe watu waliofanikiwa kimaisha ili...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Kilmanjaro;Baada ya mateso ya Muda mrefu na Bila kusikilizwa kwa kero zao za barabara wananchi wa kata ya Machame Narumu katika Wilaya ya Hai wameamua Kuweka nguvu zao katika ukarabati wa...
0 Reactions
6 Replies
224 Views
Mwenye kujua uhusiano uliopo wa kisayansi hasa kikemia ni kivipi kisu ukikikatia vitunguu ukali wake unaondoka, binafsi mimi sijapata muda wa kufanya hio tafiti nithibitishe kama ni kweli au chai...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Wakuu, Maisha yanaenda kasi sana, kutokana na ubize inaweza kuwa masomo, kazi, uko jobless unabaingiza kuhakikisha unapata cha kukusogeza maishani, kiasi fulani ni kama mawasiliano na watu...
24 Reactions
68 Replies
2K Views
Na MWANDISHI WETU WIZARA ya Kilimo imekubali yaishe kwa kuwa tayari kulipa shilingi bilioni 16 ili kuliokoa shamba la ushirika, Chauru, la wakulima wadogo wa Umwagiliaji Ruvu, lililopo Mkoa wa...
0 Reactions
6 Replies
267 Views
Mhe Rais TRA Arusha wameblock baadhi ya machines za EFD za wafanyabiashara hapa Arusha, sijajua ni Arusha tu au Tanzania zima. Halafu ili wafungue kuna rushwa kubwa wanadai yaani kwa ujumla hili...
4 Reactions
12 Replies
450 Views
Moja kwa moja kwenye mada. Siku kadhaa zilizopita nilifanya safari kati Dodoma na Sumbawanga, nilitumia usafiri wa Bus la Kampuni ya AN Classic. Pamoja na kwamba route hiyo AN Classic ndiyo Bus...
1 Reactions
6 Replies
230 Views
Inasikitisha sana kwa hali ya hewa ya leo kuna mtu anaenda kuambukizwa virusi vya Ukimwi, leo hii kuna mtu anaenda kubambwa na mke wa Mtu, Leo hii kuna mtu atapata mimba isivyotarajiwa na safari...
3 Reactions
25 Replies
881 Views
Baraza la Taifa na Elimu ya ufundi (NACTE), sasa limebadilishwa jina na litajulikana kama Baraza la Taifa la Elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi (NACTVET), mabadiliko hayo yamefanywa...
3 Reactions
22 Replies
9K Views
Siku hizi kila mtu anaogopa meseji ya asilimia 75. Matter of fact, siku hizi watu wananunua bando la internet roho zikiwa jujuu maana hawakawii kutuma ya meseji ya bando limeisha. Vifurushi...
13 Reactions
34 Replies
1K Views
Yangu mm ni gladiator iliyotoka mwaka 2000.. how bout yours...?
3 Reactions
128 Replies
3K Views
Wakuu habarini za weekend! Kuna hili tukio la watu kunyolewa nywele usiku huku usukumani simiyu, kiukweli ni kitu kinanishangaza sana hadi najiuliza huwa inakuaje binafsi nina ushahidi wa watu...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Wakuu salam, Chalamila ameelezea kinachopelekea ukosefu wa maji kwa wakazi wa mkoa wa Dar katika ziara ya Majaliwa wilaya wa Temeke iliyoanza leo Oktoba 5, 2024. "Mahitaji ya maji katika mkoa wa...
0 Reactions
1 Replies
210 Views
Kuna shida gani mtu kuwa na upara. Nina miaka 31, nimeanza kupoteza nywele za mbele yaan nina dalili ya kuwa na upara. mimi sioni ajabu kuwa na upara hata nilikuwa sijuwi kama kuna dalili ya mimi...
17 Reactions
90 Replies
5K Views
Kijiji cha Ikondo kilichopo Kata ya Ikondo kupata huduma za afya za daraja la kwanza baada ya Serikali kutoa milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya matatu katika Kituo cha Afya cha Ikondo...
0 Reactions
12 Replies
385 Views
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza uchunguzi kubaini ukweli kuhusu tukio la visima vya maji katika kijiji cha Mnyundo kata ya Ndumbwe, Halmashauri ya Mtwara mkoani Mtwara...
0 Reactions
2 Replies
342 Views
Salaam wakuu... Pamoja na pongezi zilizotolewa kwa serikali juu ya uamuzi wa kuwasaidia wanandoa waliopo mbali kuishi pamoja, Nina ushauri kutokana na baadhi ya waajiri kutokuwa waaminifu kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom