Kwa siku kadhaa sasa kumekuwa na changamoto ya mtandao wa Halotel hasa internet na mawasiliano ya kawaida, lakini kibaya zaidi kampuni haitoi ushirikiano kwa wateja wake na ukiangalia kila mteja...
Sera ya kukataa ndoa isibakie kwenu tu ila pia mkatae na ndoa za wengine ili msiziingilie.
Tofauti na hapo mnakuwa tu kama kikundi cha vijana matapeli mjini.
Maana kutokana na historia ya...
Aliyekuwa mtangazaji wa StarTv, Muhsin Mambo Alias MC Hammer afariki dunia siku ya leo tarehe 8 Februari nyumbani kwake nchini Marekani.
Pia soma > Muhsin Mambo yuko wapi?
Mwanahabari Mukhsin...
Mwili wa Mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi.
Inadaiwa...
Kuzimu kunaposhiba vifo hupungua duniani, kuzimu kunapohitaji shibe majanga yenye kuangamiza roho nyingi kwa mpigo hutokea, majanga hayo yanaweza kuwa ya kiasili au ya kutengenezwa na mwanadamu...
Uchaguzi wa serikali za mitaa upo jirani sana, Wagombea kutokea vyama mbalimbali wameanza kujipanga ili waweze kupata ridhaa ya vyama vyao.
Sambamba na hilo pia uchaguzi mkuu ni hapo mwakani tu...
Ukifungua biashara ukienda TRA ili wakokotoe kiasi cha kodi unachopaswa kulipa lazima wakuulize umepanga frem ya bei gan, Ile thaman ya frem kwa mwaka wanakokotoa asilimia ambazo ndio kodi ambayo...
TRC wameanza vyema na wasikatishwe tamaa kuhusu taratibu zao.
Hii standard waliyo-set waendelee kuiboresha zaidi iwe ya hali ya juu zaidi.
Bei za Vyakula na vinywaji warudishe kwenye bei halisia...
Wakuu kwema?
Kuna suala hapa nimeiona vyema kuwashirikisha. Katika wakati huu tulionao sasa, ni mambo Gani ya muhimu unaweza kumshauri kijana kati ya miaka 20-25 hasa hasa Yale unayoona yalikuwa...
Wakuu kwema.
Hili suala ni la kawaida likitokea mara moja ila likijirudia rudia tunapata wasiwasi.
Imetokea kwa siku tano hadi leo navyotype kwamba nikipanda daladala konda haniombi nauli namimi...
Bongo sitaki tena nataka nikimbie, naombeni ushauri kati ya hizo nchi wapi angalau nikienda sifi njaa nikipambana kati y'a Botswana, Mauritius, Namibia au Sychelles au South Africa
Au Morocco na...
Mhashamu Stephano Musomba OSA Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amesema ya kuwa tukumbuke nafasi zetu katika jamii na sio kupenda kusifia hovyo kwani kufanya hivyo ni kuumiza wengine...
Wizara ya Afya kupitia Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma imesisitiza juu ya umuhimu wa taarifa sahihi katika nyakati ambapo yanaibuka magonjwa mbalimbali ya milipuko nchini.
Akizungumza leo...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum Dkt. Dorothy O. Gwajima. Ametoa ahadi kwa kijana Edward Futakamba kupitia Wizara watampa tuzo ya Mwanaume bora ili...
Takriban watu 78 wamefariki dunia, baada ya Meli kupinduka katika Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hapo jana.
Gavana wa Jimbo la Kivu Kusini Jean Jacques Purisi...
Hali ya ulinzi na usalama Mkoa wa Ruvuma ni shwari, na ushwari huu umetokana na ushirikiano mzuri uliopo baina ya Jeshi la Polisi na Wananchi kuhakikisha jamii na mkoa kwa ujumla unaendelea kuwa...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko atazindua Maonesho ya Saba ya Kitaifa ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini Geita yaliyoanza Oktoba 2, 2024 kwenye viwanja vya...
Ikiwa ni mkakati wa kujenga uelewa kwa wadau wa madini kuhusu utekelezaji wa kifungu cha 59 cha Sheria ya Madini Sura 123, leo Oktoba 04, 2024 Wizara ya Madini imeratibu mkutano wa wachimbaji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.