Hilton alipoletewa ramani kwa ajili ya ujenzi wa hotel yake ya kwanza alihakikisha kila nafasi iliokuwa imeachwa wazi anaitengenezea kitu cha kumuingizia mapato.
Kama vile lobby iliokuwa imewekwa...
WAZIRI CHANA AZINDUA NEMBO YA ASALI YA TANZANIA
Na Happiness Shayo-TABORA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua nembo ya asali ya Tanzania itakayotumika...
Tanganyika Law Society (TLS) imeandaa kongamano la kitaifa litakalojadili ongezeko la matukio ya watu kupotea na kutekwa nchini Tanzania. Kongamano hili litafanyika tarehe 5 Oktoba 2024 saa 3:00...
Watumishi wengi sijui ni kwasababu hawajazoea pesa za mkupuo au kwasbb ya kutokua na financial literacy, wana matumaini makubwa kutoboa maisha endapo wakilipwa pesa yao ya kustaafu pession, wengi...
Kuna mjadala ulioanzishwa hapa kuhusu nabii mmoja anayehusishwa na kutoa zaidi ya magari 10 ya kifahari kumsaidia mwanasiasa fulani kufanikisha tamasha. Mjadala huu umeibua maswali mengi, huku...
Wasalaam.Kumekua na tabia siku hizi hasa kwa wale waliofanikiwa kimaisha kwa njia tofauti na kisomo kuwabeza waliosoma kwamba si chochote.
Mfano kuna mtu anaitwa Dotto Magari na Mbunge Msukuma...
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kusambaza Umeme kwenye Vitongoji 166 vilivyopo Mkoa wa Morogoro baada ya kukamilisha nishati hiyo kwenye Vijiji 652 kati ya 669 sawa na...
TANZANIA NA KENYA KUSHIRIKIANA ZAIDI SEKTA ZA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO
Tanzania na Kenya zimekubaliana kuanzisha michezo ya kirafiki kwa Shule za Msingi na Sekondari ili kuibua, kutangaza na...
Baada ya Mchungaji Mch. Abiud Misholi Kutamka adharani kwamba ni Ushetani mkubwa Mlokole kushabikia mpira Mwimbaji wa nyimbo za injili na SHABIKI mkubwa wa Yanga African @Ann_annie kafunguka ya...
Kenya katika kundi la vijan 10
6 wanajua sheria na katiba ya nchi hata Kama elimu Yao ni high School
2 wanajua kuhusu IT
1-2 wana elimu haswa
LAKINI TANZANIA
Katika vijana 10, 8 ni mashabiki...
Utangulizi
Mara ya Kwanza mkristo unapopata Neema ya kuhokoka , Roho Mtakatifu anaingia ndani yako na pale anapoingia ndani yako kuna kiu ya kutaka kumjua Mungu Sana inaingia ndani yako
Unakuwa...
Kuna hii hali usiku usingizi ukikata naanza kufikiria stori kuhusu mimi endapo ningekuwaga na nguvu za ziada na utajiri mkubwa na uongozi vile ningefanya mambo yangu. Wakati mwingine stori...
WAKUU WA HIFADHI WATAKIWA KUELIMISHA WANANCHI JUU YA UHIFADHI
Na Happiness Shayo-TABORA
Wakuu wa Hifadhi nchini wametakiwa kuelimisha wananchi kuhusu umuhimu wa uhifadhi kwa lengo la...
Mhadhara - 36:
Hakuna kitu ambacho kinaweza kumridhisha au kumtosheleza mwanadamu wakati wote. Si pesa wala kitu chochote cha thamani. Kitu pekee anachoridhika nacho mwanadamu ni kifo chake...
Watu wawili ambao ni mke na mume wamefariki dunia baada ya mume kudaiwa kumuua mkewe kisha naye kujiua katika Kijiji cha Njirii Halmashauri ya Itigi wilayani Manyoni Mkoani Singida huku chanzo...
Katika kujadili tofauti kati ya Kenya na Tanzania, ni muhimu kuangazia masuala ya elimu na uwezo wa kufikiri. Kenya imejijengea sifa ya kuwa na mfumo mzuri wa elimu ambao unachochea ubunifu na...
Huyu ndiye Dada Jonais (Mzaliwa wa Mwika Kilimanjaro) aliyekutwa ameuwawa msituni huko Korogwe, na pembeni ni mtoto wake ambaye pia alichomwa moto kwenye tukio hilo hilo. Kwenye kadhia hiyo pia...
Mhadhara - 35:
Unamkuta mtu tangu amezaliwa ameishi maisha magumu, ugumu wa maisha umemtafuna kwa miaka 50. Anaanza kufanikiwa (kushika pesa) akiwa na miaka 51 baada ya kuuza shamba lake la miti...
Vita kati ya kina lazaro (aka TRA) na wafanyabiashara imefika pabaya. Leo tumeshihudia maduka yakiwa yamefungwa palę Kariakoo.
Huenda kweli kuna wafanyabiashara ambao wanakwepa ushuru, ila sasa...
Nilitegemea Simba watapata ushindi tena mnono kulingana na status za timu zote mbili ni kama mbingu na ardhi,
Leo Simba wamenikera sana, mbaya zaidi wamenichania mkeka, nimekwazika mno.
Hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.