Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
UISLAM NA UKRISTO SIÔ MAADILI YA MTANZANIA NA MUAFRIKA NI MOJA YA NYENZO YA MMOMONYOKO WA MAADILI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kîla jamii inamaadili yake. Maadili yanatokana na ûtamaduni...
20 Reactions
130 Replies
3K Views
Leo viwanda vimetangaza upandaji wa bei ya cement, sasa itauzwa kwa kati ya 18,000 hadi 18,500 kwa dar. Najiuliza viwanda tunavyo hapahapa tatizo lipo wapi? Wataalam mtusaidie..
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) ya Bodi ya Wakurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania, iliyokutana tarehe 2 Oktoba 2024 imeamua Riba ya Benki Kuu (CBR) kuendelea kuwa asilimia 6 kwa robo mwaka...
0 Reactions
1 Replies
319 Views
Update (Agosti 21, 2024) Mtaalamu wa Mawasiliano, Daktari Watoa Ushahidi Kesi ya Ubakaji wa Binti wa Yombo Kesi inayowakabili watuhumiwa wanne wanaotuhumiwa kwa makosa ya ulawiti na ubakaji kwa...
13 Reactions
92 Replies
11K Views
Maana sielew, nimeomba zaidi ya mara mbili kwanzia mwaka Jana, nchi ya kanada na marekani kwa wakati tofauti kotee nakuwa unsuccessful Ndugu zangu mnafanyaje kupata wenzetu maana Kila kigezo...
10 Reactions
39 Replies
2K Views
Waandishi waliotoa story kuhusu Mwananchi mmoja mkazi wa Ikungi aliyedaiwa kuuawa na Askari wa Jeshi la Akiba katika Ofisi ya Mtendaji wa Kijiji wamepigiwa simu na OCD leo kuwa waripoti kituoni...
0 Reactions
4 Replies
297 Views
1. Listen more, talk less Most people love to hear themselves speak. Stay quiet, absorb everything - they’ll reveal more than they think. 2. Ask smart questions The right question can reveal more...
6 Reactions
3 Replies
366 Views
Mantiki ya swali langu inalengo la kufahamu, je, Ekaristi ni kitu ‘Spiritual’ au ni kitu ‘physical’? Meaning, mtu anaweza kupokea Ekaristi bila kula kile kioande cha mkate? Spiritually tu kwa kuamini?
2 Reactions
106 Replies
5K Views
Bill Gates anasema iwapo Dunia itakwepa kuingia kwenye vita ya Dunia basi itaangukia kwenye janga kama la Covid ndani ya miaka 25 ijayo. Gates anasema hivyo ni vitu visivyokwepeka, unkwepekable...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari wapendwa! Kuna mabasi yanayotoka Dar Es Salaam kwenda Mombasa - Kenya? Je kama Yapo nauli ni sh. Ngapi? na Kwa Dar nayapata wapi? Nielekezeni utaratibu.
1 Reactions
3 Replies
618 Views
Ni aina ipi ya stress unapitia kiasi kwamba imekua ni changamoto inayo tatiza baadhi ya mafanikio katika kazi, biashara, masomo, familia na majukumu yako mbalimbali mengine. Ladies and gentlemen...
9 Reactions
60 Replies
2K Views
Hii nimeisikia asubuhi ya leo redioni lakini mniwie radhi kutokana na majukumu nilichelewa kuirusha. Kwa ufupi maofisa wawili waandamizi wa safari za anga wamesema msafiri halazimishwi kujua lugha...
5 Reactions
77 Replies
8K Views
10 safest countries to live in if World War III happens The global landscape is teetering on the brink of World War III, marked by the widespread spectre of terrorism enveloping more than half of...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
ZOEZI LA SENSA YA WANYAMAPORI LAZINDULIWA RASMI LEO MKOANI MOROGORO Na Happiness Shayo-Morogoro Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana amezindua rasmi zoezi la Sensa ya...
0 Reactions
1 Replies
153 Views
Natamani nijue hivi shirika la mwendokasi "dart" ndiyo linakaribia kufa..? Nauliza hivi kwakuwa magari yanazidi kuchoka na hayaletwi magari mbadala shirika linatoa huduma mbovu bora hata ya...
2 Reactions
15 Replies
516 Views
Iko hivi Dar familia zinakula chakula kibahiri sana ili watoshe. Kutokana na hiyo hali ya kujinyima msosi wenyeji wamejikuta wamezoea. Lakini hali ni tofauti kabisa kwa sisi wa kutoka mikoani...
13 Reactions
38 Replies
627 Views
Habari wakuu, Dada yangu ameibiwa vitu vya ndani pamoja na simu zake, je naweza kuipata vitu kwa kutumia simu ikiwa hakumbuki IMEI za simu?
0 Reactions
4 Replies
217 Views
“Jambo kubwa ambalo tumekuja kuligundua ni pamoja na wazazi wa wilaya ya temeke kutowajibika ipasavyo katika malezi ya watoto. Mara nyingi tunafahamu kuzaa lakini hatufahamu kabisa maswala ya...
1 Reactions
1 Replies
204 Views
Katika jamii yoyote huwa kuna utofauti wa vipato kiuchumi kwa makundi mbalimbali ya watu. Sio jambo jipya kwamba kote duniani na hata hata bongo Wapo watu masikini kabisa, wa kipato cha kawaida...
1 Reactions
1 Replies
225 Views
Anaanfika Prof M. Martin Mhando Profesa Ikaweba Bunting ni mtu wa kukumbukwa kweli. 1. Kama mtengeneza filamu alikuwa katika crew iliyotengeneza filamu ya kwanza kubwa Tanzania, Fimbo ya...
7 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom