Wakuu habari
Nauza mayai ya kisasa Kwa bei ya jumla .
Napatikana , dar es salaam kigamboni, hata ukiwa mkoani naweza kukutumia mzigo na unafika salama kabisa
Kama upo dar , nafanya free...
Kuna kipindi nilikwenda nje ya Afrika na kuishi huko kama miaka 4 hivi na kidogo. Mwnyeji wetu alichukua muda wake kutueleza mambo ya msingi sana ya kuzingatia katika taasisi ile, mji ule na nchi...
Habari zenu wakuu.
Miaka kadhaa nilinunua kiwanja kikiwa kina njia 2 za kupita gari. Baada ya muda akauziwa mtu na kujenga uzio njia moja ikafa ilabaki moja. Njia iliyobaki nasikia napo panataka...
Habari Wana JF?. Hii ni true story kabisa. Kuna familia ya jirani yangu imesambaratika sababu ya MAKANISA ya KILOKOLE japo kisa kilianzia mbali sana. Mume mtu alikuwa anamtuhumu mkewe kuwa kwenye...
Leo hii ziwa Nyasa (Sumbi) kumechufuka ni balaa! Ziwa halisafiriki! Mawimbi ni makumbwa sana. Hakuna chombo kuingia ziwani ni hatari hata kukaa pwani ya ziwa, mbona TMA hamkuweza kututaarifu mapema.
TAARIFA YA KUPINGA KUFUNGIWA KWA CHOMBO CHA HABARI CHA MWANANCHI DIGITAL
Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania, (UTPC) unapinga vikali kitendo cha Serikali, kupitia Mamlaka ya...
💼 MHADHARA WA 6.
Habari ya leo wanaJF...
Kwenye mhadhara huu naomba kuzungumzia tabia ya wanaume wengi (wazawa) wa mikoa ya DAR ES SALAAM, LINDI, MTWARA, TANGA, PWANI na hata kule ZANZIBAR ambao...
Katika universe nimegundua Binadamu yupo na nguvu za uumbaji wa vitu katika MAISHA yake.
Mwezi uliopita nili-Apply sheria mojawapo ya Ulimwengu inaitwa law of Attraction( Nguvu ya mvutano ...
Wadau hamjamboni nyote?
Hizo ni tetesi kutokea pande za mbezi Beach - africana
Yasemekana new tiger hotel/bar iliyopo hapo africana tayari imeuzwa
Mnunuzi yadaiwa ni mama mmoja tajiri wa kihaya...
UPEMBUZI YAKINIFU WA KITABU CHA MTU TAJIRI ZAIDI BABYLON
"THE RICHEST MAN IN BABYLON"
Na LEONARD JULIUS SHIGANGA WA MWANAMATINGATINGA.
KWAMBA,
THE RICHEST MAN IN BABYLON ni kitabu...
Sujui niwekeje swali.
Leo Dar mvua kidogo tu, joto limeshuka 26 degrees watu wanatembea na masweta kama wabibi.
Sasa nikaona niangalie na uko Njombe, nakutana na 13 degrees.
Yaani inakuaje...
Amani ya bwana iwe juu yenu waungwana.
Kama kichwa cha habari kinavyojielezq,nina kijana wangu yupo kidato cha kwanza shule binafsi iliyopo Pongwe-Tanga,alihitimu elimu ya msingi Dar es salaam na...
1.0 UTANGULIZI Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na wadau wa Elimu ya Juu ndani na nje ya nchi kuwa udahili katika awamu zote mbili kwa ngazi ya Shahada...
1. Israel alitumia majini(viumbe vya ajabu) kum-locate Nasrallah (aliyekuwa kiongozi mkuu wa Hizbollah)
Kama hujui "genies" ni viumbe gani, just search kweny Google au angalia movie ya disney ya...
Naomba kuwasilisha kero ya barabara hii ambayo kwa zabuni namba AE/092/2022/2023/DSM/W/04 iliyotangazwa Mei 2022 ilitangazwa kufanyiwa maboresho cha kushangaza baada ya maboresho hayo barabara...
Salaam
Leo katika pita pita zangu ndio nikaona jiko yale sijui ma oven makubwa wanapikikia keki.
Yaani hadi kichefu chefu, anayepika mchafu, jiko halijaoshwa kama mwezi hv, hapo anapopikia watu...
Tigo Tanzania wanatakiwa kujibu tashwshi za Wateja Wao Wanahoji ni kwa nini Wanakata Bando 20 Au 30 katika kila awamu ya manunuzi yake.
Je, ni hii ni tashwishi yake tu au ni pamoja na wateja...
DIGITAL SECURITY:
FUATILIA TAARIFA ZAKO KUJILINDA MTANDAONI
Jinsi ya Kuweka Arifa za Google ('Google Alerts') Ili Kufuata Jina Lako au Taarifa Zako Zinapowekwa Mtandaoni:
1. Tembelea 'search...
Nimesikia ama kuchunguza kua mara nyingi ukiropoka kwa watu mipango yako inaanza kusua sua na hatimae Kufeli mazima. Tafadhali wabobezi wa masuala ya kiroho naomba hapa ufafanuzi.
Kuna mstari...
Wapendwa nawatisha la hasha nawaweka haya kukusaidia wewe unaekaribia kuoa ndoa ni taasisi kama taasisi zingine unapoingia jifunze kwanza kukoje je faida na hasara ni zipi
Kwanza nitaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.