Baada ya Mahakama Kuu Masjala ndogo Dar es Salaam kuifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public...
Kuna watu wana amini maisha ya Dar ni magumu (kufanikiwa ni ngumu) wengine wanasema maisha mikoani ni rahisi (kufanikiwa ni rahisi)... Je, ugumu wa Dar uko wapi na urahisi wa mikoani uko wapi...
Mfanyabiashara Maarufu mjini Njombe bwana Godfrey Ndambo amevamiwa na kujeruhiwa vibaya na watu Wasiojulikana usiku wakati akirenea nyumbani kwake ambapo baadae alifariki kutokana na majeraha...
Nimeona malalamiko ya Wadau wakilalamika password zao zilibadilishwa muda mchache baada ya kuibiwa simu zao na fedha kutolewa kwenye account. Huenda mitandao ya simu hukubali maombi ya kubadilisha...
Mhadhara 32:
Lipo kundi la vijana waliohitimu elimu ya juu ambao watazeeka bila hata kumiliki viwanja vya kujenga nyumba ambavyo kwa sasa vinapatikana hadi kwa Tsh 1,000,000. Ni kwasababu kundi...
Majibu na Maombi ya Ukaazi wa Kudumu katika Nchi ya Marekani: US Green Card | Diversity Visa Lottery | United States of America. 2024 na kuendelea!
Leo 4th May 2024 saa moja usiku, kwa saa za...
Hello JamiiForums,
Ni Jumamosi nyingine tena ya mwezi wa nane huku mwaka ukikimbia kwa kasi sana yaani 2025 ni kesho kutwa tu hapo, halafu mishe na mambo yetu pengine yanaenda taratibu mno kama...
Kumekuwa na stori za hapa na pale vijana wengi wanaotoka mikoani kuja Dar huaanguka kimtaji baada ya siku kadhaa yaani hata kama kijana atakuwa ametoka na mtaji wake wa m.2 atakapofika Dar basi...
Kwenye mada moja kwa moja.
Ni wapi umeona watu wenye matatizo ya akili na kulala majalalani na kula vyakula vilivyoharibika wakapatwa na matatizo ya tumbo/kuhara/ kutapika na kadharila.
Swali la...
Ukiacha ushabiki na kufuata yale wasemao viongozi wetu wa dini Kwa sababu wanajua tukinywa pombe Kwa namna Moja ama nyingine watakoswa sadaka.
Hii imekuwa ndo mbinu Yao kubwa ya kuwa hadaa wale...
Kiimani ni rahisi kuelewa mtu akikuambia una Baraka, ni kwa sababu anaona mafanikio fulani yanakupata,
Lakini huku uswahilini, nimesikia kuna watu wanasema "huyu jamaa Ana nyota." wengine...
Hakuna salamu
Moja kwa moja kwenye mada, Kwani nyie wenzetu mnapata wapi pesa, mbona biashara zimekuwa ngumu sana, yaani kweli hadi kijana wa chuo kikuu yupo field kwenye taasisi moja hv eti...
Picha imeanza hivi alipita wakala hapa maskani akidai anaweza kuiwezesha laini na kua five G yani hata niwe kijijini mimi nitatamba tu.
Nikampa simu yangu ili aapdate mafaili kama alivyoniambia...
Wakuu,
Hebu achaneni kwanza na wasemao huwezi kujikwamua kwenye ajira, maana hayo ni maneno ya Motivation speakers tu. Hii ni kwasababu kazini kukiwa na maslahi mazuri, obvious utakuwa na ahueni...
*Yatambulisha Skimu ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii ya Sekta Isiyo Rasmi (NISS)
*Sasa mwanachama kufungua madai ya mafao kidijitali ‘online’
*Yaweka kipaumbele cha matumizi ya TEHAMA, zaidi ya...
Wakazi wa Kipunguni kata ya Kipawa walifanyiwa tathmini 2022 ili kupisha upanuzi wa Uwaja wa Ndege wa JKIAP na zoezi kwenda vizuri lakini fidia zao zimekuwa kizingumkuti toka 2022, na Waziri wa...
Msumi ni Kilometer chache sana kutoka stendi ya mabasi ya Magufuli.
Sasa cha ajabu ni kwamba Msumi ipo kama vile hata wakuu wa Mikoa waliopita hapo Dar na wasasa si ajabu hawajui iko upande gani...
Some say rais wetu mchumi amelikoroga kwa mara nyingine tena in the Iddi Amin tradition ya ku-print money ili kukuza uchumi.Yeye ameona solution ni kuongeza mishahara bila kuongeza uzalishaji...
Madaktari bingwa Visiwani hapa, hulipwa kati ya sh.150,000 kwa mwezi, kiwango ambacho kinalalamikiwa na wataalamu hao kulinganisha na wenzao wanavyopata Bara.
Source: Majira 21.12.2007...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.