Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Huko nyuma kabla ya Jiwe JPM, kulikuwa na tabia mbaya ya kitapeli eti unamrusha darasa mwanafunzi. Unakuta mwanafunzi kasoma mpaka darasa la pili alafu unamrusha mpaka darasa la tano au yuko...
2 Reactions
3 Replies
227 Views
Watu wa Dar wameingia kwenye shida kubwa ya maji Kwa Baadhi ya maeneo. Hali hii inaelekea kufikia mwezi mmja Sasa huku wakidai wananunua dumu la maji Kwa Shilingi 2,000. Maoni Yangu. Nafurahia...
1 Reactions
2 Replies
186 Views
Hii ni kumbukizi ya Mwalimu Nyerere,safari ya kila mwaka. Itaanzia hapa Msasani Residence saa tatu asubuhi. Sometimes anaalikwa kiongozi wa Serikali to flag them off. Last time waliagwa na DC...
3 Reactions
10 Replies
775 Views
Gen Alpha ni madogo waiozaliwa kuanzia 2010. Nafikiri kielimu ndio bado vipo form 1, 2 or atleast 3 na mnaelewa mtoto wa form 2 siku hizi unakuta tayari ameshakuwa "porn star" au kama yupo...
0 Reactions
2 Replies
159 Views
Hazina, hivi matatizo gani?Watu tumelalamika na kusema kwamba pension ya wastaafu wanayolipwa na Hazina ilipwe kwa wakati,kama vile wanavyolipa Social Security Funds kama PSSS,lakini...
4 Reactions
31 Replies
595 Views
Haya mambo yakiendelea hivi na kwingine ni wazi Tanganyika inarudishwa utumwani Mwanzoni mwa wiki hii kituo kizuri cha daladala cha Mawasiliano Simu 2000 kilifungwa rasmi na fremu zote...
20 Reactions
92 Replies
4K Views
Mhadhara 31: Leo naomba niwajuze abiria wa daladala jambo ambalo makondakta wamesomea CUBA, na jinsi ambavyo wanatumia vizuri D2 za shuleni. 1. Matumizi ya D2: Kumbukumbu walizonazo makondakta...
0 Reactions
9 Replies
439 Views
Wakuu Nahitaji chimbo la kupata miamvuli ya kukingia biashara Kalaga Baho Nongwa ngara23
3 Reactions
9 Replies
242 Views
SHERIA 2: Usiwaamini sana marafiki. Jifunze jinsi ya kuwatumia maadui. MHADHARA WA 29: Hii ni sheria ya 2 kati ya zile sheria 48 zilizoandikwa na Robert Greene katika kitabu chake cha "THE 48...
2 Reactions
6 Replies
433 Views
Wizara ya Afya imesema kuna ongezeko la virusi wanaosababisha homa kali ya mafua inayoambukiza maarufu influenza, waliyotaja kusababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa. Homa hiyo ambayo...
4 Reactions
5 Replies
430 Views
Wakina diddy wamevamia sekta ya day care Ni mwendo wa kutengeneza mashoga wengi maana mtoto wa kiume atajua kufirw ni kawaida maana alikuwa molested tangu utotoni Yale ya dereva na mwenzake wa...
3 Reactions
13 Replies
301 Views
Feminism: Uzaaji wa watoto wachache: Sera ya uhamiaji holela: Kuruhusu, kupokea na kuzifanyia kazi ideologies za jamii nyingine angali jamii hizo zinapinga ideologies za west: Ideology ya...
2 Reactions
21 Replies
605 Views
https://youtu.be/koFZXcMWfAc?si=0zoWXSw-SWrm0wA7
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Licha ya jitihada mbalimbali ambazo zimekuwa zikichukuliwa na vyombo vilivyopewa dhamana kusimamia usalama barabarani hususani 'Traffic' pamoja na wadau wengine, lakini bado kuna changamoto ya...
1 Reactions
3 Replies
188 Views
Nilichojifunza humu JF ikitajwa Israel kwenye masuala haya ya migogoro WA mashariki ya kati.. Kuna kundi ambalo ni diehard fans WA Israel Yan hao huwaambii kitu kuhusu Israel Hata iweje Hata...
9 Reactions
34 Replies
1K Views
Niko Mbeya, nimekuja kutembea mara moja, baada ya kuzisikia sifa nyingi sana za mkoa na jiji hili la Mbeya. Daima huwa na utamaduni wa kufanya matembezi ya miguu ili niweze kuujua mji vizuri...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Ethiopia ni moja ya nchi bora africa kwa barabara zenye viwango ambazo Tanzania huwezi zikuta.. Tamroad jifunzeni. Najiuliza wakati mnajenga barabara mfano ya kimara to kibaha kwanini hamkuwaza...
0 Reactions
8 Replies
392 Views
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imekemea vitendo vya utekaji, ukatiili na mauaji yanayofanywa na genge la watu wasiojulikana na kulaani tukio la kuchukuliwa na kuuawa kikatili kwa kada wa...
4 Reactions
6 Replies
644 Views
Mtayarishaji maarufu wa muziki nchini Tanzania ambaye pia ni mchambuzi wa muziki kupitia show ya Bongo Star Search, ndugu Joakim Kimaro, maarufu kama Master J, amekiri kuwa 99% ya wasanii hapa...
10 Reactions
61 Replies
6K Views
Asalam Aleikhum Katika Maisha ambayo siwezi kuyasahau ni maisha ya Boarding. Maisha ya Boarding noma aliimba Jay Mo, moja kati ya wasanii waasisi wa Bongo Flavor. Maisha ya Boarding ni moja...
26 Reactions
365 Replies
66K Views
Back
Top Bottom