Tujiulize maswali haya
Je mipango miji inaruhusu vituo vya mafuta katikati ya miji na makazi ya watu?
Je sera ya mamlaka ya viwango na ubora inaruhusu vituo vya mafuta katikati ya miji na makazi...
Haya wale wamiliki magari,mtindo mpya umeibuka!Wakati wewe ukiamini mafuta yanawekwa kwa tanki la Gari,kumbe muweka mafuta anakuziba ili usione dumu dogo ili aweze kuwa anakuibia jionee kwa picha
Kunawafanyabiashara ambao wanauza vyakula na vinywaji ndani ya treni ya SGR ambao hawatoi risiti ya EFD kama sheria inavyotaka. Wafanyabiashara hawa hawalipi Withholding Tax kwa kukosa kodi ya...
Moja ya jambo la ajabu ni kuwa wanaotupenda hawapati kinacho stahili na tunaowapenda hawatupi tunachostahili.
Hii ni mlinganyo wa kiasili au inakuaje?
Unaweza kuta unampenda mwanamke asiyekupenda...
Mhadhara 30:
Aliwahi kusema kiongozi wa zamani wa Ujerumani kwamba:- "Fikiri mara elfu kabla ya kuchukua uamuzi, lakini baada ya kuchukua uamuzi kamwe usirudi nyuma hata ukipata shida elfu"
Je...
📖MHADHARA WA 28:
SHERIA 1: Mponde kabisa adui yako
Hii ni SHERIA YA 15 kati ya zile SHERIA 48 zilizoandikwa na ROBERT GREENE katika kitabu chake cha "THE 48 LAWS OF POWER"
Mapitio:
Waponde adui...
Sio huyu tu wapo wengi wenye shida zaidi ya huyu Mzee nikwamba hamjakutana nao tu ila Mungu atupe akili sisi wa Africa.
Kuna post moja niliisoma inasema Tanzania ni nchi pekee ambayo unaenda...
Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani.
Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu?
Nimeuliza hivi...
Shalom watu wa Mungu.
Moja kwa moja kwenye mada, wanasayansi na wana imani watatusaidia.
Je, Uhai wako ulianza tu pale ambapo mbegu moja ya mzee wako ilipokutana na yai la mama yako ?
Je...
Kwa vyovyote vile nitakuwa wa mwisho na wakwanza kuajua faida za mwenge. Sioni faida wala umhimu wa huu mwenge kuwepo, mwenge umekuwa na karaha pale unapoenda sehemu yeyote.
Kuna siku nimeitwa na...
Karibu nchi zote za Africa polisi wanabeba mitutu/ rifles tofauti na nchi nyingi za Magharibi wakoloni wao ambao polisi wao wanatumia bastola zaidi.
Hii imesababishwa na gharama za bastola au...
Huu ni Mwili wa Carlo Acutis. Carlo alifariki miaka 19 iliyopita kutokana na kansa ya damu. Wakati anafariki alikuwa na umri wa miaka 15. Katika uhai wake Carlo alitengeneza website ambako alikuwa...
Sitetei upande wowote ule lakini ukweli umuweka mtu huru.
Jambo ambalo nimebaini kwenye maofisi mengi ambayo yanamkusanyiko wa watu wengi hasa Wakristo ukikuta wanapiga stori ujue wanawasema...
Daaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wayahudi weusi humu jf wamekua na siku ngumu sana jana na leo
Mtu kama @nyaningabu amelia sana tokea jana
Watu kama Mlaleo haamini...
Habari zenu wakubwa kwa wadogo.
Kwanza napenda kutoa pole na shughuli za kutwa kwa wale wahangaikaji wote kama mimi ambao kila siku lazima tutoke ili tuweze kujipatia riziki halali kila siku...
Habari za wakati huu? Mimi ni mdau wa JamiiForums lakin pia ni mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), campus ya Dar
Kuna kero inanisumbua sana kwa uongozi wa IFM, hadi sasa hivi chuo...
Ni siku chache zimepita tangu Huduma za Usafi wa Treni ya SGR uanze na juzi tulishuhudia Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza zoezi la uzinduzi.
Usafiri huo umekuwa kimbilio kwa Watu wengi, sababu...
Huku lindi kuna shughuli za rusha roho mataraabu au unyago mtoto anachezwa yaani kama kipindi hiki ndo zimefululiza kila siku na hasa weekend unakuta mtaani maspika yanapiga tu visengeli...
KATARAMA KATARAMA KATARAMA!!!
Nilichoshudia Jana saa 11 jioni katika hii BUS JIPYA lililokua linaelekea Mwanza kama walifika salama wamshukuru Mungu na wasali sana maana alikuwa ana overtake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.