Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hii nimeizungumzia sana sana hapa na kwenye baadhi ya vilinge nje ya hapa. Pia wadau wengi wamekuwa wakiifafanua hapa na nje ya hapa pia. Nia na lengo ni kulishana taarifa sahihi. Sasa kwa wale...
0 Reactions
0 Replies
262 Views
Licha ya Menejimenti ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) kutoa taarifa kuwa inashughulikia kero na changamoto mbalimbali ambazo zimekuwa zikiibuliwa kwenye mradi wa usafiri wa Treni ya kisasa ya...
2 Reactions
4 Replies
538 Views
Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni Hatukatai PDiddy anao watoto na pengine wanatumia sana mafuta Siyo vibaya pia ata yeye kama anayatumia na ata akijipaka makalioni...
1 Reactions
8 Replies
365 Views
Vijanaa wengi waliozaliwa mwaka 1990 bado wanajiona ni watoto. Nawakumbusha kwasasa mna miaka 35 kasoro, umri ndio huo maji ya jioni. Toka maghetoni, toka kwenu nenda katafute maisha, wakati ni...
3 Reactions
6 Replies
316 Views
Orodha ya wanaodaiwa kuwa Washirika wa Msanii wa Marekani, Diddy Combs anayetuhumiwa kwa makosa ya unyanyasaji, ulaghai na biashara ya ngono inatazamiwa kutajwa hivi karibuni katika hatua nyingine...
2 Reactions
13 Replies
676 Views
Polisi Mkoa wa Tanga linamtafuta Alii Bagidai (60), mkazi wa Barabara ya 4, Wilaya na Jiji la Tanga kwa tuhuma za kumuua mkewe Saira Mohammed (50) na binti wa kazi anayejulikana kwa jina moja Asha...
6 Reactions
89 Replies
6K Views
Nimeona komenti hii kwenye ukurasa wa JF, hili lipoje Wadau wa Kisarawe? Majibu ya DC, soma ~ DC Kisarawe: Mwekezaji anayepasua mawe kwa baruti kusaka madini King’azi A tumemzuia
1 Reactions
2 Replies
202 Views
Ndio, tukiweka ujinga ujinga mwingi pembeni pale mashariki ya kati zinaongea akili kubwa tu. Hebu fikiria Iran inarusha kombora linavuka Iraq na Siria na kutua Israel tena mjini kabisa. Hata kama...
21 Reactions
39 Replies
1K Views
Watu 120 zaidi wamemtuhumu mwanamuziki wa rap Sean ‘Diddy’ Combs kwa unyanyasaji wa kingono, ubakaji na kutumiwa vibaya kingono. - Wakili wa Texas Tony Buzbee amesema kuwa 25 miongoni mwa wateja...
7 Reactions
9 Replies
572 Views
Bei ya petroli na dizeli ya rejareja kwa Oktoba 2024 imeshuka nchini, ikilinganishwa na Septemba, huku sababu kadhaa zikitajwa, ikiwamo kushuka kwa gharama za soko la Uarabuni. Taarifa...
6 Reactions
88 Replies
5K Views
Alfajiri ya leo niliamka mapema sana nilikua na mdogo wangu anasafiro sasa nikampeleka Stendi kuu ya mabasi Tabora ili aweze kusafiri. Nilichoona sikuamini macho yangu, maana nimekanyaga Bahasha...
2 Reactions
7 Replies
709 Views
Hii Kitu imetoka kurasa ya Saudia Arabiya inaonesha kuna tatizo la kiufundi kuhusu Upagani uliopewa heshima and ukaingizwa kwenye uislam kutuliza mizimu ya mambu wa Kiarabu imekaa ni cultural...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kataika Tangazo la 24/09/2024 likilotolewa na Menejinent ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, lililotoka kwenye mfumo wa ESS Utumishi likitoa kibari Cha watumishi Serikalini kufata wenza (...
0 Reactions
0 Replies
276 Views
Kufatia kuripotiwa kwa mgomo wa baadhi ya Wafanyabiashara wa dhahabu katika Soko la Madini la Geita kwa kufunga Maduka yao na kugoma kununua dhahabu leo, ikidaiwa kwamba wanapinga sheria mpya...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Anonymous (9add)
Natokea wilaya ya Chato kata ya Bwanga mkoa wa Geita. Kuna kitu kinaniuma sana kila mwaka MWENGE wa Uhuru ukikaribia kupita kuna kuwa na michango ambayo wanakuwa wanaombwa akina mama Wanaouza...
1 Reactions
5 Replies
208 Views
Baadhi ya wafanyabiashara hutumia Taarifa Potofu kutangaza bidhaa ili kuwashawishi wateja kununua. Wateja baada ya kununua, huweza kugundua walipotoshwa, na wakati mwingine, kutumia bidhaa hizo...
0 Reactions
1 Replies
171 Views
Habari zenu wakuu! Dah hali ni ngumu wandugu, wakati mwingine ukiitafakari sana hii nchi unaweza kuwehuka, ila embu tuachane na haya ya hii nchi, tushirikishane opportunity za kufanya kazi nje...
4 Reactions
19 Replies
370 Views
Nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo, jina lipitalo majina yote, Leo ningependa kuwashirikisha juu ya watumishi wa Mungu, Wachungaji/wahubiri injili ambao nimetokea kuwaelewa sana. Wapo wengi...
2 Reactions
6 Replies
353 Views
Mambo 13 ya busara 1. Ufikapo mahali ambako umealikwa usiketi kwenye kiti kabla ya kukaribishwa na mwenyeji wako. 2. Kama unakula mbele ya watu wengine usipende kuvutana na nyama ambayo ni...
29 Reactions
74 Replies
2K Views
"Nitoe taarifa kwamba kuna mradi wa makumbusho ya Marais, mradi huu ni mradi no 5221 eneo liko Mtumba na tumetenga bilioni 34 kwa ajili ya mradi huu na mwaka huu tumeanza kutenga bajeti ndogo kama...
5 Reactions
12 Replies
428 Views
Back
Top Bottom