#HABARI:Baadhi ya maeneo ya Mafinga Mjini, mkoani Iringa, jana yamepata mvua za barafu ambayo kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wakisema haijawahi kutokea huku wakiifananisha na ile ya nchi za Ulaya...
Channel pekee ninayoipata yakulipia ni ESPN pekee lakini zingine zote zimekata zimebaki tu local channels wakati bado package iko active hadi mwisho wa mwezi
Siwezi sema ni tatizo la signal...
Weka hapa Softcopy yeyote iwe Kitabu, Makala au Jarida lolote, Lakini lengo kuu la hiyo Document liwe ni kuleta maarifa katika eneo fulani .
Yaweza kua Kiuchumi, Mabadiliko binafsi, Kiroho hata...
Kuna baadhi ya ndugu wakikusaidia kitu kidogo wanaweza kuuchorea tatoo huo msaada iwe ni kukusomesha, kukupa hifadhi, n.k. ukija fanikiwa wanakuwa very demanding uwasaidie, hata uwasaidie mara 10...
NABII MUSA HAJAWAHI KUMTAJA SHETANI MAHALI POPOTE KATIKA MAANDISHI YAKE; UASI NI UAMUZI WA MTU NA SIO SHETANI.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani
Mhusika Shetani amekuwa zaidi maarufu katika vitabu...
Teknolojia katika field ya afya ni msingi katika muktadha wa afya ya kiumbe chochote kilicho hai hasa binadamu tutakaye mzungumzia zaidi.
HIV ni janga duniani lakini inapaswa tufahamu teknolojia...
Moja kwa moja.
Ikiwa kwa mfano umefiwa na mtoto wako ama mtu mwingine yeyote wa karibu sana unaweza kuvaa sare Msibani?
Muda wa kuwazua nivae au tuvae Sare gani hivi huwa unatokea wapi ikiwa...
Habari Wana JF, Namshukuru sana Mungu kwa kumuweka hai,Katika hii Dunia kuna mambo mengi sana mazuri na mabaya, Moto huzaliwa na wazazi wake yaani Baba na mama,haijalishi atalelewa na Nani...
Wakuu,
Kichwa cha thread chahusika.
Yaani ukijifanya kuwa mfuatiliaji sana wa kinachojiri huko kwa wenzetu unaweza pata wasiwasi na kuhisi dunia itafikia mwisho usiku wa leo. Kumbe maisha yapo...
Tanzania ina historia ya kuwa na wanasiasa wa kike wenye ushawishi mkubwa katika ujenzi wa taifa na kuleta mabadiliko chanya.
Wanawake hawa wamekuwa mstari wa mbele katika kukuza siasa, kuongoza...
HUNA WAJIBU WA KUMTUNZA AU KUMHUDUMIA MZAZI WAKO AKIWA CHINI YA MIAKA 60 KAMA HAUMWI.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Mada hii inaweza kuwa ngumu kwa baadhi ya Watu. Lakini nitakachojadili...
Ni kuhusu hii taarifa ya utumishi kuruhusu watumishi kufuata wenza wao wa ndoa. Kwanza niwapongeze utumishi kuliona hili kwamba ni tatizo ndani ya utumishi, familia nyingi na ndoa zimeparanganyika...
Miaka ile ya 90 wakati Bad Boys wakiwa juu, juu karibu na mawingu kabisa, kulikuwa na mwamba wa kuitwa Mase. Huyu mchizi alikuwa mkali sana kwenye kuimba, ni moto mkubwa sana.
Alikuwa mshikaji...
Katika pita pita zangu huku JF nimeshtushwa na kiasi kikubwa cha ukosefu au upungufu wa akili wa kundi kubwa la watu wanaoshabikia vita ya mashariki ya kati na kwingineko
Kwangu mimi, vita na...
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Juzi tarehe 1 mwezi wa 10 majira ya usiku nilimuona simba mmoja wa wasitan akishuka kutoka maeneo ya angan
Kisha nikaona tena nyoka watatu nao ni wa wastan...
👉Mimi Binafsi nimejipanga Kula papuchi nyingi FRESH kwa kadri nitakavyo weza. Why & HOW? 👇
👉Effect za vita zitaiathiri dunia nzima.
👉Kwenye suala la uchumi hali itakuwa kama korona vile...
Kichwa cha Habari
MNH Je, na Sisi wenye Michogo mibaya kama Kona za Milima ya Senkeke mnapanga lini kutuandalia Ratiba zetu za Kuturekebisha
Daktari Bingwa wa Upasuaji Rekebishi na Upasuaji...
Mkaguzi Kata ya Kisangura Wilayani Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/Insp Genuine Kimario ametoa viti mwendo kwa wananchi wahitaji.
Mkaguzi huyo amebainisha kuwa ameendelea...
Jeshi la Polisi mkoa Morogoro limetoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na Binti anayesafirishwa akiwa amefungwa kamba kwenye basi la Happy Nation 519...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.