Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya Musoma mara baada ya kutoka kuweka jiwe la...
Nimetafakari sana hizi foleni za kuweka gas naona kama kuna hujuma za wauza mafuta, iweje mpaka sasa tuwe na vituo vitatu tu.
Sio kwamba upatikanaji wa gas kwa wingi unaathiri uuzwaji wa mafuta!?
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akifuatilia taarifa ya Mkoa wa Mara na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika mkoa huo...
Mojawapo ya methali za Kiswaheli ni hii hapa zimwi likujualo halikuli likakwisha.. Ni methali inayopingana kwa namna fulani na ile isemayo kumkoma nyani giladi hii si ya Kiswahili ni ya kabila la...
Leo hapa mafinga kumepiga mvua ya mawe na hali ilikuwa kama hivi.
Sehemu nyingine hali ilikuwa hivi.
Hali ya barabara ya TANZAM ilikuwa hivi.
Haki hii pia imeripotiwa maeneo mbalimbali ya...
Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 01 Octoba, 2024 ameshiriki mazishi ya Mama wa Aboubakary Liongo ambaye yeye ni Afisa Msaidizi Idara ya Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM...
Huu mfumo hauko sawa na wizi wa kura utaendelea kwa mtindo huu, sijui huu mfumo wameutenegeneza vipi vitambulisho vinatoka na namba ni tofauti.
Kwa hali hii uchaguzi unaokuja utazidi kuwa wa...
Ni vyema sana mtu kupima na kulijua group lako la damu kwa mfano mimi nilikuwa nahangaika na magonjwa ya ngono kumbe mimi ni AB yaani nipo sensitive sana na magonjwa.
Kwa mfano, Yaani ukipiga...
Wanawake wa Tanzania, je, umejipanga kugombea nafasi yoyote katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa au Uchaguzi Mkuu ujao?
Ni sababu zipi zinakuchochea kugombea au zinakuzuia?
Ni kweli Wanawake...
Sisi wakazi wa Chanika Taliani kuelekea PSSSF, barabara zetu zimekuwa mbovu sana.
Mkandarasi alikuja na kuchakachua kupitisha grader kwa juu tu, ametimua vumbi na kukimbia badala ya kutengeneza...
Kitu kimoja nimeona Mbeya tofauti na mikoa mingine ni wingi wa Bajaji hizi na bodaboda. Ni nyingi hadi zinakera. Naambiwa kwamba wingi wake umeletwa na Tulia Foundation ya spika wa Bunge ambaye...
Nikiwa na mradi wa kujenga hospital huko Kilosa, mkoani morogoro, miaka kadhaa nyuma, nilipata kusikia taarifa hii ikizangazaa maeneo ya wodi ya wazazi, kuwa shujaa Daktari aliyeitwa ELIUD...
Jana tarehe 28.9.2024 pale mkoani Ruvuma mh. Rais amesema yeye hajawahi kuua mtu labda sisimizi. Nimefurahi mno kusikia hivyo na imekua bora zaidi umekataa ukatili na unyama huo kwa kinywa chako...
Kama una mtoto na hauna uhakika na baba yake halisi au kwa sababu zako hutaki ubini wake utumike kwa mwanao, huna sababu ya kumwandika baba bandia katika cheti cha kuzaliwa.
Kwa mujibi wa RITA...
Jeshi la Hamas ni nadra sana kuvaa kiraia, pia huficha nyuso zao kamwe hazionekani. Lakini wauwaji wa Joshua walikua hawana nguo za jeshi wamevaa kiraia na pia nyuso zao zilikua wazi.
Kwanini...
Kufuatia kifo cha Mtanzania Joshua Mollel aliyeuwawa na kundi la Hamas, Baba yake mzazi amefunguka na kusema kuwa alifika eneo alilokuwa akiishi na mwanae ambapo alipata taarifa kuwa kundi la...
Wakuu, kumbe vitu vikiruka kupitia JF mambo yanaenda eeeh? Baada ya JF kurusha maji yamerejea, hapa ndio pa kuleta kero zetu Wakuu.
Tukaoge vizuri na kuosha vyombo vichafu vya siku mbili.
JF...
Week hii yote tulikuwa na ratiba ya kutembelea mikoa na baadhi ya vivutio mbalimbali hapa nchini, Mimi na rafiki yangu.. Jana baada ya kutoka ngorongoro tulipiga kambi Arusha mjini rafiki ilianza...
"Kulingana na Wanasaikolojia, kuna aina nne za Akili:
1) Kiasi cha akili (IQ)
2) Kiwango cha Kihisia (EQ)
3) Kiwango cha Kijamii (SQ)
4) Kiwango cha Shida (AQ)
1. Intelligence Quotient (IQ)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.