Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ufafanuzi kuhusu changamoto ya Majisafi Kisasa - Dodoma Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) inakiri na kutambua changamoto iliyopo ya hali ya upatikanaji wa huduma ya...
1 Reactions
3 Replies
340 Views
Baadhi ya walimu kuanzia Shule ya Awali na Msingi,Sekondari na hadi Chuo wamekuwa na tabia ya kutamkia watoto maneno makali na yenye kukatisha tamaa. Mojawapo ya Maneno hayo ni kama “Hutaweza...
8 Reactions
246 Replies
5K Views
Karibu viongozi wote wa Afrika wana tabia moja inayofanana - kujitajirisha binafsi kwa kuingia mikataba ya siri inayoumiza nchi zao, huku wakidanganya umma mikataba hiyo ni kwa faida ya nchi zao...
0 Reactions
6 Replies
365 Views
Naitwa sherry Na umri wa miaka 35 Kila ikifika saa nane usiku mpaka kumi naota wezi Kama hawaibi nyumban naota wananikimbiza Nimekuwa napenda sana kusali mida ya usiku..... Sema ilipoanza hio...
1 Reactions
21 Replies
533 Views
Godfrey Wasonga ambaye ni miongoni mwa Mawakili waliokuwa wakiwatetea kina Nyundo na wenzake ambao wamehukumiwa kifungo cha maisha Gerezani kutokana na kesi ya kumbaka na kumlawiti Binti wa Yombo...
5 Reactions
72 Replies
2K Views
Baadhi ya maeneo ya Kariakoo, Upanga na Posta hawa watu ni wana nchi yao ndani ya nchi Mtu anazaliwa Posta hajawahi kufika hata Magomeni Hudumza zote wanapata huko huko Posta mpaka kuna vyuo vikuu...
31 Reactions
88 Replies
6K Views
Nimeshasikia mara nyingi baadhi ya watu wakidai kuwa hakuna Mungu wala uchawi. Hata pale mambo yasiyo ya kawaida yalipotokea na kuhusianishwa na Mungu au Shetani, bado waliendelea kudai kuwa ni...
2 Reactions
9 Replies
377 Views
Wazawa wa pale wana kuambia eneo lile kuna laana athari ya vita ya wa kibosho na wa machame. Damu ilimwagika sana, infact hata mimi niliwahi kuonesha mahala walipokowa wanatupia miili ya victims...
1 Reactions
4 Replies
278 Views
Serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais Samia inazidi kuonesha na kutafsiri mafanikio ya sekta ya Viwanda Kwa vitendo. Sasa ni zamu ya viwanda vya Kutengeneza ndege ambapo ndege ya Kwanza iliyoundwa...
4 Reactions
69 Replies
5K Views
Mkuu wa Magereza Ukonga, Josephat Mkama pamoja na Afisa Tehama, Sibuti Nyabuya, wapandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma document na uhujumu uchumi, na kuongoza genge la uhalifu...
24 Reactions
58 Replies
2K Views
Kuna kampeni ya Leo imezinduliwa mkoani Tanga na Naibu Waziri Mkuu Mh Dotto Biteko inayoitwa Mtoto wa Leo ni Samiah wa Kesho. Hii Kampeni nimeshindwa kuuelewa kusudi lake. Je ni kweli kwamba kila...
6 Reactions
26 Replies
765 Views
MBUNGE CHEREHANI: WALIMU TUSHIKAMANE KUTOKOMEZA ZERO USHETU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani amewataka walimu wa Shule za Sekondari katika Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga...
0 Reactions
1 Replies
119 Views
Wale mlio karibu na Mwandishi wa Habari nguli nchini Tanzania Burton Mwemba aka Mwijaku mfikishieni hayo maswali Nimekaa pale cc: Mh Stella Manyanya 😃
2 Reactions
17 Replies
403 Views
Anonymous (fbc1)
Ni zaidi ya mwaka sasa tangu tathmini na uthamini ufanyike lakini bado malipo ya fidia hayajafanyika na hakuna taarifa yoyote. Wakazi wanashindwa kufanya maendeleo yoyote kwenye maeneo yao...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Habarini wanajukwaa... Takribani wiki ya pili sasa Tarura walikuja kutifua barabara kwa ajili ya matengenezo ya barabara zilizopo eneo la Sabasaba Manispaa ya Singida. Kama wananchi hatupingani...
1 Reactions
0 Replies
281 Views
AMANI YA BWANA IWE NANYI, MUNGU AWAPAYE WATU NEEMA NA AWAPE NEEMA. Kuna jambo nimeliona huku mtaani siku za hivi karibuni sijawahi kulielewa kwa undani wake kuna nini kimejificha huko. Hivi...
11 Reactions
47 Replies
2K Views
Nimepita hapo Mbezi beach Njia Panda ya Goba nimeona FFU wengi wakiwa na zana zao, kuna nini? Ni hilo tu 🐼
10 Reactions
62 Replies
2K Views
Mshikaji anaitwa Bruce John Chawa. Ni blogger maarufu kama chawa 001. Ilikuwa 12th September, 2024. Unaambiwa watu kama 20 walikuja kumteka. Majirani walivyotoka jamaa wakadai wao ni polisi...
1 Reactions
21 Replies
929 Views
Kwenye kukua kwangu, hili neno Siasa ni neno la kawaida maana nalisikia mara kwa mara. Mfano: Chama cha siasa. Mwana siasa... Ila ukweli sijui maana yake. Maana hata wakati mwingine ni neno la...
2 Reactions
10 Replies
735 Views
2021 aliwaita wastaafu wote ambao walipunjwa pensheni zao na mkafanya nao kikao mkakubaliana atumwe katibu dodoma kwenda kufuatilia hayo mapunjo ambayo baadhi ya wastaafu katika penshen zao...
0 Reactions
0 Replies
170 Views
Back
Top Bottom