Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
MREJESHO KWA WADAU: DUWASA YATATUA KERO YA MAJITAKA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) inapenda kutoa mrejesho kwa wadau na wateja wake kuwa changamoto ya iliyokuwepo ya...
0 Reactions
1 Replies
407 Views
Ninapendekeza mamlaka ya RITA ifutwe Halafu iwe hivi, Wizara ya mambo ya ndani iwe na mamlaka/Idara ya Utambuzi na uhakiki. Hii idara/Mamlaka itatambua na kuhakiki VIZAZI, VIFO, URAIA, na kutoa...
0 Reactions
3 Replies
93 Views
Habari ndugu zangu Wana jamiiforums Leo katika pita pita zangu nimekutana na hili tukio Wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya katika Kata ya Kyimo. Tunaiomba serikali kuliona hili.
2 Reactions
14 Replies
691 Views
Watu wawili wamefariki dunia baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama ndani ya Ziwa Victoria katika Kijiji cha Burere wilayani Rorya mkoani Mara huku wengine wawili wakiokolewa. Tukio hilo...
0 Reactions
1 Replies
310 Views
Habari Zenu wakuu. Nimekuja Iringa mara moja kikazi, sasa usiku wa kuamkia leo mwili ni kama ulibadilika nikapata kitu kama homa kali sana, ilikua ni kama saa 9 usiku hivi nikasema ngoja...
2 Reactions
8 Replies
332 Views
Hello! Sometimes najuta kuacha masomo ya Sayansi mapema sana, ila muda mwingine naona kuwa nilifanya uamuzi sahihi nikiangalia wenzangu waliokomalia hayo masomo ya Sayansi almaarufu physics na...
2 Reactions
9 Replies
636 Views
Ni vipi wandugu,niende moja kwa Moja kwenye mada.Juzi kati tumeshuhudia msanii akishushwa jukwaani punde tu baada ya kuanza kuiburudisha hadhira yake.Hili linaleta taswira flani yenye sintofahamu...
0 Reactions
0 Replies
195 Views
Wanajukwaa! Je, umewahi kukutana na MAJINI au JINI? Je ulifanyaje? Je mlikua marafiki, au walikutisha na kukuogopesha, je mliishi pamoja? Je umeshawahi kuzungumza nao? Basi kama ndio karibu...
18 Reactions
67 Replies
6K Views
Case study ya Familia ya Mrema! Ugomvi ugomvi uliosababisha aondoke na kijiji.. Tamko/wosia wa marehemu una nguvu sana baada ya kifo! Msiba mkubwa wa watu 20 unaosadikika kutokana na maneno ya...
20 Reactions
119 Replies
8K Views
Anasema wafungwa ambao wanasubiri kunyongwa kwa siku hupewa dakika 15 tu za kutoka nje na muda mwingi hubaki ndani. “Kwa kuwa wanakuwa wengi gerezani, basi kuna baadhi wanaweza kukaa muda mrefu...
8 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari humu? Mimi ni mtumishi katika Halmashauri X tarehe 26/08/2024 nilichukua mkopo wa mwaka mmoja. Sasa nimeshangaa imefika tarehe 23/09/2024 wakanikata hela iliyo kuwemo, na mshahara ulivyo...
4 Reactions
21 Replies
996 Views
UKIONA JEURI YAKO BADO IKO JUU SANA JUA BADO MAISHA HAYAJACHANGANYA VIZURI KWAKO 😊 Maisha yakichanganya vizuri utaona hata wazee maskini sio wote walikuwa wavivu bali yaliwakuta kama yanayoenda...
35 Reactions
65 Replies
2K Views
Nadhani wote mmesikia kilichomtokea Zuchu huko Mbeya, Sio kosa lake, Hakujua kwamba yupo eneo tofauti kabisa, Alikuwa akipigia sana debe viongozi bila kujua kufanya hivyo ni kuamsha hisia kali...
15 Reactions
49 Replies
2K Views
Katika eneo linalonifikirisha zaidi katika kuendeleza Jiji letu la Biashara la Dar es Salaam, ni mwendelezo wa Sura ya mbele ya bahari iliyopakana na nchi kavu ya Jiji la kibiashara la Dar es...
0 Reactions
0 Replies
225 Views
Yapata wiki tatu sasa jiji la Dodoma hususan mitaa yote ya Kisasa maji hayatoki. Cha kushangaza sio mamlaka ya maji Dodoma (DUWASA) au mamlaka za Serikali Wilaya na Mkoa wa Dodoma waliojitokeza...
1 Reactions
1 Replies
479 Views
Kwa heshima, nachukua fursa hii kuwatakia wazee wetu wapendwa wa Tanzania kila la heri kuelekea kesho tarehe 1 Oktoba, 2024 ambayo ni siku mahsusi ya maadhimisho ya siku ya wazee duniani...
13 Reactions
11 Replies
717 Views
Sikiliza muungwana na nisikilize kwa umakini sana. Kazi za Serikali na private sector ni ngumu sana muungwana. Wanaotoka ni wachache sana sana ila wanaotaka kuingia ni wengi. Sasa iko hivi kwako...
3 Reactions
1 Replies
300 Views
Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), inahitajika kufanya innovation katika idara ya manager watu hatuwezi kuwa na viongozi ambao hawajitambui katika wajibu wao...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
We are going dar together hakuna kuchanganyana. Wa mikoani tunajisifu tunajua Dar yote kumbe hata Yombo hujafika kila mtu ana action zake kazifanya Dar ila mimi napafahamu sana Kimara tena njia ya...
2 Reactions
13 Replies
388 Views
Wakuu, kuna mtu yeye huwa anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu. Najua huyu anafanya ushirikina Ila nimwambie tu ntampoteza vibaya Sana.
12 Reactions
75 Replies
2K Views
Back
Top Bottom