Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Salaam... Jana ni ile juzi, leo ni ile jana uliyokuwa unaisubiria ili uamue au ufanye jambo fulani. Uanze biashara, uache kazi moja kutafuta kazi nyingine, uache fursa moja kukimbilia fursa...
1 Reactions
7 Replies
304 Views
Nakumbuka; Nikiwa mdogo mdogo hivi kuna "BIBI" mmoja alifariki pale kijijini, yule bibi alikuwa anasadikika ni mshirikina "mchawi". Wakati ulipowadia wa kukaribia kufariki, yaani anakaribia...
0 Reactions
5 Replies
328 Views
Ni jambo dogo hili ninalokuambia lakini please take care. Watu hawasamehi, hawasahau kwahiyo kama kuna mtu alikutendea ubaya kuwa naye makini, hajasahau. Ipo siku atatamani akutendee tena ubaya...
2 Reactions
2 Replies
234 Views
Wakuu, Kipande hiki cha barabara ni maeneo ya Mbezi Beach Dar upande wa chini, ambako si mbali sana kutoka ilipo supermark ya Shopaz (kwa ambao si wenyeji wa maeneo haya), kipande hiko cha lami...
2 Reactions
11 Replies
643 Views
Iran akimpiga Israel jua Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na Italy lazima tu yataingilia Kumsaidia na Israeli nae akimpiga (kwa kulipiza kisasi) Iran piga ua Urusi, China, Turkey na Korea...
1 Reactions
13 Replies
458 Views
Naomba JamiiCheck watatusaidia kuiverify hiyo video, ila kutokana na sababu za kimaadili sitaipost hiyo video hapa, ila kwa atakayeihitaji asisite kuja PM. Video hiyo inamuonesha Jay-Z akiwa na...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Katika zama hizi za kidigitali, taarifa zetu binafsi zimezagaa katika majukwaa mengi, na mara nyingi hatuna uwezo wa kuzifuta kabisa taarifa hizi zisionekane na umma. Taarifa hizi zinashikiliwa na...
1 Reactions
5 Replies
699 Views
Kutokana na sababu kadhaa ikiwemo kusogeza huduma za kijamii kwa wananchi tumeshuhudia baadhi ya sehemu Tanzania zikipata hadhi ya kuwa mikoa kama Njombe, Katavi, Geita, na Simiyu. Licha ya Dar...
0 Reactions
5 Replies
622 Views
Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel (katikati) pamoja na msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz walivyopiga Push Up huku Hamis Mwinjuma (Mwana FA) akiwatazama. Soma pia: Wananchi jimbo la...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
WAZIRI AWESO ATOA MAAGIZO DUWASA Kufuatia kuwepo kwa changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji katika baadhi ya maeneo ya Kisasa Jijini Dodoma, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ameiagiza...
1 Reactions
2 Replies
217 Views
Juzi kati nasoma mtoto wa miaka 54 kamuua mama yake kisa maki za urithi; ======= Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linafanya uchunguzi wa kifo cha David Mollel mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati...
0 Reactions
3 Replies
393 Views
Wadau nikiwa napitia katika mitandao ya kijamii, nimeona na kujifunza sehemu fulani maana iliyopo nyuma ya muundo wa herufi na namba tofauti zinazosomeka katika makasha makubwa ya kusafirishia...
0 Reactions
3 Replies
946 Views
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kusema kuwa Wakazi wa Shamaliwa A na B wengi wao hawana huduma ya Maji kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa kutokana na wahusika wanaotengeneza Barabara wameharibu...
0 Reactions
1 Replies
145 Views
1. Jaribu kutafuta kuona kuna taarifa gani zinazokuhusu katika 'search engines' mbalimbali ikiwa ni za kweli au zinadanganya. 2. Iwapo utakutana na taarifa zisizo sahihi, za kupotosha, au...
1 Reactions
0 Replies
348 Views
Katika shirika linaloshangaza ni dawasco maji wanatoa siku moja au mbili kwa week lakin bado nako kumewashinda je wangetakiwa kutoa maji 24/7 kama wafanyavyo miji mingine Napokaa hapa maji mara...
2 Reactions
2 Replies
198 Views
Licha ya Serikali kupambana kupiga vita dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia lakini bado Wananchi na wakaadhi wa Kisiwa cha Mafia baadhi yao wameonekana kutia pamba masikio na kupelekea...
5 Reactions
131 Replies
9K Views
ANDREW ARSHAVIN: JASUSI WA URUSI ALIYEJIFICHA KWENYE MCHEZO WA SOKA. (1) Unamkumbuka Andrew Arshavin?! Wengi wanamkumbuka Andrew Sergeyevich Arshavin, kama winga machachari aliyekiwasha ndani...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Ilikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu, Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali...
57 Reactions
186 Replies
13K Views
Katika Makuzi yangu ya Maisha, nilipata muda wa kukaa kwa Mjomba Wangu, kwa muda wa mwaka mmoja. Hizi ndo kauli za Mjomba Wangu. 1. Kula sio leo tu hata kesho utakula, akimaanisha mwanadamu...
9 Reactions
13 Replies
798 Views
Kuandaa unaanza na mbegu za kahawa aina ya Arabica kutoka Thailand. Baada ya kuchumwa Tembo hulishwa matunda hayo ya kahawa, maarufu kama "cherries," yakichanganywa na chakula chao cha kawaida...
1 Reactions
4 Replies
242 Views
Back
Top Bottom