Wakuu, najua kuna wengine mtakua mnajua.
Ukiwa unacheki utabiri wa hali ya hewa kwenye App au Google eneo flani, utaona wameandika Precipitation hafu wanaweka asilimia flani, mfano 50%.
Sasa...
Kabla ya kuingia Misa hapa nikasema tulia niendelee kupitia Speech za Huko UNGA 79th session Jana nilikua na ya Anko Benjamin hadi network ikakata.
Nikaanza na ya MP wetu anapeleka salam tu za...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu leo amezindua na kukabidhi jumla ya magari 11 huku gari moja likiwa ni Gari la Kubebea Wagonjwa ambapo pia gari hilo litataoa...
Halmashauri ya Mji Kibaha inatarajia kutoa mikopo kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu yenye thamani ya Shilingi 1,169,428,549 ili kuwawezesha kupambana na adui umasikini...
Baada ya kukamilisha usambazaji wa umeme katika vijiji vyote 785 Mkoani Mtwara, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mradi wa shilingi bilioni 16.7 wa kusambaza umeme...
YAH: MALALAMIKO JUU YA TAASISI ZA MIKOPO MTANDAONI
Kama mnavyojua changamoto zipo kwa Kila mtu hasa upatikanaji wa fedha pale unapokuwa umepata shida ya ghafla yenye uhitaji wa pesa au changamoto...
Ana andika, Robert Heriel
Mtibeli
Mimi ni miongoni mwa wale Watu àmbao wakati nilipokuwa mwanafunzi sikuwahi kuibia mtihani tangu naanza Shule mpaka namaliza Chuo Kikuu kwasababu nilikuwa...
Habarini ndugu, kuna mwamba namdai pesa about 100m.. jamaa nilimkopesha na tuliandikishana mkataba. Ni muda mrefu miaka 5 sasa. Nilimpeleka police, lakini haikuzaa matunda kwa kuwa jamaa alikuwa...
Tanzania Religious figures
Tanganyika
85% Pagan/ Non Religious/ Atheist
7.4% Christian
5.2% Islam
1.5% Hinduism
0.9% Others; Judaism, Buddhism, other traditional religions
Zanzibar
84% Islam
9%...
Wakazi wa Kijiji cha Kigina Kata ya Ntobeye wilayani Ngara mkoani Kagera waliokuwa wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa huduma ya Maji safi na salama
Wanatarajia kuondokana na Changamoto...
DKT. FLORENCE SAMIZI: MATOKEO YA ROYAL TOUR YAONEKANA MOYOWOSI, IDADI KUBWA YA WATALII NA MAPATO VYAONGEZEKA
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe wilayani Kibondo Mhe. Dkt. Florence Samizi amesema filamu...
Naam Naam Wana Board
Husika na Kichwa Cha Habari Hapo Juu
Matumizi ya makaa ya mawe yamefanyiwa utafiti na kuonesha yanafaa kwa matumizi ya nyumbani na hayana moshi na huwaka kwa muda mrefu...
Mwili wa mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi.
Inadaiwa...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limelaani vikali kitendo alichofanyiwa Mwimbaji wa Bongo Flava, Zuhura Othman Soud cha Mashabiki kumtupia vitu jukwani katika Tamasha la Wasafi Festival...
Husika na kichwa Cha habari hapo juu.
Tofauti na ilivyo kwenye majiji mengine Kama vile Dodoma, Arusha, Tanga na kwingineko Ila tabia na matendo ya watu wa Mbeya kwa wageni na kwa miundombinu ni...
P Diddy amebeba Ajenda kubwa kwa ajili ya kupromote LGBTQ Community.
Hivyo kwa mnaotegemea anaenda kuozea Jela mtasubiri sana.
Jamaa ataachiwa huru na kila mmoja atashangaa. Huu uzi ubaki kama...
Karibuni katika darasa huru Tuelimishane!
Serikali ikiwa ndiyo yenye dhamana ya kuingiza mafuta nchini; na kuyauza kupitia bandari yetu;
Hoja iko hivi; Kama mwagizaji wa mafuta haya ni mmoja na...
Wafanyakazi wa Hospitali ya Mtakatifu Joseph Peramiho iliyopo Songea mkoani Ruvuma wakiwemo wauguzi na wafamasia wametishia kuishtaki hospitali hiyo kwa madai ya kutokulipwa mishahara yao ya mwezi...
Jana jioni natoka Dar kuja Msata Vituo vingi sana vilikuwa havina Diesel wala Petrol
Leo asubuhi Vituo Vyote vinasoma Mafuta yapo na bei ya Mkoa wa Tanga
Ndio nashangaa haya Mafuta yameshusbwa...
Hapa nitasimulia kilichotokea katika uhalisia wake!
Kuna mafuta mazito ya kuendeshea mitambo yanaitwa IDO (INDUSTRIAL DIESEL OIL) Haya yanapatikana kwa njia mbali mbali lakini zilizo maarufu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.