Jana Tarehe 2.10.2024,
Nilikua naongea Sehemu. Kuna kitu nilikua sijui ikabidi niulize nasikia mara nyingi Rais anaitwa Mama Samia. Anamtoto anaitwa Samia?
Wakaja wajuzi wakaniambia Samia ni...
Ndugu zangu, kwasasa nipo nje ya ajira. Nahitaji kuchukua mafao yangu ya NSSF. Sasa, jina langu la kwenye account ya NSSF limetofautiana kidoogo na jina langu la kwenye kitambulisho Cha kupigia...
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa maelekezo ya kusimamishwa kwa mchakato wa utafutaji madini kwa kulipua mawe kwa baruti eneo la King’azi A kusimamishwa kwa kuwa hana vibali na hivyo...
Habari zenu ndugu zangu,
Jaman naombeni msaada wa kufanya ili nikate harufu ya pombe mdomoni.
Hapa nimekunywa na mke wangu hapendi ninywe kwani huwa tunafarakana sana nikinywa na alinambia siku...
Habari wadau!
Hivi hizi habari za vitu vya kale sijui na hela za zamani kuna ushahidi wowote hapa Tanzania mtu kapata hela kwa haya mambo?
Msaada wenu na ndugu yangu kazama kwenye haya mambo...
Israel imepiga marufuku secritary general wa UN kukanyaga aridhi ya Israel kwasababu Guterrezi amekataa kulaani kitendo cha Iran kupiga makombora isreal siku ya jumanne.
UN umeanza kua toothless...
Pamoja nauwepo maji ya kutosha lakini watuwanakosa maji safi na salama ya kutumia
Hivi karibuni, katika Jiji la Nairobi nchini Kenya, ilizinduliwa Taarifa kuhusu Hali ya Mazingira ya Afrika kwa...
Nimetafakari sana juu ya mfano wa mtu anayeogelea ufukweni akiwa uchi huku mwingine akimuangalia na kumcheka alivyo.
Katika tafakari hii nimejikuta nakosa maana ya kumcheka Kwa sababu tofauti ya...
Kwetu hapa Tanzania Sasa ni kama vile tumerogwa.Nje ya Dar hakuna Barabara zozote za maana,hata Uganda na Kenya wametuacha mbali sana.
TanRoads acheni kuwa rigid ,kwani nyie hampendi miundombinu...
Kupata taarifa sahihi ni njia mojawapo ya kujikinga na upotoshaji, ukiwa na taarifa sahihi itakusaidia kufanya maamuzi sahihi na kuepuka kuwapotosha wengine
Unashauriwa kuwa na vyanzo vya...
Bila Kupoteza Muda , Siku Zote Nimekuwa Nikijiuliza Hivi Kuna Mganga Wa Kienyeji Ambaye Anaweza kutatua shida Au akawa mkweli Akakusaidia Na Ukafanikiwa? ... Wenye Experience ambao Mmetembea...
Iran ndipo anapompatia silaha hezbollah
Iran na Russia ndipo waapopeana silaha na usaidizi mwingine
USA ndipo anapopatumia ku-attack adui zake wa middle east
ISIS ndipo wanapouzia artifacts za...
Wakati Rais Samia anasherekea miaka 3 Madarakani,Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imeendelea kuandika rekodi Juu ya rekodi Kila msimu Kwa kufanikiwa kukusanya Shilingi Trilioni 6.63 Kwa robo ya Tatu...
Nawaza tu kama wale jamaa wamefungwa maisha kwa kubaka
Vipi aliewatyma??
Na kama bado yupo mtaanj mmejipangaje kumlinda yule dada aliefwanyiwa usheenzi
Nawaza tu kama aliewatuma watuwake...
#HABARI Watu wanne wamepoteza maisha na wengine 15 Kujeruhiwa baada ya basi Kampuni ya Kapricon (T 605 DJR) iliyokuwa ikitokea Jijini Dar es Salaam kuelekea Arusha kupata ajali ya kuacha njia na...
Ninatatizo ambalo nashindwa kuelewa kama nimerogwa au vipi
Kila nikipata kazi najikuta nimekuwa mtu wa kuchelewa Chelewa kazini
Mara ninaacha kabisa kazi
Au nafukuzwa kazini
Tabia hiyo...
Katika kitu ambacho siwezi kufanya ni kuingia gharama Kwa binadamu mwenzangu eti nimsaidie yaani pesa zangu nihangaike kubet dakika 90 za moto nipate mapesa halafu atokee mtu mmoja aseme eti...
Nimetembea baadhi ya nchi za ulaya, njia za mwendokasi zinatumika kuzalisha umeme wa upepo kutikana na upepo unao zalizwa na mabasi yanapo pita..
NI njia rahisi sana ya kuongeza umeme kwenye grid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.