Jamani wataalam au mtu anayejua hili tatizo la Kujaa Kwa mate mdomo wakati wa kuamka asubuhi, tena haya mate Huwa yanatoa harufu mbaya mno, muda mwingine hata mchana tu nikilala sana, nikiamka tu...
Huenda sipo peke yangu hivyo labda maada hii inaweza kuwagusa na wengine watakaoamua kujifunza kutoka kwa wanachama wengine.
Mwaka 2017, rasmi nilikabidhiwa urithi wa marehemu baba yangu ambaye...
Ni ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao.
Huo ni ukichaa huwezi kuyajua ya israel na palestina yakwako...
Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza, ndugu Lucas Mwashambwa, Sio bure kazi unazozifanya za kukichafua Chama Cha Demokrasia na Maendeleo zinaonyesha kabisa wewe ni mtu ambaye umetumwa na...
Habar za Leo ndugu wanajukwaa,
Siku chache zilizopita nilienda kwenye tawi la bank Moja maarufu hapa nchini kwaajili ya ku-process mkopo kutoka kwenye bank hiyo.Afisa mikopo alinipigia mahesabu...
Hapana shaka afya za wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, zipo hatarini. Hii ni kutokana na kuuziwa matunda yanayookotwa katika Dampo hili ambalo wenyeji wa maeneo husika ya Kata ya Vikindu, Mkuranga...
Hii mvua ya leo imekuja na upepo wenye unyevu wa baridi hadi raha hali hii ya hewa kwa leo inatusahaulisha machungu ya joto kali hapa jiji Dar
Natamani hali ya hewa iendelee kuwa hivi ili...
Ukienda Italy,Belgium,France ,Spain na nchi nyingi za ulaya utastaajabu na wasanii wa tasnia ya kuchonga masanamu walivyo mahiri.
Wanaweza kuchonga jiwe gumu mpaka ikatokea taswira ya mtu wanae...
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa, Kata ya Mafisa Manispaaa ya Morogoro huku kwetu kuna Dampo ambalo halitunzwi vizuri na uchafu wake umekuwa ukisambaa maeneo tofauti hali ambayo inaweza...
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa, Kata ya Mafisa Manispaaa ya Morogoro huku kwetu kuna Dampo ambalo halitunzwi vizuri na uchafu wake umekuwa ukisambaa maeneo tofauti hali ambayo inaweza...
Naomba ufafanuzi hukumu huwa ni kunyongwa hadi kufa au kunyongwa tu. Je, mtu akihukumiwa kunyongwa kuna uwezekano wa kupona tofauti na aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa?
Na huzikwaje?
Adhabu ya kunyongwa hadi kufa, ni mojawapo ya adhabu kongwe na ya kuogofya zaidi duniani... Na ndio adhabu ya juu zaidi.... Kunyongwa hadi ufe kabisa baada ya kuthibitishwa na mahakama tuhuma zako...
Salam.
Wakuu, mimi ni mtumishi wa uma nipo mkoa wa mby kwa sasa, nimepata ofa ya kupewa uhamisho kwenda wilaya yeyote ile ninayo ihitaji hapa Tz.
Naomba ushauri je nisehemu ipi nzuri ambayo...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkendaleo Oktoba 03, 2024 amezindua nyumba pacha ya Walimu wa Shule ya Sekondari ya Lubonde iliyopo katika Kata ya Lubonde Wayani Ludewa Mkoa wa...
Kwa miaka mingi mji wa Mbeya ulikua unatambaa kimaendeleo lakini tangu upewe hadhi ya jiji 2005 na upepo wa kisiasa kubadilika,jiji limeanza kukua na kutoa matumaini ya kua jiji shindani na lenye...
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe
Fredy Azzah na Fidelis Butahe
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ambaye jana aliruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar es Salaam...
Hello ndg zangu! Hongereni na poleni kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa letu pendwa Tanzania. Naenda kwenye maada moja kwa moja. Mamlaka ya mapato imekua ikija na mbinu mbali mbali za ukusanyaji wa...
Mimi ni kiongozi wa timu za usajili wa line mpya. Hivi karibuni kumetokea wimbi la wateja wengi wanaotaka kusajili line mpya na vitambulisho havijajaa lakini wanaambiwa (nin blacklisted). Je wewe...
Katika vitu ambavyo naviona ni primitive kwenye dunia ya leo, ni pamoja na Tawala za Kifalme.
Kuamini kizazi cha mtu mmoja ndio kinafaa na kinastahili kuongoza watu katika taifa fulani, kwangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.