Habari ndugu zangu
Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya...
Watumishi wa Afya akiwemo Daktari Mbobevu, Maafisa Wauguzi na Wateknolojia wa Maabara wanaidai Hospital ya Rufaa Peramiho iliyopo mkoani Ruvuma mishahara yao ya mwezi Septemba.
Kama chombo cha...
Wadau hamjamboni nyote?
Niende kwenye mada Moja Kwa Moja
Bila Kanisa Katoliki:
Ukristo usingeenea Duniani
Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa
Ukristo usingeheshimika
UKRISTO ungefutika na...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Oktoba 05, 2024 katika Siku ya Walimu Duniani ametoa salam za heri ya Siku ya Walimu Duniani akiwa Mkoani Njombe.
Katika Salam zake...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amezindua Shule mpya ya Sekondari ya Yombo iliyojengwa katika Kata ya Ikuna Wilaya Njombe, Mkoani Njombe
Akizungumza Oktoba 03,2024...
Suala la matumizi ya lugha ya kiswahili kama lugha ya kufundishia laibuka tena Bungeni wakati wa mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Elimu leo tarehe 7/04/2024.
Akichangia hoja Mbunge kutoka zanzibar...
Kwangu mimi na kwa wale wenzangu tusioegemea upande wa vyama vya siasa ni faraja kubwa kupata gazeti la MWANAHALISI linalotoka kila Alhamisi nchini Tanzania.
Kwangu mimi ni chombo pekee...
Hali ya sintofahamu imeendelea kutawala kuhusu alipo Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Felloship (BGBF) Zachary Kakobe.
Ikiwa ni miezi michache imepita tangu Frank Zachary Kakobe ambaye...
Pia soma:
~ Askofu Zachary Kakobe yupo wapi? Hadi mwanae anadai hajamwona kwa miaka 2
~ Yupo wapi Askofu Zacharia Kakobe? Hajaonekana tangu Desemba 2021
Hizi taa za kuongoze magari zilizopo maeneo ya Kituo cha Magari cha Nata hapa Mwanza ni changamoto kubwa, hazifanyi kazi na zimekuwa zikisababisha foleni zisizo na sababu.
Eneo hilo limekuwa...
Ningependa nitembelee sharika zote na mitaa yote ya kanisa la KKKT iliyopo dar es salaam ili kuimaliza yote kama kuna ibada za katikati ya juma pia nishiriki huduma hizo.nambie unaabudu kanisa la...
Zipo Apps mitandaoni zinahamasisha ushoga ambapo zinaunganisha watu walio eneo moja mfano Sinza.
Ukiingia humo dakika 10 nyingi mtu anakuja na Bodaboda ulipo huku anahema juu juu na unapata wa...
Ikiwa vidole vyote vitakuwa na urefu sawa, hutaweza kushikilia kitu chochote. Jinsi vidole vina urefu tofauti hupelekea kuwa ngumi wakati vidole vyote vimekunjwa. Hii ndiyo sababu kuu kwa nini...
Kama mwanamke anapika chakula anajaza chumvi nyingi kwenye mboga basi kuna uwezekano mkubwa sana mwanamke huyo akawa na akili ndogo ama hana akili kabisa.
Na kama chumvi inayo tumika ni chumvi...
Napendekeza mfumo wa kutahini watoto ubadilike. Ni kumuonea mtoto wa sekondari Kwa kumuuliza mambo aliyo jifunza miaka minne Kwa muda wa masaa matatu. Au mtoto wa darasa la Saba kumtahini Kwa...
Wakuu habari za muda huu. Natumaini wote ni wazima. Leo nimejaribu kupita Facebook ukurasa wa JamiiForums nikakutana na habari ya inayo lihusu taifa la BurkinaFaso kufuta baadhi ya leseni za...
hivi kuna yeyote kati yetu alie wahi kwenda nje ya dunia na kuipiga picha tukaiona ni ya duara, si tunaletewa tu picha kwamba ni duara.., mi nimeamua kugoma mpaka niende nikahahakishe mwenyewe...
Chanzo channel ten habari 3/11/2023 saa moja usiku.
Wakazi wa Jiji la DSM tunampa hongera RC Chalamila kwa kupambana na biashara haramu ya kuuza miili/ngono, biashara hii imekuwa chanzo kikuu cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.