Anaandika Gerald John Komba, mtoto wa kwanza wa marehemu Kepteni John Komba.
________________________________
Wakati namuuguza Marehemu Baba, siku moja nilimshuhudia akilia Machozi. Nilimuuliza...
Afande Awadhi Hajji ( Mkuu wa Operesheni na Mafunzo)alikuwa anasema jana amefika Mbeya kutazama kama matayarisho ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yanaendeles vizuri na pia kutazama suala la...
Imetokea mbeya asubuhi hii
Watu watatu wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha mabasi mawili ya Kampuni ya premier na capricorn ajali imetokea Kata ya Ilomba jijini Mbeya
Kwa Mujibu wa Mkaguzi wa...
Wakati baadhi ya Halmashauri zikitenda haki kwa watumishi na kufuata miongozo ya TAMISEMI katika zoezi, tumebaini kuna baadhi ya Halmashauri kazi ya upigaji na kujitajirisha watu wachache kwa...
Epuka matapeli haraka!!! hakuna "Biblia ya Waprotestanti" kama nilivyo ona sehemu fulani baada ya mimi kuandika Biblia ni Kitabu cha Kanisa Katoliki. Ieleweke kwamba kuna Biblia moja halali yaani...
Ni asubuhi umeamka zako na unajiandaa kwa ajili ya kwenda kazini ila ghafla unasikia sauti yenye ukali mlangoni kwako ikikutaka utoke nje, unaamua kufungua unakutana na mtu ambaye amevaa jeans na...
Imarisha Usalama wako Mtandaoni kwa kufanya yafuatayo;
a. Sasisha (Update) Kivinjari chako kila linapotoka toleo jipya. Unaweza kuruhusu Kivinjari kiweze kujisasisha 'automatically'
b. Tembelea...
Unadhifu wa kimavazi, kiakili na kimaneno (lugha) unauhusiano mkubwa sana na kupendelewa au kupewa kipaumbele kwenye jamii.
Watoto waliovaa vizuri na wasafi hata kwenye bus au hospitalini kila...
Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuanza safari za ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, aina ya Skyleader 600. Mkurugenzi wa AAL, Bw. David...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 7 Oktoba, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Chuo Kikuu cha...
Kwa muda wa miaka 10 niliokuwa kwenye sekta ya ujenzi, nimegundua kuwa kuna watu wengi hawana sifa za kitaaluma wana vyeti vya kufoji vya ndani na nje ya nchi.
Kwa kuwa bodi za kitaaluma (ERB na...
Hello ndugu, ninahitaji kutuma mzigo marekani ni kilo 5 TU za karafuu je ni kampuni gani ya ndege au yoyote ya usafirishaji naweza kuitumia kutuma mzigo wangu kwa haraka na unafuu? Wenye uzoefu...
Miaka ya 60 alikuwepo mtangazaji maarufu jina lake Kwege Munthali, mtangazaji huyu alijipatia sifa sana kutokana na umahili anapokuwa studio kama ambavyo wenzake nao walijipatia sifa za aina hiyo...
PENYE UMASKINI NDIPO UTASIKIA MITIZAMO MINGI YA KISHIRIKINA.
Kuna sababu nyingi za watu kuwa washirikina na kati ya sababu hizo umaskini ni moja wapo.
Umaskini wa mawazo na kifedha ni sababu...
TAARIFA KWA UMMA
Kwa mujibu na mamlaka aliyopewa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa (Mb) chini ya Kifungu cha 9 (1) cha Sheria ya Mfuko wa...
Habari,
Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya Haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu...
Walimu hamuwalipi, wakidai haki zao mnawafukuza, watoto wanakaa mpaka miezi 2 bila mwalimu, mnakusanya ada pesa mnapeleka kwenye makesi ya kung'ang'ania umiliki wa shule.
Kila siku mnawadanganya...
"Peace cannot be kept by force, it can only be kept by understanding."
Albert Einstein
Hata hauwezi ukajiuliza kwamba existence ya hapa duniani ni kutokana na hali ya kutegemeana?
Bila ya...
"Sitapenda tena. Mara ya mwisho nilipopenda, ilikaribia kugharimu kazi yangu na nadhani ndoa inaweza kufanya vibaya." Chris Brown
"Ninaelewa ndoa ni nini lakini sitaki kuoa kwa sababu ni ukatili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.