Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Moja kwa moja kwenye mada husika Mimi nilichogundua hii jamii forums ya sasa siyo ile niliyokuwa ninaijua kipindi ilipoanzishwa. Nina uhakika mada fikirishi, mada makini zingepata...
6 Reactions
40 Replies
748 Views
Anonymous (1d46)
Nina wadogo zangu wawili mmoja kahitimu SUA, mwingine T.I.A, hawa wote walilipa ada mwanzo, baadae walifanikiwa kulipiwa ada na Board ya mikopo. Hivyo walipaswa kurejeshewa zile Ada walizo lipa...
1 Reactions
1 Replies
115 Views
Shule ya Sekondari Mwalimu Nyerere iko mkoa wa Shinyanga halmashauri ya Msalala na matokeo ya kidato cha tano & sita wasichana (PCM na PCB tu) wastani wao wa kufaulisha unakaribiana sana na...
0 Reactions
4 Replies
228 Views
Palmistry ni njia ya zamani ya kutabiri siku zijazo na kutafsiri utu wa mtu kutoka kwa muundo wa mistari ya mikono. Wakati mwingine mistari hii inaweza kuunda hata nambari na herufi. Moja ya...
32 Reactions
211 Replies
17K Views
Mara ya kwanza nilienda mwaka 97 nikiwa darasa la 6. Mara ya pili nilienda mwaka 2009 kufuatilia ISBN ya kitabu changu nilicho andika. Kitabu kilikuwa kinaitwa " CHABO". Now nataka kwenda kwa...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Baada ya kumaliza kumsikiliza mahitaji yake ya shule, basi sikuwa nimeikata sim (hapa nikiri kwamba sijui sababu). Basi nikasikia upande wa pili kijana akimwambia mwenzake (wakike) kwamba...
54 Reactions
142 Replies
51K Views
Huyu jamaa ni ndugu yangu wa karibu kabisa. Yaani ni mjukuu wa shemeji yake na binamu wa mamaangu wa kambo. Ni siku ya tatu sasa tangu nifike hapa mjini, baada ya kuuza ng'ombe nikaona sio mbaya...
48 Reactions
126 Replies
8K Views
nilianza kuzipenda sarafu kipindi nauza duka nilikuwa naziweka kwenye bag zinakaa muda mrefu kwa kuwa maduka ya jumla hawapendi kupoteza muda kuhesabu chenji chenji. Siku hizi siuzi tena duka...
2 Reactions
7 Replies
391 Views
Prof. Minzi na wengine! Sijui kama Waafrika kuna siku tuta endelea na kufanikiwa kama wenzetu wazungu, wahindi, wachina, waarabu, nk. We seem to be at the lowest thinking, intellectual and moral...
38 Reactions
58 Replies
4K Views
Bongo Flava ni jina Mbadala la muziki wa Hip hop ya Tanzania. Mtindo huu ulianzishwa kwenye miaka ya 1990, hasa ukiwa kama mwigo au utokanaji wa hip hop kutoka Marekani, ikiwa na ongezeko la...
4 Reactions
20 Replies
37K Views
Kuna wakati tunapitia maumivu makubwa mioyoni mwetu na mahangaiko ya fikra zetu. Yes, naweza sema tumekuwa na amani sana kwenye familia yetu, ingawa tunaweza kukosa lakini hatupungukiwi...
40 Reactions
142 Replies
7K Views
Leo nikapanda bolt kutoka airport, kabla hatujaanza safari dereva akaingia kituo cha mafuta cha O-Lake airport, wakati wa kutoka naona traffic anaongoza magari na mengine anayakataa kukunja, kumbe...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Hello! Ofisi yoyote iwe ya serikali au binafsi kama tu iko hapa Tanzania wewe tazama parking. Halafu uliza idadi ya wafanyakazi wote. Ofisi ina wafanyakazi 50 parking kuna gari binafsi 3 tu ya...
31 Reactions
67 Replies
3K Views
Jamani, ni hulka ya wanadamu kutotangaza mema ya watu lakini wepesi sana kutangaza mabaya ya watu. Hivi karibuni kuna madaktari kadhaa walitangazwa na wanafunzi wao kwa ubaya sana! Sijui kama...
24 Reactions
905 Replies
142K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha na kuridhishwa na matumizi ya fedha yaliyotolewa kwa awamu na Serikali ambapo kiasi cha...
0 Reactions
0 Replies
389 Views
Siku hizi, kazi sio lazima zifanyike ofisini au kwa mkataba wa miaka mingi kama ilivyokuwa zamani. Tumeingia kwenye ulimwengu wa gig economy, ambapo unaweza kufanya kazi kwa muda mfupi (gigs) na...
1 Reactions
7 Replies
430 Views
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama ikiwemo jeshi la polisi, jeshi la akiba pamoja na wananchi imefanya operesheni kubwa ya...
0 Reactions
8 Replies
316 Views
Baba Mtakatifu Francisko, ameteua Makardinali wapya Ishirini na Moja (21), mmoja anamiaka 99 na ametangaza kuwasimika rasmi Disemba 08, 2024 katika Sherehe ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
MWAUWASA( Mwanza Nyamagana ) acheni wizi kubambikizia bili za Maji Wateja na urasimu kwenye mchakato wa kuunganishwa Huduma ya Maji. Inaumiza wananchi au mnataka wananchi waingie barabarani kama...
0 Reactions
1 Replies
259 Views
Kwa miezi ya karibuni bili za maji kwa wateja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) zimekuwa juu mno na hatujui ni sababu gani. Mimi nafikiria gharama ya maji...
0 Reactions
3 Replies
338 Views
Back
Top Bottom