Wakuu ni kama mawazo maoni au ushauri.
Kuwepo na baadhi ya makanisani ya umma yenye majina makubwa Jumapili sadaka ya jumla ikisomwa si chini ya million 3, 5, adi kumi kwa yalio mjini, ila usafi...
Tanzania na Finland zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) kuhusu kufanya rasmi Mashauriano ya Kisiasa kati ya nchi hizo mbili. Uwekaji saini huo ulifanyika leo tarehe 09 Oktoba, 2024 jijini Helsinki...
Mwezi wa 11 naenda Lusaka kwa likizo ya wiki 2, Nimealikwa kwenye shughuli za research, Ni nje ya kazi yangu rasmi, Likizo yangu ya mwezi ujao nimeona niitumie Lusaka.
Mambo gani nizingatie...
Ma agent wa mabasi hasa yamikoani wanatoza abiria nauli ambazo ni kinyume na nauli elekezi.
Kwa mfano Nauli rasmi kutoka mkoani Gieta kwenda Kibondo (kigoma) kupitia nyakanazi ni Tshs. 17000/=...
Mhadhara - 42:
Kuna watu katika jamii wana tabia zinazofanana na hawa wanyama/wadudu.
1. PIMBI (Harakati zisizo na maana) - Wapo watu ambao wanaweza kufananishwa na pimbi. Ukikutana nae...
Wakati mwingine mafanikio ya mtu ni bahati ya ulizaliwa kipindi gani.
Mnawaita watoto wa 2000 ila nikwambie ndio kizazi bora kabisa kuwahi kutokea nchini. Kizazi kinajiamini sana, kukuta mtoto...
Haya ni baadhi ya maneno ya busara kuhusu maisha:
1. "Maisha ni safari, siyo mbio. Chukua muda kufurahia kila hatua unayopiga."
2. "Changamoto ni sehemu ya maisha; zinatufundisha kustahimili na...
Miaka ya nyuma kidogo kulikua na kashikashi sana katika vyuo vya elimu ya juu nchini hasa vya serikali...
Nakumbuka niliwahi kuhudhuria mdahalo pale nkruhma hall UDSM nikiwa mwanafunzi wa kidato...
Elite class ya Tanzania inatumia zaidi ya robo tatu za mishahara yao kutoa matunzo kwa watoto wao ili kuendelea na economic status-quo wengi hufanya kwa ajiri ya mkumbo au band wagon,
Mtoto...
Pamoja na changamoto mbalimbali tunazo kumbana nazo katika harakati za safari ya maisha, lakini ndiyo Raha ya safari. Maisha yangekuwa yamenyooka tu bila changamoto za hapa na pale, sidhani kama...
Mhadhara - 41:
Una moyo mwepesi na mlaini kama karatasi la kufungia maandazi, lakini huachi tabia yako ya kumfuatilia mpenzi/mume/mke wako. Shauri yako, one day tutakuzika kwasababu ya kufumania...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewaeleza wananchi wa Segerea kuwa suala la vibaka lipo katika ngazi ya mitaa hivyo wahakikishe kupitia ulinzi shirikishi wanamaliza jambo hilo...
Kampuni hiyo ya Askari Metals kupitia kampuni yake tanzu ya tanzania ujulikanayo kama Infinum Uranium so far tunaweza kusema imekwisha pata "baraka" zote za uwekezaji kutoka serikali ya SSH.
Kwa...
Huwa naona watu wengi wananasibisha ujamaa na undugu, upendo pamoja na raia kujaliana huku wakinasibisha ubepari na kutokojaliana na ukatili.
Haya yanaweza kuwa mawazo potofu sana ukifuatilia...
Wazazi achaneni na mawazo ya kuwasomesha watoto ili kwamba wakishakua na kuanza kazi waanze kuwagharamia kwa mishahara yao! Kulea watoto ni jukumu la mzazi yeyote alieamua kuanzisha familia na si...
Wasalaam.
Ni mwezi Sasa umepita tangu nilipoleta uzi hapa jukwaani unaosema
Banc ABC wamekataa kulipwa, msaada wenu unahitajika.
Nilipewa ushauri mzuri Sana na Wana JF home of great great...
Wazazi wengi wa sasa ni wale waliosomesha watoto kishidashida mpaka wakafika walipofika. kwasasa watoto ndio wanawasaidia huko kijijini waliko au wengine wanaishi nao kabisa.
kutokana na sababu...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kuweka mazingira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.