Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mfano mimi huwa naona ile ni site nzuri sana kwaajili ya kufugia kuku wa mayai watakaoweza kulisha mikoa yote ya Tanzania. Hivi nikiwa na hela nyingi siwezi kuwahamisha waheshimiwa waende kujenga...
6 Reactions
23 Replies
542 Views
Kwa mujibu wa barua inayotajwa kutoka katika Ofisi ya Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Kinondoni imeeleza kuwa tamasha hilo lihamishiwe viwanja vya Tanganyika Peakers - Kawe > Sababu za kusitishwa...
2 Reactions
184 Replies
35K Views
NI NATURE MWANAUME ANAPENDA NA ANAFURAHI KUFANANA NA MTOTO WAKE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hili Wala siô Siri ingawaje wàpo wachache watapinga lakini ukweli utabaki ukweli Siku zote...
7 Reactions
75 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, najua huku Kuna watu Wana uelewa zaidi katika hili. Nimeshangazwa na Polisi mwenye cheo kama DCP uwa RPC, hali ya Kuwa kuna polisi ni ACP au SACP ni RPCs tena wengine ni ZPC...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
1. Allah aniondoshe katika dunia hii hali ya kuwa umeniridhia 2. Allah aniondishe katika dunia hali ya kuwa sina dhambi hata mmoja 3. Anijalie kaburi langu liwe miongoni mwa mabustani ya peponi...
5 Reactions
10 Replies
405 Views
Wakuu, Kuna hili suala la meditation kuhusishwa na mambo ya kuamsha nguvu ya kiroho isiyoonekana, nimejikuta nikivutiwa na suala hili. Je, ni kweli inaamsha nguvu ya kiroho isiyoonekana? Pia...
3 Reactions
22 Replies
984 Views
Habari zenu wakuu. Ningependa kujua Kati ya hizi taasisi mbili nani yuko juu Kwa mwenzake kwenye maslahi ya wafanyakazi.
1 Reactions
11 Replies
543 Views
Habari wakuu Dar ni moja kati ya mji mkubwa sana Tanzania umeojaa watu wengi sana na shughuli zao za kibiashara, ni mji ambao gharama za kuishi ni kubwa mno, kodi, maji, umeme, usafiri n.k Hapa...
36 Reactions
123 Replies
17K Views
Ndugu zangu, Wanajamvi, umofia kwenu, Ndugu zangu me ndugu yenu nimezingirwa nipo katikati ya maisha na mbinguni. Naomba nijieleze kidogo. Ndugu zangu me member hapa tangu mwaka 2013, ni zaidi...
29 Reactions
178 Replies
8K Views
Aliyejitambulisha kuwa ni Mchungaji wa Kanisa la Uamsho na Matengenezo ya Kiroho Ulimwenguni, Mwalimu Augustine Tengwa akiambata na wenzake wamevishauri vyombo vya ulinzi na usalama kusimama vema...
1 Reactions
0 Replies
227 Views
kila mara nikikutana na ID imeandikwa "R I P" inanifanya niwaze mengi sana kitu cha kwanza kuwaza au kukumbuka ambacho ni cha kawaida ni kwamba sisi tunaishi kwa muda tuu ila kuna alama inaweza...
9 Reactions
4 Replies
363 Views
Huduma za treni kwenda Pugu zimekuwa mbovu sana siku za karibuni. Treni zinachelewa. Zinaenda mwendo wa kusuasua. Mabehewa ovyo. Abiria wanaingia bure. Hiyo treni bado inahitajika iimarisheni...
0 Reactions
2 Replies
198 Views
Makamu Mwenyekiti wa Umoja Wa Wanawake Tanzania (UWT) Zainab Khamis Shomari ametoa wito kwa Wanawake na Watanzania kwa ujumla kuchangamkia fursa zilizopo katika sekta ya madini ikiwemo kuwekeza...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Nashangaa Kuna watu wanalalamika maisha ya Tanzania yamekua magumu mbona wananchi tunafurahia sana maisha maana tuna viongozi wanaotujali. Tunamshukuru sana Mungu Kwa kutupa viongozi imara...
2 Reactions
31 Replies
809 Views
Mhadhara - 43: Siku hizi kumekuwa na vibanda vingi sana mitaani almaarufu "Kausha Damu" ambavyo vinakopesha pesa kwa watu wa hali ya chini kwa riba kubwa, mikataba migumu, na masharti ya kusaga...
2 Reactions
1 Replies
508 Views
Zamani nilikuwa naona watu wakigombana halafu mmojawapo akimtukana mama wa mwenzake ugomvi unakuwa mkubwa zaidi kama njiti ya kiberiti imetupiwa kwenye petrol, Yani hata kama ugomvi ulikuwa...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
Zanzibar: Wakamatwa wakiendesha mtandao wa kuingilia watoto wa kiume, kurekodi na kufanya udalali. "Kuhusu ule mtandao nimejua kupitia walewale ambao wamo kwenye mtandao na kuanza kuwakamata...
3 Reactions
57 Replies
7K Views
Habar wakuu! Naomba kuuliza je latesay ulimaliza certificate miaka mi5 au 6 iliyopita nasasa unataka kuendelea na diploma je inawezekana kuendelea kupitia hiyo certificate yako au nilazima uanze...
4 Reactions
7 Replies
307 Views
Jina la pili (Sarungi) siyo geni katika ulingo wa siasa na uongozi katika nchi hii. Nimekuta akifanyiwa mahojiano na chombo kimoja cha habari jamaa nimemuelewa sana na ana madini mengi kwa future...
2 Reactions
25 Replies
9K Views
JE ANAYOYASEMA KIBOKO YA WACHAWI KUHUSU WATAÑZANIA KUWA WENDAWAZIMU YANA UKWELI KIASI GÀNI? JE YEYE NI WAKWANZA KUTAMKA MANENO KAMA HAYO? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nimeshangaa Sana Baadhi...
2 Reactions
5 Replies
835 Views
Back
Top Bottom