Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamzuilia Kulwa Bosco, anayejulikana kwa jina maarufu la Rasta, ambaye ni mfugaji mkazi wa Kijiji cha Sinyaulime, Tarafa ya Ngerengere, wilayani Morogoro, kwa...
3 Reactions
13 Replies
590 Views
Ni mpaka tu uwe na Akili Kubwa kujua kuwa Kitendo cha Tundu Lissu kumtaja hadharani Paul Makonda (Mkuu wa Mkoa wa Arusha) katika Sakata lake la Kupigwa risasi na kutaka Kuuwawa ulikuwa ni Mkakati...
11 Reactions
13 Replies
571 Views
Katika hii nchi ukitoa Rais, watu wanaofuata kupigiwa magoti ni askari na hawa jamaa huwa wanafanya walitakalo na hii imethibitika katika vitu vingi sana. Yaani kiufupi hao jamaa waliotuhumiwa...
2 Reactions
62 Replies
2K Views
Habari wadau. Binafsi naishi karibu na imamu wa msikiti mmoja mkubwa tu Temeke. hali yake ya maisha inasikitisha . Nyumba anayoishi na hali yake kiuchumi haiendani na huduma yake anayoitoa...
20 Reactions
99 Replies
5K Views
Telegram ni jukwaa maarufu la ujumbe linalotumiwa na zaidi ya watumiaji milioni 950 duniani kote. Ni maarufu kwa sababu ya uwezo wake wa kutoa ulinzi wa faragha kupitia mazungumzo yaliyosimbwa kwa...
9 Reactions
48 Replies
2K Views
Naishauri serekali ya Tanzania ifungue balozi za Israeli na Ukraine nchini tena kuwe naushirikiano haswa. Wa Israel, kutokana na Israel kuwa na teknolojia ya Hali ya juu, tupeleke na wanafunzi...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Licha ya umasikini wetu wa taifa hapakosekani kundi la watu wenye nafuu, hata kwenye ukoo masikini wale wenye magari hutokea koo maskini ila wao kama wao wapo mbali kuzidi wenzao, Tukigusia...
54 Reactions
546 Replies
31K Views
Wakati wanatangaza kuhusu ujenzi wa hii barabara niliwambia watu kitu. Anyway na ndicho kinachoendeleaaaa Ile barabara walivunja frame za watu zaidi ya 100 na nyumba za watu kadhaa wakishauriwa...
0 Reactions
4 Replies
270 Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sakata hili limerahisisha Sana kujua kuwa hata mashoga waliopo Duniani hawapendi kuwa vile walivyo isipokuwa kûna Ñguvu ya ziada zinawalazimisha kufanya Yale...
32 Reactions
83 Replies
7K Views
Samaleko.. Binafsi nampongeza P Diddy Kwa alichowafanyia Hawa Vijana Wapenda Kitonga akiwemo Mjomba Nchumali na Wenzake, Kongole sana kwake. Nilienda Vacation Zanzibar ila nilichoona kinafanyika...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Anonymous (b43f)
Hali ya Barabara Kwa Fundi Baiskeli (Kigamboni) ni mbaya, huu ni mwezi wa 6 tangu Bango la Mkandarasi liwekwe na hakuna kinachoendelea JF tunaomba mtusaidie kupaza sauti kwa Serikali ya Kigamboni...
1 Reactions
3 Replies
579 Views
Aisee huyu myahudi anatembeza kichapo mpaka Raha nimetoka kufuatilia hapa BBC News aisee magaidi yanaondolewa sio mchezo Mungu ibariki San Israel iendelee kutoa kichapo kwa haya magaidi na uzao...
2 Reactions
1 Replies
196 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema Jeshi la Magereza lazima likubaliane na maboresho ya kimfumo, kimuundo na kitaasisi ambayo yatakwenda kuongeza uwezo wa uzalishaji...
1 Reactions
2 Replies
302 Views
Tamasha la Tatu la Kimataifa la Utamaduni litakalofanyika mkoani Ruvuma kutoka Septemba 20 hadi 23, 2024, linaonyesha umuhimu wa kuenzi tamaduni za Tanzania na kuwavutia watu kutoka ndani na nje...
0 Reactions
10 Replies
292 Views
Leo nataka niwachane mawinga. Hasa mawinga wa steshenari zilizopo eneo la phamasi ya Msua karibu na maeneo la Makoroboi. Ukifika pale unakuta vijana kibao wako nje kwenye vibaraza. Ukikaribia...
11 Reactions
20 Replies
842 Views
Mwenyeskiti Kijiji cha nyamkonge kata Nyahongo wilaya rorya kwa kushirikiana na diwani pamoja na mbunge , walihamua kupindisha ramani nakupitisha barabara kwenye makazi ya wananchi kwakutumia...
0 Reactions
0 Replies
155 Views
Kwema Wakuu! Kwa wasioelewa haya mambo wanaweza Kuona ni mapya lakini hakuna jipya hata Moja. Mengi ni marudio. Tangu Ibrahim akanyage Hapo Kanaani Muarabu na jamii za Mashariki ya Kati...
12 Reactions
125 Replies
4K Views
📖Mhadhara wa 25: Mwanaume unaanzaje kukimbia majukumu ya kulea mtoto au watoto wako. Mwanaume rijali aliyekamilika hakimbii majukumu ya kulea damu yake, anaweza kumkimbia mwanamke aliyezaa nae...
2 Reactions
4 Replies
241 Views
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Ireland (DPC) imeipiga faini ya takriban Tsh. Bilioni 273 kampuni ya META baada ya kubainika 'Passwords' za Watumiaji wa Facebook milioni 600 wa Facebook...
0 Reactions
2 Replies
457 Views
Mussa Azzan Zungu Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu ametoa wito kwa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya kuendelea kushirikiana...
0 Reactions
0 Replies
306 Views
Back
Top Bottom